Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,314
- 5,523
Mbona ACT hawajatoa majina na CDM wametoa nusu nao wanaogopa nini au wanavizia makombo toka CCM?
Nusu sababu majimbo mengine wanapewa ACT ngoja nikuibie siri upo?
Mbona ACT hawajatoa majina na CDM wametoa nusu nao wanaogopa nini au wanavizia makombo toka CCM?
Mzee tupatupa
Mwenyekiti wenu wa chama taifa kwa sasa yupo Dodoma , Dsm au Tocha ?
Makonda anapetaje kwa kutoa rushwa ili Ndungulile akatwe? Vijana wa Lumumba hata kuandika ni shida, mnaweza mambo gani ninyi? Umbea, majungu, kuteka na kushambulia tu?yule ataponzwa na external enemies of makonda ndiyo waliotoa hongo kwa wajumbe ili akatwe ndungulile hajatoa rushwa ia wajumbe wamekula rushwa hivyo makonda anapeta
Kwa kuwa chama kimegeuka na kuwa mali binafsi ya GENGE LA WAHALIFU, kila kitu kinawezekana Mkuu. Huoni mfano kwa TAKUKURU kuwasilisha majina ya watoa rushwa CCM badala ya kuwapeleka Mahakamani? Utawala wa IMLA una viroja sana.Jimbo la Makonda lile. Jiandae waziri wako wa baadae huyo.
Rushwa ipl Sasa. Hivi unajua fedha walizolipwa Wajumbe na Vitisho
Kweli kabisaSi kweliiii
Kwahyo rushwa iendelee hivo hivo kisa watia Nia wengiWaanzania ni walewale mkuu. CCM kunakuwa na rushwa kwa sababu mchuano unawahusu watu wengi. Hivyo kwa chama chochote chenye watia nia wengi rushwa ni lazima
Vyama vingi vya upinzani mgombea ndani ya chama ni m1 tu. Utatoa rushwa ili umshinde nani?
Enzi za funika kombe..hazipo tena, acha kuzungusha kichwa uone makengeza bwn, msimamo wa M/kiti, wasaidiz wake, Katibu Mkuu na sekretariat yote unajulikana..watu wenye sifa, hakuna sifa ya pesa kwenye sifa zilizotajwa! wakati mwngn sabab za kutoendelea kwetu kunatokana na watu wa aina ya huyu aliyeandika hapa, anazunguka zunguka wakat mambo yako wazi kabisa..huwezi ishinda rushwa kwa misemo ya kijinga jinga kama aliyotoa huyu, ni bora upate mtu safi hata km wanaccm hawamtaki lakini atafanya kazi nzuri kwa nchi..
Inashangaza sana.Hivi kwani utaratibu ukoje kwa Takukuru ikishapata uthibitisho wa Mtu kutoa au kupokea Rushwa? Je ili kumchukulia hatua ikiwemo kumpeleka Mahakamani, inapaswa iombe ruhusa kutoka kwenye Chama? Je chama ukiwapotezea lakin wao Takukuru waba ushahidi, nao watawapotezea? Kwa kufanya hivyo haioni kuwa haitendi haki kwa wale wasio wanasiasa/CCM?
Hapo ndio unakuwa umepambana na rushwa!?Nakubaliana na wewe kuwa kama serikali imeamua kupiga vita rushwa ni lazima ifanye hivyo kwa vitendo. Inapobainika kuwa mshindi wa kura za maoni alitoa rushwa na akawa wa kwanza na katika wale aliowashinda wako watu safi ambao hawakutoa rushwa uamuzi unakuwa rahisi kuwa yula aliyetoa rushwa anakatwa na yule ambae hakutoa ndiye anayeteuliwa kuwa mgombea.
So far so good, tatizo linatokea pale wagombea wote wametoa rushwa na hiyo imedhihilika isipokuwa wamezidiana kete katika viwango walivyotoa!! Sasa hapo utamteua yule aliye honga kidogo na kumuacha yule aliyetoa dau kubwa au utamteua yule aliyetoa dau kubwa na kushinda?
Nimkumbushe kidogo mzee wa mafaili kuwa katika Uchaguzi za ccm huko nyuma hali kama hii iliwahi kujitokeza katika majimbo fulani fulani hivyo kuna precedent kama wanataka kazi yao iwe rahisi. Uamuzi wa wakati ule ulikuwa, kwavile wagombea wate walijulikana Kuwa walihonga na tofauti Yao ni dau walilotoa basi yule aliye shinda kura za maoni ndiye aliyeteuliwa kuwa mgombea.
Hapo ndio unakuwa umepambana na rushwa!?
Solution; tuwapumzishe tu maana wao wameshindwa kupambana nayo badala yake wamesurrender na viongozi wakuu wa chama wamejiingiza kwenye mtego huo huo refer hamahama ya viongozi waliotokea upinzani ni rushwa tupu tena ikisimamiwa na ofisi kuu ya chama.It is a way out when you are caught between a rock and a hard place as they are now!!! WaNAPAMBANA NA HALI YAO!
Itoshe tu kusema kua majimbo yote walioshinda Ni wale walioongoza kwa kutoa rushwa which means rushwa ilitawala kila jimbo
Solution; tuwapumzishe tu maana wao wameshindwa kupambana nayo badala yake wamesurrender na viongozi wakuu wa chama wamejiingiza kwenye mtego huo huo refer hamahama ya viongozi waliotokea upinzani ni rushwa tupu tena ikisimamiwa na ofisi kuu ya chama.
Dr Ndungulile jina limerudi? Maana yeye anapendwa jimboni lakini uongozini hana Godfather.