Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Cheating, corruption, wars, na ufisadi wa kila aina ni matokeo ya "INFIDELITY". Nimeandika kwa rangi nyekundu kwa sababu huyu mdudu naifananisha na "SHETANI MWEKUNDU". Hakuna kirusi kinachotutafuna kama huyu....! Hata vita dhidi ya UKIMWI vimekuwa gumzo kwa sababu ya mdudu huyu; "INFIDELITY". Mimi automatically nimewekwa kwa wapinzani, na hivyo naipinga kwa nguvu zote....!
hehehehe!....
mkuu unataka kuisamaraiz sala ya bwana??
 
duh! hao wajumbe kutoka kambi ya upinzani................hapana kwa kweli!

walikuwa wamejitayarisha kujadili kwa kutumia journals na leo tushatangaziwa kuwa hazitakiwi.................itabidi wakafanye matayarisho mengine kwanza.

:confused2:
i hereby give you a benefit of doubt!.......
tumia journals mama
 
Siku mkinikamata natafuna infedelity iteni polisi....naingiaga majaribuni ila napiga moyo konde huku nikiwa na back up kubwa ya Blood of Jesus Christ.
FYI hao polisi ndio wasaidizi wetu katika kazi nzima. Tukipata matatizo tunawatumia kusevu ndoa zetu...
 
Nashauri msitumie vile visabuni vidogo Ayu/Eva maana utanukia mpaka nyumbani.
Nasisitiza tembea na sabuni yako ya kipande mfukoni maana hiyo ukisha jipiga soap soap manukato yake yanaisha mapema.

Hapo red? :confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:
 
FYI hao polisi ndio wasaidizi wetu katika kazi nzima. Tukipata matatizo tunawatumia kusevu ndoa zetu...

Hivi yule wa Moshi aliekamatwa aki infedeletiwa kinyume cha maumbo kesi yake iliishia wapi? basi mkinikamata mwiteni Mama Carmel
 
i hereby give you a benefit of doubt!.......
tumia journals mama
Journals are STRICTLY PROHIBITED kwenye vikao vyetu... Hayo majono yenu yapelekeni huko kwenye makongamano na masemina ya MKURABITA.
 
well hapa haitakiwi kuongea sana,ni kuzishusha tu kama ifuatavyo:
1-INFIDELATORS wanatakiwa kugharamia kikao cha kwanza wanapokutana na infideletees wapya kwa asilimia 100

2-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanatakiwa kufanya wanaloliweza kuhakikisha hakuna leakage ya taarifa yoyote ya INFIDELITY juu yako kwenye familia zao(hasa hasa wake/waume zao waliowaacha nyumbani)

4-INFIDELATORS/INFIDELEETES wanatakiwa kushea-KIZURI KULA NA NDUGUYO!(hii sheria ni muhimu sana).ukimpata infideletee anaejituma sana gesti muhabarishe na mwenzio akamfaidi.SHARING IS CARING-KUGAWANA NI KUJALI

5-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanapaswa kuwa na umri wa watu wazima(18+.....!hii ilikuwa sababu pekee ya kumtoa georgieporjie kwenye uanachama)

6-INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima wawe wanapandisha mvinyo kwa wingi (unywaji wa valuu una ''added advantage'')

7-INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima awe na ''defined-marital status'',lazima awe ameoa/ameolewa (huwezi kufanya infidelity wakati wewe hujaoa-hapo unakuwa unafanya zinaa tu!...infidelity kwa ujumla wake lazima kwanza uoe/uolewe:eyebrows::eyebrows::eyebrows:!samahani kama nawakwaza hapa ndugu zangu).

8-KWAKUZINGATIA SHERIA NAMBA 7 TAJWA HAPO JUU-infidelators watakaoingia kwenye NEC ni wale waliooa/olewa tu!wengine hao wanakuwa members tu kwasababu tunawajali sana zaidi ya hapo HAWANA KURA YA VETO

9-INFIDELATORS/INFIDELETEES watahakikisha wanapigana kufa na kupona kuzilinda na kuzitetea ndoa za infidelators/infideletees wenzao!(ndoa na iheshimiwe na watu wote).naomba hii sheria muiangalie kwa umakini mkuu!hakikisha kufa kupona unafanya unaloweza kuhakikisha ndoa ya mwanachama haitetereki.

10-INFIDELITY itafanyika NYUMBA ZA KULALA WAGENI TU!....tena itafanyika kilometa kadhaa kutoka maeneo yako ya nyumbani(otherwise unatakiwa uproove kwamba mkeo/mumeo kasafiri umbali usio pungua kilometa mia saba kutoka nyumbani kwenu).

11-INFIDELITY KAMWE HAIFANYIKI USIKU KUCHA-fanya unalofanya lakini make sure umerudi nyumbani kwa waif/husband.ukilifanya hili utakuwa umeheshimu na kuitekeleza sheria namba 7 na namba 9 tajwa hapo juu

12-INFIDELITY IS THERE TO STAY....!kwanini?kwasababu infidelity ni tiba ya KANSA YA KIBOFU!hapa pana mjadala mzito kidogo ingawa hauhitaji journals!

ngoja nikimbie gesti hapo msasani nika-du ze nidiful then nitarudi!

kwa anaetaka katiba ya ''infidelity'' au kadi ya uanachama anipiemu tu......


Ingawa mm sio mwanachama ila umeshahau hii " Nimarufuku INFIDELATORS/INFIDELETEES kutumia usafiri (Gari)moja kila mtu atumie usafiri wake na aingie/kutoka kwa muda wake sehemu husika GESTI HAUSI "
 
Hivi yule wa Moshi aliekamatwa aki infedeletiwa kinyume cha maumbo kesi yake iliishia wapi? basi mkinikamata mwiteni Mama Carmel
Raha ya Milele apewe Infii MC LEMA!!!

Taratiiibu unaanza kurudi kundini.....mama la Carmel siyo? Noted!
 

Ingawa mm sio mwanachama ila umeshahau hii " Nimarufuku INFIDELATORS/INFIDELETEES kutumia usafiri (Gari)moja kila mtu atumie usafiri wake na aingie/kutoka kwa muda wake sehemu husika GESTI HAUSI "
The Following 2 Users Say Thank You to BornTown For This Useful Post:

Asprin (Today), Teamo (Today)​
 
Journals are STRICTLY PROHIBITED kwenye vikao vyetu... Hayo majono yenu yapelekeni huko kwenye makongamano na masemina ya MKURABITA.

Hii ndio njia ya kupoteza ushahidi wa kimaadishi eeeh? Kumbuka sheria lazima iwekwe kwenye maandishi mkuu...!
 

Ingawa mm sio mwanachama ila umeshahau hii " Nimarufuku INFIDELATORS/INFIDELETEES kutumia usafiri (Gari)moja kila mtu atumie usafiri wake na aingie/kutoka kwa muda wake sehemu husika GESTI HAUSI "

Wewe,Born Town, kwa mamlaka niliyopewa, nakutangaza rasmi kuwa umekuwa mwanachawa wa heshima tena wa maisha. Karibu sana na ahsante kwa mchango wako uliotukuka.
 
Karibu chama tawala kama hutaki upinzani.....:becky:

hahaha fidel! yaani nashangaa kuwa ni miongoni wa wajumbe wa kujadili katiba ambayo sikujua kama ina exist even.

chama tawala kimefulia .................tunataka mageuzi sisi
 
Back
Top Bottom