Zima Moto Updates

Zima Moto Updates

maisha yanazidi kuwa tight mpaka zimamoto tumetoswa?aaaaaaaaàhhhhhh
 
tupeni link kama zipo

Gazeti la daily news halina link. We tafuta gazeti kwanza au check kwenye website ya wizara ya mambo ya ndani www.moha.go.tz kama watakuwa wametupia coz sina uhakika zaidi ya gazeti tajwa hapo juu. OVER
 
Mkaguzi msaidizi wa zimamoto na uokoaji majina yametok tayari source daily news, pata habari na gazeti la majira ....BADO CONSETEBO NA KOPLO KUITWA KWENYE USAILI!!! USAILI NI TAR 25,26 NA 27!!!!
 
Kumbe Tmajuto ndo alikuwa anasema akili mu kichwa??????????????
Nilikuwa sijajua.
 
Gazeti la daily news halina link. We tafuta gazeti kwanza au check kwenye website ya wizara ya mambo ya ndani www.moha.go.tz kama watakuwa wametupia coz sina uhakika zaidi ya gazeti tajwa hapo juu. OVER

kama kuna uwezekano tuwekeeni hayo majina wengine hatuna access na gazeti
 
Kweli inabidi nianze kutafuta ndugu ili angalau zile za uhamiaji nipate, even kuitwa kwenye interview tu!!
 
Majina haya hapa, zimamoto moto moto....

attachment.php
 

Attachments

  • 1394616524226.jpg
    1394616524226.jpg
    119.9 KB · Views: 2,168
Kwa kila nafasi 1
itagombaniwa na waombaji wa 3

nafasi zinazogombewa ni
103

idadi ya majina yaliyotoka ni
309

so vijana kesheni mkiomba maana ushindani na competence ndo vitakavyokupitisha uende depo
 
Back
Top Bottom