MR PAUL SADOCK
Member
- Aug 8, 2012
- 45
- 1
Jamani sajini na kontesbo wameshatoa majina?
nipo kwenye intavyuu hapa ila bado mda wangu wa kuperfom haujafika
Ili iweje??
Tabia yako ya kuibia paper tangu primary bado haijaisha???
nipo kwenye intavyuu hapa ila bado mda wangu wa kuperfom haujafika
Vp ni writern au oral interview.
Vp interview ipo kwa kiswahili au kiingereza.
ni ORAL
Vp academic certificates unatakiwa kuwa navyo au?
majina ya konsitebo na sajini muwe na subira yatachelea kidogo kutolewa kutokana na mambo kuingiliana, ila kama unajua ulituma maombi yako umekidhi vigezo vyote subilia kwenda tu kiwila mbeya kwani wote walio na vigezo wamepita,pamoja na hayo yote kama wewe ulituma maombi yako huna sifa ikiwemo kigezo cha umri na kutokuwa na cheti cha sifa kumewakosesha wengi!walipata ni wale wote wenye vyeti vyani tulizotangaza ikiwemo walau cheti cha ufundi,zimamoto,jkt na nk!kuhusu itavyuu huwa ni yakawaida tu wala usibabaike na maneno ya watu! kingine ni kwamba tukimaliza itavyuu wote ni depo mbeya na mafinga, mtaondoka na vijana wetu ambao wako tulisha waajiri baadhi yao depo walikuwa hajaenda mafunzoni.onyo kwa wale mnaopenda ulevi punguzeni nawaonya sana! nawatakieni ujio mwema mafunzoni mtatukuta tumejipanga vibaya hatuna mbwembwe.karibuni viwanja vya damu--- %usiniulizeee