Zijue sheria ''mama' za infidelity...

hey....I am on the watch out!

Askofu.....kuna mtumishi wetu the Finest hebu mwangalie kwa jicho la huruma kidogo,,, anafaa sana kazi za jikoni huko.......

Huyu Smiles ananuna hadharani kisha anatabasamu mafichoni...:becky::confused2:

Beuty amefulia anahitaji maombi maalum

Kamati kuu Big braza Asprini a.k.a ODM na St Roya Roy wapo kamili gado kuhakikisha uwepo wa ISC

Bigirita ana ugomvi wake na Maria Roza ila huo bado upo kigangoni ukitufikia tutakuwasilishia tu u do ze nidiful......

Fidel80 ana maumivu ya kiuono, kazi ya Chuda simlaumu kabisa.....atakuwa fiti soon, Ila TEAM the King jana alikuwa ana do ze nidiful na Carmel, naona wameishia huko huko no see....

Sawa mkuu (pope kaizer)...ushauri wako ni amri halali....Asprin hebu wezesha ukaaji wa hili baraza....
Askofu pamoja na ukuu wako, ukiona ushauri wa pope kaizer basi utambue kwamba ni amri halali...tekeleza basi...jicho la huruma lahitajika, NO HASIRA....
 
Maneno yako na ya the pope ni amri........nawasilisha hundi muda si mrefu kwa ajili ya saini zenu.

ASKOFU naomba maelekezo utatumia kimiminika kipi kukigeuza kuwa damu ya mkombozi? (nataka kufanya logistics). Stock iko ya kutosha.
 
Wala madogo sana wewe ingia kundini utaona usisikilize habari za kusimuliwa IF YOU CANT BEAT THEM THEN JOIN THEM
Mjumbe...kabla hujakaribisha wanachama unahitaji kuchukua tahadhari...hebu rudi kamuulize kama ni aimiiiin niiiii she/he?..She anakuwa na added advantage!
 
Detector yangu inasema ni SHE na huwa haikosei tokea lini detectors za ISC zikakosea
 
GET SOME VALUER IT WILL CALM YOU DOWN RECOMMENDED BY DOCTORS:becky::becky::becky:

:crazy::crazy::crazy:

Askofu pamoja na ukuu wako, ukiona ushauri wa pope kaizer basi utambue kwamba ni amri halali...tekeleza basi...jicho la huruma lahitajika, NO HASIRA....

:crazy::crazy::crazy:

Maneno yako na ya the pope ni amri........nawasilisha hundi muda si mrefu kwa ajili ya saini zenu.

ASKOFU naomba maelekezo utatumia kimiminika kipi kukigeuza kuwa damu ya mkombozi? (nataka kufanya logistics). Stock iko ya kutosha.

:crazy::crazy::crazy::crazy:
 
Asprin hebu saidia hapa. Wakati nikiwa 'field' jana nilipata challenge nikakosa kipengele chochote cha sheria cha kuapply... Hivi pete za ndoa zinakuwa handled vp wakati wa kukienzi chama. maana sometimes noma kuingia kwenye zile nyumba, mmoja au wote kati yenu mmevaa alaf mnaomba 'short time'...
 
Chama kiko makini, kilishaliona hilo na sheria yake ni namba sita

6-INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima awe na ''defined-marital status'',lazima awe ameoa/ameolewa (huwezi kufanya infidelity wakati wewe hujaoa-hapo unakuwa unafanya zinaa tu!...infidelity kwa ujumla wake lazima kwanza uoe/uolewe:eyebrows::eyebrows::eyebrows:!samahani kama nawakwaza hapa ndugu zangu).

Pete si kikwazo cha infidelity...... Hivi si zinauzwa nyingi tu pale Kariakoo?
 
Hivi zile jewelry store na wale masonara kariakoo watu wanafikiri wapo bila sababu wale watu huminu sana ila watu hawajajua tu
 
Mpwa naona bado una hangover hapo! Hebu twenzetu hapo Kawe Club tukazimue na supu ya pweza!
 
Chama kiko makini, kilishaliona hilo na sheria yake ni namba sita

6-INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima awe na ''defined-marital status'',lazima awe ameoa/ameolewa (huwezi kufanya infidelity wakati wewe hujaoa-hapo unakuwa unafanya zinaa tu!...infidelity kwa ujumla wake lazima kwanza uoe/uolewe:eyebrows::eyebrows::eyebrows:!samahani kama nawakwaza hapa ndugu zangu).

Pete si kikwazo cha infidelity...... Hivi si zinauzwa nyingi tu pale Kariakoo?

Hivi zile jewelry store na wale masonara kariakoo watu wanafikiri wapo bila sababu wale watu muhimu sana ila watu hawajajua tu
 
Mpwa naona bado una hangover hapo! Hebu twenzetu hapo Kawe Club tukazimue na supu ya pweza!

:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:Dah nashukuru jana sijui Eliza amenichanganyia nini kwenye valuer yangu naona kwa shida kweli
 
Kama alikuchanganyia na pepsi na safari wota alikuwa anataka kulipia ada, we hukujua tu.....:A S 8:
 
Back
Top Bottom