Zijue taratibu za kupima DNA, gharama ya kipimo ni Tsh.100,000/=

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,050
4,903
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dk Fidelice Mafumiko amesema kuwa anayetaka kupima vinasaba (DNA), iwapo ana wasiwasi na mtoto anapaswa kufuata taratibu, badala ya kwenda moja kwa moja kwenye ofisi ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA).

Akizungumza na waandishi wa habari katika maonyesho ya 46 ya biashara Sabasaba, Dk Mafumiko alisema kuna hatua nyingi za kufuata ili kupata huduma hiyo ikiwamo kutoa taarifa kwa ofisa maendeleo ya jamii na wao ndiyo watapeleka maombi yao GCLA.

“Tukipata maombi kutoka katika mamlaka husika, tunayafanyia kazi. Gharama za kupima DNA ni rahisi sana kwa mtu mmoja ni Sh100,000” alisema Dk Mafumiko.
 
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko amesema kuwa anayetaka kupima vinasaba (DNA), iwapo ana wasiwasi na mtoto anapaswa kufuata taratibu, badala ya kwenda moja kwa moja kwenye ofisi ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA).

Dkt. Mafumiko amesema kuna hatua nyingi za kufuata ili kupata huduma hiyo ikiwamo kutoa taarifa kwa ofisa maendeleo ya jamii na wao ndiyo watapeleka maombi yao GCLA.

“Tukipata maombi kutoka katika mamlaka husika, tunayafanyia kazi. Gharama za kupima DNA ni rahisi sana kwa mtu mmoja ni Tsh. 100,000,” alisema Dkt. Mafumiko.
 
Mtagombanisha Wananchi wa Tanzania na kuleta tafarani nchini

Familia za kitanzania tangu enzi zinalea Watoto wasio wao na kulelewa Watoto wao na familia zingine na hawajawahi kuja kushitaki kwenu wala kufungua kesi mahakamani

Waacheni watanzania waishi namna hiyo na Watoto wapate haki ya kutunzwa.
 
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko amesema kuwa anayetaka kupima vinasaba (DNA), iwapo ana wasiwasi na mtoto anapaswa kufuata taratibu, badala ya kwenda moja kwa moja kwenye ofisi ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA).

Dkt. Mafumiko amesema kuna hatua nyingi za kufuata ili kupata huduma hiyo ikiwamo kutoa taarifa kwa ofisa maendeleo ya jamii na wao ndiyo watapeleka maombi yao GCLA.

“Tukipata maombi kutoka katika mamlaka husika, tunayafanyia kazi. Gharama za kupima DNA ni rahisi sana kwa mtu mmoja ni Tsh. 100,000,” alisema Dkt. Mafumiko.
Sawa
 
Nashauri waweke na umri wa mwisho kupima mtoto DNA, labda si zaidi miezi 12 baada ya kuzaliwa.
 
Hii ya kupima ukifatilia ni lazima mtengane.

Unamlea mtoto hadi sekondari unaenda mpima sio wako. Hapa si mauaji sasa. Maana uchepukaji ni SAwa na kunywa soda, yakimfika mwenzio usimcheke ni zamu.

Kazini ataaga boss nawahi home mtoto mgonjwa kumbe anawahi kukobolewa wewe ukijua yupo job.

Hii dunia ya SAsa ni kuomba dua Mungu asikuonyeshe ya upande wa pili wa mwenza, pana watu ni mabingwa wa kuficha
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom