Kweli mimi ni shuhuda wa hili wanawake wengi wanatamaa na wanacheat sanaAmini usiamini katika watoto watano uliona na mkeo watatu (3) sio wako.
Hakuna kitu kama hicho kwa 100%!Mauaji yatazidi ktk familia...
Maana mama ndo anajua baba wa mtoto...
Na wanawake wanasiri...
Mungu tusamehe