Ziko wapi ajira 70,000 za kairuki?

mr hussein

Member
Nov 1, 2016
54
125
Sio kwa kuachana njia panda huku ajira hizi zilimwagwa kwenye gazeti la habari Leo zikaanikwa gazeti la nipashe waziri akijinafsibisha kwenye kipindi cha dakika 45(ITV) na kusema muda wowote kuanzia muda hule(huku mtangazaji akikazia muda wowote!??) Akrudia tena muda wowote.
Mwaka sasa umeisha kimyaa
Serikali ituambie ukweli ni nini kinaendelea, mkwamo upo wapi?
 
faru john junior

JF-Expert Member
Dec 26, 2016
1,542
2,000
Sio kwa kuachana njia panda huku...ajira hiz zilimwagwa kwenye gazeti la habari Leo zikaanikwa gazeti la nipashe...........wazir akijinafsibisha kwenye kipindi cha dakika 45(ITV) na kusema muda wowote kuanzia muda hule(huku mtangazaji akikazia muda wowote!??) Akrudia tena muda wowote.......
Mwaka sasa umeisha.......KIMYAAAA
Serikali ituambie ukweli ni nini kinaendelea, mkwamo upo wapi?
Vipi kuhusu makusanyo ya tra mbona hatuambiwi
 
mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
963
1,000
Chief nkanga aliwambia Feb 2017 hamkumwelewa? Bado mwez 1 jikazen japo walimkanusha! Lakn chief ni mtu anaejua ukweli! Achaneni na hizi siasa za kipuuzi, muda wwt kuanzia sasa bila kuwa na time limit!
 
mzee wa mazabe

JF-Expert Member
May 10, 2016
839
1,000
Sio kwa kuachana njia panda huku...ajira hiz zilimwagwa kwenye gazeti la habari Leo zikaanikwa gazeti la nipashe...........wazir akijinafsibisha kwenye kipindi cha dakika 45(ITV) na kusema muda wowote kuanzia muda hule(huku mtangazaji akikazia muda wowote!??) Akrudia tena muda wowote.......
Mwaka sasa umeisha.......KIMYAAAA
Serikali ituambie ukweli ni nini kinaendelea, mkwamo upo wapi?
Mbona ajira Serikali inatoa kila siku tatizo lako hauna sifa nazo, mfano Serikali imeajiri wakuu wa mikoa kibao, wakuu wa Wilaya kibao, Wakurugenzi wa halmashauri zote nchini, juzi juzi tena zikapatikana ajira za mabalozi wewe bado haumo tu, loooh wewe inaonekana sifa hauna kabisa tehe tehe tehe ulitaka ajira zipi itabidi ndugu uludi shule inaonekana shule yako bado haiuzi kwenye soko la ajira
 
aymatu

JF-Expert Member
May 23, 2014
2,034
2,000
Chief nkanga aliwambia Feb 2017 hamkumwelewa? Bado mwez 1 jikazen japo walimkanusha! Lakn chief ni mtu anaejua ukweli! Achaneni na hizi siasa za kipuuzi, muda wwt kuanzia sasa bila kuwa na time limit!
Nakuhifadhi ifike Feb maana
 
Mr IQ

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
379
250
Ukweli ni huuu...!!

Serikari ina tuficha tu!

Ishu ni kwambaa haina fedha za kuwalipa waajiriwa wapya..

Ndio maana imesitisha kuhama vituo , mikopo kw wajiriwa na kuto pandisha madaraja y misharaa kwa wale ambao wapo kweny system ya ajira...
Ni mtazamoo... Tu haija thibitishwaaaaAlafu kama watumishi hewa washaaa hakiki wana subiri nini kutoa ajiraaa mpyaaa..

Na hatakama bado ile bajet y mwaka jana imefanya kazi wapiii... Au ime ishatumikaaa kununulia n d e g *e!!
 
Utotole

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,590
2,000
Chief nkanga aliwambia Feb 2017 hamkumwelewa? Bado mwez 1 jikazen japo walimkanusha! Lakn chief ni mtu anaejua ukweli! Achaneni na hizi siasa za kipuuzi, muda wwt kuanzia sasa bila kuwa na time limit!
Muda wowote yaweza kuwa hata milele, na itaendelea kuitwa muda wowote tu.
 
mr hussein

Member
Nov 1, 2016
54
125
Hizo
Ajira ni kitendawili
Kilichowafanya waseme nani si wangejikaliaga kimya tu!
Mbona ajira Serikali inatoa kila siku tatizo lako hauna sifa nazo, mfano Serikali imeajiri wakuu wa mikoa kibao, wakuu wa Wilaya kibao, Wakurugenzi wa halmashauri zote nchini, juzi juzi tena zikapatikana ajira za mabalozi wewe bado haumo tu, loooh wewe inaonekana sifa hauna kabisa tehe tehe tehe ulitaka ajira zipi itabidi ndugu uludi shule inaonekana shule yako bado haiuzi kwenye soko la ajira
Hizo za makada wa chama
 
mr hussein

Member
Nov 1, 2016
54
125
Ukweli ni huuu...!!

Serikari ina tuficha tu!

Ishu ni kwambaa haina fedha za kuwalipa waajiriwa wapya..

Ndio maana imesitisha kuhama vituo , mikopo kw wajiriwa na kuto pandisha madaraja y misharaa kwa wale ambao wapo kweny system ya ajira...
Ni mtazamoo... Tu haija thibitishwaaaaAlafu kama watumishi hewa washaaa hakiki wana subiri nini kutoa ajiraaa mpyaaa..

Na hatakama bado ile bajet y mwaka jana imefanya kazi wapiii... Au ime ishatumikaaa kununulia n d e g *e!!
Kama umejibu vilee
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom