SawaMkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko amesema kuwa anayetaka kupima vinasaba (DNA), iwapo ana wasiwasi na mtoto anapaswa kufuata taratibu, badala ya kwenda moja kwa moja kwenye ofisi ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA).
Dkt. Mafumiko amesema kuna hatua nyingi za kufuata ili kupata huduma hiyo ikiwamo kutoa taarifa kwa ofisa maendeleo ya jamii na wao ndiyo watapeleka maombi yao GCLA.
“Tukipata maombi kutoka katika mamlaka husika, tunayafanyia kazi. Gharama za kupima DNA ni rahisi sana kwa mtu mmoja ni Tsh. 100,000,” alisema Dkt. Mafumiko.
Kasema kupima DNA watoto, watu wazima watajipima wenyewe.Hii league ya kupima DNA ni kutake risk especially kama watoto washakuwa watu wazima...
Mauaji yatazidi ktk familia...
Maana mama ndo anajua baba wa mtoto...
Na wanawake wanasiri...
Mungu tusamehe
Nashauri waweke na umri wa mwisho kupima mtoto DNA, labda si zaidi miezi 12 baada ya kuzaliwa.Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko amesema kuwa anayetaka kupima vinasaba (DNA), iwapo ana wasiwasi na mtoto anapaswa kufuata taratibu, badala ya kwenda moja kwa moja kwenye ofisi ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA).