Ziko wapi ajira 70,000 za kairuki?

Tayar Waliajiri watumishi 100 afya
C walitimuliwa tena et Kuna makosa yalitokea wakati wa kuwaajili au nazo zilikuwa siasa

Daah actually politics is a dirty game don't ever try to apply it, it will cost much than what we think about.
Shikamoo Tanzanian politics
 
Sio kwa kuachana njia panda huku...ajira hiz zilimwagwa kwenye gazeti la habari Leo zikaanikwa gazeti la nipashe...........wazir akijinafsibisha kwenye kipindi cha dakika 45(ITV) na kusema muda wowote kuanzia muda hule(huku mtangazaji akikazia muda wowote!??) Akrudia tena muda wowote.......
Mwaka sasa umeisha.......KIMYAAAA
Serikali ituambie ukweli ni nini kinaendelea, mkwamo upo wapi?
maneno yake tuu
 
Back
Top Bottom