Zijue sababu za Benjamin Mkapa kumuunga mkono Lowassa

Zijue sababu za Benjamin Mkapa kumuunga mkono Lowassa

I wish ningeipata iyo clip maana watz now days kwa kulishana maneno hawajambo

==> Okello anasema ukweli, KAMA HUAMINI...vuta subira, 2015 iko around the CORNER

==> Siku CCM watasema LOWASSA NDIE UCHAGUZI WAO....TUTAPIGA VIFIJO NA NDEREMO, TUTALIA KWA FURAHA NA UPENDO....NA NCHI YANGU ITAKUWA INAELEKEA KTK NCHI YA AHADI....

EEEH...Mungu, tunakuomba, Mbariki Lowassa na Tanzania na watu wake...!!"
 
Ukawa tutaanza na Mungu na kumaliza na Mungu

=> Na sisi LOWASSA TEAM....TUNAANZA NA YESU WA NAZARETH...na tunamaliza na Yesu wa Nazareth...

========== E. Lowassa 2015 =============
 
Nadhani hukumuelewa viZuri mkapa, Yule ana akili mara 100 ya huyo Lowassa wako ambae amekugeuza wewe Kama baamedi wake au muhudumu ambaye kila siku kazi yako kwenye mitandao ya kijamii nchini hapa ni kuuza kofia ya polisi.... Mkapa alikuwa na maana hii.... Watanzania msiwe wajinga kwa kuchagua mtu mgonjwa na dhoofu hali, mtakua mmerudia kosa walilofanya wazambia, Lowassa ni Kama Sata tuu..!! Nawasilisha...!!

Mkuu wakati ukifika Mkapa AKIMNADI ASKARI WAKE WA MWAMVULI ALIE MPA HESHIMA KANDA YA ZIWA UJITOKEZE PIA KUKANA UKWELI...
 
Ikiwa Dunia imesimama kwa mshutuko wa kumpoteza kiongozi shupavu Rais wa Zambia Marehemu Michael Chilufya Satta kilichotokea London mapema wiki hii , Rais Mstaafu Benjamin Mkapa amekaririwa na kituo cha lunginga CITIZEN nchini Kenya kwa njia ya simu akihojiwa maswali mbali mbali baada ya kifo cha Satta, Katika mahojiano yake siku sita OKELLO kupata tafakuri ya Zaidi ya masaa 30 hadi sasa na kudhubutu kusema Lowassa ameungwa Mkono na Mkapa kwa maslahi ya Taifa , chama na Serikali. Zijue sababu za Mkapa kumuunga mkono Lowassa katika Tafsiri ya mahojiano yake na kituo tajwa.

1.EDWARD LOWASSA ANAUZIKA KWA WANANCHI.
Rais Mkapa aliangazia wasifu wa Lowassa bila shaka na kukiri ndie anaeuzika akiangalia utendaji na uchapakazi wa Lowassa na ndioa maana alinukuliwa aisema,"Chama kama chama lazima muwe na mtu anayeuzika na kukubalika katika jamii kwa utendaji wake, haiba yake, wasifu wake (ndani ya Chama na Serikali) lakini vile vile ushawishi wake.." ambae bila shaka ni Lowassa.

2. VIJANA WAJITOKEZE ILA NI WAKATI WA LOWASSA.
Hapa Mheshimiwa rais Mstaafu alionyesha kuwa chama kina kuza demokrasia pia na hivyo hazina ya vijana haipaswi kupuuzwa ila huu ni wa kati wa Lowassa na ndio maana hakusita kumtaja Lowassa pale alipo jitokeza 1995 na sasa ni wakati wake. Hivyo alisema "...Haya mambo ya umri na kadhalika sisi hatukutazama wakati huo ila si dhambi vijana KUJITOKEZA manake hata wakati wangu Rais wa sasa Mhe. Kikwete na kina Lowassa walijitokeza na LEO unaona Kikwete ndiye Rais" akimaanisha vijana wajitokeze ila Lowassa ndie Rais AJAE.

3.AKIRI LOWASSA HAKUNA WA KUMZUIA NDANI YA CHAMA
"...nikuhakikishie hata kama mimi Benjamin Mkapa siko na Kikwete mwisho wa siku wanachama ndio watakaosema wewe hutaki ila sisi tuachie huyo huyo...Na hayo yalijitokeza mwaka 2005 watu walimtaka Mhe Kikwete sasa mimi kuwa Mwenyekiti wa Chama hakunipi Mandate ya kushindana na walio wengi na mliona alishinda kwa asilimia kubwa kweli kweli.." HIVYO ni wazi hata Rais Jakaya hayuko kwa ajili ya kumzuia Lowassa bali kutimiza Demokrasia.[/FO
 
==> Okello anasema ukweli, KAMA HUAMINI...vuta subira, 2015 iko around the CORNER

==> Siku CCM watasema LOWASSA NDIE UCHAGUZI WAO....TUTAPIGA VIFIJO NA NDEREMO, TUTALIA KWA FURAHA NA UPENDO....NA NCHI YANGU ITAKUWA INAELEKEA KTK NCHI YA AHADI....

