Zima Moto Updates

KISHINDO

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
2,113
1,799
Taarifa Zilizonipata ni kwamba Zima Moto kesho. Be patient na usikose kuja JF kusoma jina lako wewe uliye-apply.

Updates:

Gazeti la daily news halina link. We tafuta gazeti kwanza au check kwenye website ya wizara ya mambo ya ndani www.moha.go.tz kama watakuwa wametupia coz sina uhakika zaidi ya gazeti tajwa hapo juu. OVER
 
Tayari Zimamoto.
MAJINA YANAPATIKANA KWENYE GAZETI LA DAILY NEWS LA LEO MARCH 12, 2014.
WALE MLIONIDHIHAKI DHAMIRA ZINAWASUTA
 
Majina yako 309. Wanaohitajika ni 103.
Hongereni nyote mlioomba nafasi hizo.
 
Usaili utafanyika March 2014 tarehe 25, 26 na 27 ktk chuo cha police kurasini dar
 
Back
Top Bottom