Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 5,527
- 7,121
Walokole hapa namaanisha watu wenye sifa zifuatazo: waliotubu dhambi zao na kumpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wao, waliobatizwa ubatizo wa maji mengi na kujazwa Roho Mtakatifu. Ibada zao zina shangwe ya kiroho, kunena kwa lugha, shuhuda za miujiza na uponyaji, na mahubiri/mafundisho yanayohimiza utakatifu.
Nchi zenye Walokole wengi kwa idadi ni hizi hapa:
Marekani(USA): Walokole takriban milioni 49
Brazil: Walokole ~milioni 34.
Nigeria: Walokole ~milioni 25
Philippines: Walokole ~milioni 22
India: Walokole ~milioni 18.4
South Africa: Walokole ~milioni 17.7
Zimbabwe: Walokole ~milioni 5.4
Idadi ya walokole duniani inakadiriwa kuwa karibu milioni 280. Idadi hii ni ndogo lakini inaonyesha ukweli wa maneno aliyosema Yesu katika Mathayo 7:14
"Bali mlango ni mwembamba, na njia imebana iendayo uzimani, nao waionao ni wachache."
====================
Kwa mujibu wa Ripoti za Gordon‑Conwell, idadi ya Wakristo wote duniani ni takriban bilioni 2.6. Idadi hii ni kubwa lakini inasikitisha kwa sababu wengi wao wana majina tu ya kikristo lakini hawayafanyi mapenzi ya Mungu. Yesu alisema:
"Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika Ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.” (Mathayo 7:21)