EEEH...Mungu, tunakuomba, Mbariki Lowassa na Tanzania na watu wake...!!"

Mkuu tusiwachoke Hawa wataelewa ukweli.... sasa sijui ESCROW watarudisha maaana walafi
 
Jamani Okelo twashukuru unatuletea mambo mengi sana ya Lowasa. Plz ebu tujuze ya kweli kabisa kuhusu lowasa na richmond. Ili nasi tuangalie pande zote za shilingi. inawezekana ilikuwa propaganda au kweli.

Richmond ukweli wake ulishaelezwa kwenye halmashauri kuu ya CMM. Na hapo kina nape ndiyo walirudisha majeshi yao nyuma. Walidhani Lowassa is that simple. Pale ndipo nilifahamu kuwa Nape ni puto.
 
hakuna kiongozi aliye makini ndani ya chama cha CCM. Wote ni wasanii na wanamtandao wa ujambazi. Tunataka mapinduzi ya ukweli kama nchi za kiarab ama za West Afrika....watanzania tusikubali tena kuchagua CCM kwani wataturudisha nyuma kimaendeleo.
 
Kuna msemo wa Kiswahili "Waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba." Mkapa anajua kuwa Lowassa ni fisadi mwenzake kwa hivyo atamlinda. Kichowa cha mwizi huwa hakitulii akiogopa kuwa kuna siku atakamatwa. Mkapa ameuza nyumba za serikali kwa marafiki zake. Alijigawia Kiwira. Amefanya mengi ya kifisadi ambayo anajua ni fisadi mwenzake tu anayeweza kumlinda. Kwa hiyo haishangazi kabisa kuwa fisadi atamfagilia fisadi mwenzake.
u

Acha wivi wa kike! Mkapa haitaji ulinzi hata kidogo kazi aliyoifanyia nchi hii inatosha kumlinda. Hizo hoja zako hafifu zipeleke kwenye mradi ule wenu usiyo uzika.
 
Ikiwa Dunia imesimama kwa mshutuko wa kumpoteza kiongozi shupavu Rais wa Zambia Marehemu Michael Chilufya Satta kilichotokea London mapema wiki hii , Rais Mstaafu Benjamin Mkapa amekaririwa na kituo cha lunginga CITIZEN nchini Kenya kwa njia ya simu akihojiwa maswali mbali mbali baada ya kifo cha Satta, Katika mahojiano yake siku sita OKELLO kupata tafakuri ya Zaidi ya masaa 30 hadi sasa na kudhubutu kusema Lowassa ameungwa Mkono na Mkapa kwa maslahi ya Taifa , chama na Serikali. Zijue sababu za Mkapa kumuunga mkono Lowassa katika Tafsiri ya mahojiano yake na kituo tajwa.

1.EDWARD LOWASSA ANAUZIKA KWA WANANCHI.
Rais Mkapa aliangazia wasifu wa Lowassa bila shaka na kukiri ndie anaeuzika akiangalia utendaji na uchapakazi wa Lowassa na ndioa maana alinukuliwa aisema,"Chama kama chama lazima muwe na mtu anayeuzika na kukubalika katika jamii kwa utendaji wake, haiba yake, wasifu wake (ndani ya Chama na Serikali) lakini vile vile ushawishi wake.." ambae bila shaka ni Lowassa.

2. VIJANA WAJITOKEZE ILA NI WAKATI WA LOWASSA.
Hapa Mheshimiwa rais Mstaafu alionyesha kuwa chama kina kuza demokrasia pia na hivyo hazina ya vijana haipaswi kupuuzwa ila huu ni wa kati wa Lowassa na ndio maana hakusita kumtaja Lowassa pale alipo jitokeza 1995 na sasa ni wakati wake. Hivyo alisema "...Haya mambo ya umri na kadhalika sisi hatukutazama wakati huo ila si dhambi vijana KUJITOKEZA manake hata wakati wangu Rais wa sasa Mhe. Kikwete na kina Lowassa walijitokeza na LEO unaona Kikwete ndiye Rais" akimaanisha vijana wajitokeze ila Lowassa ndie Rais AJAE.

3.AKIRI LOWASSA HAKUNA WA KUMZUIA NDANI YA CHAMA
"...nikuhakikishie hata kama mimi Benjamin Mkapa siko na Kikwete mwisho wa siku wanachama ndio watakaosema wewe hutaki ila sisi tuachie huyo huyo...Na hayo yalijitokeza mwaka 2005 watu walimtaka Mhe Kikwete sasa mimi kuwa Mwenyekiti wa Chama hakunipi Mandate ya kushindana na walio wengi na mliona alishinda kwa asilimia kubwa kweli kweli.." HIVYO ni wazi hata Rais Jakaya hayuko kwa ajili ya kumzuia Lowassa bali kutimiza Demokrasia.

4.AONYA MAKUNDI YA URAIS NDANI YA CHAMA YANAYO MCHAFUA BILA SABABU.
Mheshimiwa Mkapa alirejea kauli ya Edward Lowassa February 7 ,2008 alipoonya wanasiasa kupakaziana siasa chafu hivyo nae alionya kwa kusema "Hivyo CCM Ina taratibu zake na wanajua nani anafaa manake siasa hizi...tuhuma zingine za kipuuzi kweli kweli...sasa mkiendekeza tuhuma mwishowe mnakuta mnabaki bila chama na kwenye siasa mkianza kushutumiana hakuna wa kusimama"

5.LOWASSA NI TUMAINI LA WENGI NA CHAGUO LA WENGI.
Amekishauri chama kuwa Lowassa ni tumaini la wengi hivyo cha kama chama wao watawekeza kwake na ndipo alipo yanena haya "Hakuna chama duniani ambacho kinaona kabisa fulani atatusaidia halafu kimwache -hakuna. Manake huko ni kukiua Chama...Naamini ndivyo ilivyo hata mpaka sasa tafiti zimefanyika na naamini wamesikia watu wakisema wanamtaka nani…wakati wangu mimi mgombea alikuwa amesha tungiwa nyimbo na watu mbali mbali wenye mapenzi nae. Hivyo labda hata sasa yawezekana kuwa hivyo…washwahili walisema nyota njema huonekana asubuhi"

MUNGU IBARIKI AFRIKA , MUNGU IBARIKI TANZANIA ,….SAFARI YA MATUMAINI KUELEKEA 2015.
Kwa Mkapa ninayemfahamu mimi, of all the people!, Mkapa?!, I doubt kama hizi ni kauli zake!.

Pasco
 
Mkuu tusiwachoke Hawa wataelewa ukweli.... sasa sijui ESCROW watarudisha maaana walafi

==>> ESCROW wamechukua hela, ..na Lowassa akichukua nchi, WATARUDISHA haraka sana fedha za walipa kodi...na kushitakiwa...ww subiria, I WILL MAKE THE BIGGEST CAMPAIGN FROM GRASS ROOTS TO NATIONAL LEVEL...FOR FREE KILA KONA NAKOPITA... NA KUMTANGAZA LOWASSA KWA WEMA NA UWEZO WAKE...

==> I PROMISE THIS... NI CAMPAIGN HADI KUFIKA JANUARY TO MARCH...LOWASSA ATAKUWA HANA MPINZANI....i promise this....!!!
 
hakuna kiongozi aliye makini ndani ya chama cha CCM. Wote ni wasanii na wanamtandao wa ujambazi. Tunataka mapinduzi ya ukweli kama nchi za kiarab ama za West Afrika....watanzania tusikubali tena kuchagua CCM kwani wataturudisha nyuma kimaendeleo.

SI lazima tuyaamini yakwako katika upeo wako ila ukweli si tu ccm ila unaogopa lowassa.....
 
Kwa Mkapa ninayemfahamu mimi, of all the people!, Mkapa?!, I doubt kama hizi ni kauli zake!.

Pasco
ungelikuja na tafiti zake maana unamjua sana .... ila kifupi hichi ndicho alicho sema.....
 
Richmond ukweli wake ulishaelezwa kwenye halmashauri kuu ya CMM. Na hapo kina nape ndiyo walirudisha majeshi yao nyuma. Walidhani Lowassa is that simple. Pale ndipo nilifahamu kuwa Nape ni puto.

You smart mkuuu ....unawaza mbali....
 
u

Acha wivi wa kike! Mkapa haitaji ulinzi hata kidogo kazi aliyoifanyia nchi hii inatosha kumlinda. Hizo hoja zako hafifu zipeleke kwenye mradi ule wenu usiyo uzika.

Nenda nae taratibu atakuelewa..
 
Ilikuwa ni LAZIMA Pasco wa JF awe wa kwanza kulike huu uzi.

Mimi binafsi simuoni huyo Lowasa kuwa na uwezo wa maaaana kuliko waonesha nia wengine nji hii.
Kwangu huyu ni mmoja kati ya wachovu na kiongozi mbovu anayekuzwa jina na vyombo vya habari kwa nguvu ya shekeli/vijisenti vichafu.
 
Back
Top Bottom