Zijue sheria ''mama' za infidelity... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Teamo, Sep 22, 2010.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  well hapa haitakiwi kuongea sana,ni kuzishusha tu kama ifuatavyo:
  1-INFIDELATORS wanatakiwa kugharamia kikao cha kwanza wanapokutana na infideletees wapya kwa asilimia 100

  2-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanatakiwa kufanya wanaloliweza kuhakikisha hakuna leakage ya taarifa yoyote ya INFIDELITY juu yako kwenye familia zao(hasa hasa wake/waume zao waliowaacha nyumbani)

  3-INFIDELATORS/INFIDELEETES wanatakiwa kushea-KIZURI KULA NA NDUGUYO!(hii sheria ni muhimu sana).ukimpata infideletee anaejituma sana gesti muhabarishe na mwenzio akamfaidi.SHARING IS CARING-KUGAWANA NI KUJALI

  4-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanapaswa kuwa na umri wa watu wazima(18+.....!hii ilikuwa sababu pekee ya kumtoa georgieporjie kwenye uanachama)

  5-INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima wawe wanapandisha mvinyo kwa wingi (unywaji wa valuu una ''added advantage'')

  6-INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima awe na ''defined-marital status'',lazima awe ameoa/ameolewa (huwezi kufanya infidelity wakati wewe hujaoa-hapo unakuwa unafanya zinaa tu!...infidelity kwa ujumla wake lazima kwanza uoe/uolewe:eyebrows::eyebrows::eyebrows:!samahani kama nawakwaza hapa ndugu zangu).

  7-KWAKUZINGATIA SHERIA NAMBA 7 TAJWA HAPO JUU-infidelators watakaoingia kwenye NEC ni wale waliooa/olewa tu!wengine hao wanakuwa members tu kwasababu tunawajali sana zaidi ya hapo HAWANA KURA YA VETO

  8-INFIDELATORS/INFIDELETEES watahakikisha wanapigana kufa na kupona kuzilinda na kuzitetea ndoa za infidelators/infideletees wenzao!(ndoa na iheshimiwe na watu wote).naomba hii sheria muiangalie kwa umakini mkuu!hakikisha kufa kupona unafanya unaloweza kuhakikisha ndoa ya mwanachama haitetereki.

  9-INFIDELITY itafanyika NYUMBA ZA KULALA WAGENI TU!....tena itafanyika kilometa kadhaa kutoka maeneo yako ya nyumbani(otherwise unatakiwa uproove kwamba mkeo/mumeo kasafiri umbali usio pungua kilometa mia saba kutoka nyumbani kwenu).

  10-INFIDELITY KAMWE HAIFANYIKI USIKU KUCHA-fanya unalofanya lakini make sure umerudi nyumbani kwa waif/husband.ukilifanya hili utakuwa umeheshimu na kuitekeleza sheria namba 7 na namba 9 tajwa hapo juu

  11-INFIDELITY IS THERE TO STAY....!kwanini?kwasababu infidelity ni tiba ya KANSA YA KIBOFU!hapa pana mjadala mzito kidogo ingawa hauhitaji journals!

  12-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanalazimika(kwa hali na mali) kuwa na simu zaidi ya moja...!hasa hasa wanapaswa kuwa na simu moja HOT-LINE itakayokuwa fixed ofisini au eneo lako la kazi.Simu hiyo itatumika kwa ajili ya taratibu zote za infidelity(hapa ni mambo ya promises,appointments na kujuliana hali).kwa kufanya hivyo sheria tajwa namba 8 itakuwa inatekelezeka.

  13-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanapaswa kulindana,kutunziana heshima,kutunziana siri.ni marufuku kuzianika taarifa za infidelator/infideletee kwenye chombo chochote kile cha habari au mitandao.

  ngoja nikimbie gesti hapo msasani nika-du ze nidiful then nitarudi!

  kwa anaetaka katiba ya ''infidelity'' au kadi ya uanachama anipiemu tu......
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,032
  Trophy Points: 280
  Ngoja niwatafute wajumbe wa bodi kuja kujadili huu mswada kabla haujasainiwa

  Mwenyekiti - Pope Kaizer
  Katibu - St. Roya Roy
  Mweka hazina - Big braza Asprin -ODM
  Katibu mwenezi - Bigirita
  Mshauri mkuu - Fidel
  Wajumbe: The Finest, Masanilo, Dreamliner,Askofu,Kimey,Klorokwini,Maskini Jeuri,D5, Msanii, Dark City,Smiles, Beauty, bht,fanta,bacha,Jamii Forums, Acid,Teamo
  Wajumbe toka kambi ya upinzani: Carmel. Nyamayao, MJ1,Mwalimu Gaijin, ZD,Shishi,Mom......na wote wenye mapenzi mema na infidelity.:welcome::welcome::welcome:
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,350
  Likes Received: 22,207
  Trophy Points: 280
  Kama kawa yako mzee wa ku prezenna ma infedelity.
  Uko juu sana mwana
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hehehe!hiyo nafasi ya uhazini hiyo hehehehehe!
  ndo nachokukubalia wewe huwa unadhihirihsa uhazini wako tukiwa kaunta pale kati
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,032
  Trophy Points: 280
  Umesahau sheria namba 13: Mara baada ya kufanya infidelity hakikisha UNAOGA na sabuni zisizotoa harufu- vile visabuni vya gesti kama GIV ni MARUFUKU kutumika baada ya infidelity
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  karibu sana kwenye chama chetu mkuu
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mkuu, nadhani utakuwa umesahau, nami nipo hapo kwenye kambi ya upinzani!.....In short nyie watu mnafanya kama mzaha, lakini mind you sheria za hapo juu, to a great extent ndo zinazo-apply kwenye infidelity!!........Nimecheka mpaka basi!
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mkuu the fact ni kwamba kuna sheria nyingi sana!.....
  nimeainisha chache tu kwasababu hapa ninapokwambia tayari nipo gesti hausi
   
 9. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Infidelity is a violation of the mutually agreed-upon rules or boundaries of an intimate relationship, which constitutes a significant to extreme breach, or outright default, on the implicit good faith contract of a relationship, or a betrayal of core shared values with which the integrity and nature of the relationship is defined. In common use, it describes an act of unfaithfulness to one's husband, wife, or lover, whether sexual or non-sexual in nature.

  Mjumbe Mpinzani.
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,032
  Trophy Points: 280
  Sheria no 15: Kagua andawea uliyovaa kabla hujatoka kwenye infidelity room. Ni KOSA LA JINAI kwa infideletaz/infideleez kurudi nyumbani akiwa amevaa andawea ya mgombea mwenza. Futa msg, call logs zote kwenye simu kabla hujagonga mlango unaporudi kwa mwanandoa mwenzio. Hakikisha unaweka call barring kabla hujalala! Security codes ni MARUFUKU kwa kuwa zinaweza kuleta mashaka.
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Sep 22, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  lakini wewe mjumbe weweeeeeee
  mbona na wewe ni memba na jina lako limetajwa?
   
 12. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #12
  Sep 22, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hehehehe!
  muhazini nashukuru kwa kuendelea kupitia pitia katiba hiyo!
  nina zoezi hapa naendelea nalo nitaizingatia sana hiyo sheria
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,032
  Trophy Points: 280
  Oups! Nilikusahau MFADHILI WETU mkuu! Samahani usije ukakatisha misaada tafadhali!
   
 14. RR

  RR JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Recording....recording.....minutes...minutes....circular...circular....kwa kuwa nimependekezwa na mtu mzito sana, basi sina pumzi ya kuweza kupingana na kauli yake....!
   
 15. Smiles

  Smiles JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 1,231
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mhh Asprin hii haijakaa sawa kabisa.....
  Please shift me from 'wajumbe' to 'wajumbe toka kambi ya upinzani'
  kwa maana hapo tutakuwa tunaongea lugha mbili tofauti......
   
 16. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #16
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  jina langu limetajwa bahati mbaya, mimi nipo kambi pinzani bana!! lakini mhazini anaweza akawa ananipitia kunipa chochote kitu kutoka ruzuku ya kambi tawala..lol
   
 17. RR

  RR JF-Expert Member

  #17
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Uongozi ni wito....nanyi mmeitwa....
   
 18. Smiles

  Smiles JF-Expert Member

  #18
  Sep 22, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 1,231
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ehh? ni hapo sasa tutakapo kuwa tunapishana na kiongozi mkuu.....
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,032
  Trophy Points: 280
  Safi..........Katibu, ajenda inayofuata?
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Nafikiri unafahamu bado niko chuo namalizia mwaka wa tatu kwenye somo la INFIDELITY nashukuru mwalimu wangu ASPRIN ananipa assignment za kutosha na pia zile field alizoniandalia zimenisaidia sana
   
Loading...