Zijue baadhi ya sababu: Kwanini hupaswi kumuoa mwanamke askari

Nisaidie kumshangaa maana wengine aunt zetu ni wajeda kabisa lakin wanafamilia na wanaishi vizuri na waume zao.
Labda na waume zao nao ni wajeda!
Ila mtoa mada asiwe conclusive kuwa askari wote wako vile!
Japo wengi wanaweza kuwa vile kutokana na nature ya kazi yao na mazingira ya kazi pia.
 
Inaweza kuwa ni kweli hoja yako mtoa mada ila naona kama watu wanaandika kwa hisia wengine kwakua mama zao ni askari au ndugu zao. Hawataki mawazo na tabia hasi zizungumzwe juu ya watu wenye ukaribu nao.
Si askari wote wanatabia zilizotamkwa ila asilimia kubwa nashawishika kuona huenda wanatabia kama hizo. Tunaposema Tanzania ni masikini halafu unatujia na mifano ya raia mmoja mmoja wasio masikini na unatupa hitimisho kwamba Tanzania sio masikini kwasababu Dewij ni tajiri utakua kwa namna yoyote unamapungufu katika ufikiri.
Kuna probability kubwa ukioa askari ukakumbwa na maswahibu ya mtoa mada.
Ukitaka jaribu kuresearch kwa kuwauliza askari wa kiume uwaambie nataka kuoa askari kama ni rafiki zako lazima watakupa maneno gunia kwamba huwawezi hao n.k.
Lakini kuoa kunatokana na kupenda na ukiona mtu anapenda na anasikiliza sana ushauri huyo hajapendana.
Mie ninampango wa kuoa askari na nawapenda askari sana tu hata kama kuna changamoto nitazikabili kwa kuwa nazijua hata kabla ya kuoa.
Lakini mazingira waliyonayo ni magumu na tusiwanyanyapae kwa mazingira yao ya kuihudumia jamii kuwa na ugumu na stress nyingi.
Mungu awasaidie askari wapate waume wanaowaelewa na watakao zikabili changamoto walizonazo kwa umakini na upevu mkubwa.
 
1. Wewe hakuna unachokijua, uzi wako umekaa kifitnafitna baada ya kutoswa na askari.

2. Uandishi wako wa kudonyoadonyoa pia na umebase upande mmoja wa kuponda umesahau zipo familia za kiaskari nzuri zaid ya raia na maisha yanaenda.

3. Mwalimu Nyerere mtu mzito sana kwenye hili taifa kuliko hata baba yako, lakini umeshindwa kumnukuu vizuri, umechanganyachanganya na ufyoro wako hapo juu kisha unasema (Mwal Nyerere).

Ushauri: Zingatia hivyo vitu hapo juu kisha urekebishe uzi wako
Koplo ajibu.
 
Wakuu habari za muda huu.
Nitumie fursa hii kuwapa darasa vijana wenzangu wanaotarajia kua na wachumba au pengine wana wachumba tayari na wanapanga kufunga pingu za maisha.

Huu ndio ukweli kuhusu plan zenu kuwaoa askari wa kike, japo naweza kuwakwaza au kuharibu mipango ya baadhi ya watu lakini ukweli lazima usemwe na hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kwamba hayapo(Mwl. Nyerere).

Niende kwenye baadhi ya sababu ninazoweza kusema hupaswi kumuoa askari wa kike endapo unataka kua na ndoa imara na yenye furaha.

1. Hulka ya askari wa kike ni watu jeuri sana (hilo mnalifahamu sina cha kusema sana).

2. Askari wa kike wengi ni wahuni, kwao kugawa penzi sio tatizo maana wana ujasiri wa mafunzo mpaka ujasiri wa kufanya matendo ya hovyo. Kingine ni vema ukajua kazi ya uaskari ni kazi yenye mazingira magumu na kwa kawaida wanawake hawapendi ugumu kwenye maisha, sasa kinachofuata ni kuliwa na wenye mamlaka ili kupunguza ugumu wa mazingira ya kazi, hapa hutamkuta anapangwa zamu za ajabu ajabu, hutamkuta anakaa mazingira ya ajabu kama kijijini sana, kituo cha ajabu ajabu, utamkuta ofisini, kazi simple simple.

Ukiona hivyo mara nyingi ndo basi tena, ukiona manyoya ujue kaliwa.

3. Endapo utamuoa na ikatokea siku mmekosana basi jua kabisa kesi yenu itahamia kazini na huko kazini kesi yenu itashughulikiwa kwa kutegemea rank zenu na sio kwamba nyie ni mume na mke(endapo wewe na mkeo mtakua wote ni askari).
Sasa kibaya zaidi mkeo awe na rank kubwa kukuzidi nakwambia utashughulikiwa vilivyo, kesi ya kumpiga makofi mkeo itageuka na kuitwa kesi ya wewe kumpiga kiongozi wako wa kijeshi,nakwambia utajuta ndipo utakapotambua mpapai haufai kwa mbao.

4. Kwa nature ya kazi yao ni vigumu kutekeleza majukumu yao kama wanandoa maana ratiba zao hazieleweki, akiitwa kazini saa tano usiku huwezi kukataa maana kaitwa na boss,sasa je wewe una uhakika gani kwamba huo wito ni wa kikazi(halali).

Sikatai, wapo askari wa kike wastaarabu sana tu na wameolewa,ila ukifuatilia asilimia za waliowengi ni matatizo matupu.

Najua sio kila mtu atakubaliana na hili, nami nakaribisha mawazo tofauti maana sio dhambi ila ukweli ninaoufahamu ndio huo hapo juu, wengine matomaso siku yakiwakuta watakumbuka huu uzi, nawahakikishia iko siku baadhi yenu mtasema "Natoka hapa" aliwahi kuandika uzi flani tukaupuuza.

Sisemi watu msioe askari,ninachosema hapa ni kuwapa alert mjue kama mnaelekea huko mjiandae vipi kukabiliana na changamoto, kingine akili za kuambiwa changanya na za kwako, ikumbukwe maneno yangu sio sheria.

Naishia hapa najua kuna wenzangu mnajua sababu nyingine mnaweza kuongezea.

NB:Sijataja jeshi lolote wala chombo chochote kutoka nchi yoyote.
Ieleweke kwamba uzi huu ni universal.

Nawasilisha.
Duh mkuu
 
Kwa mtazamo wangu siwezi kuwa na mwanamke askar nawachukia nje ndani hata ikitokea ndugu yangu yyt akawa askari taratibu naanza kupunguza mazoea nae haswa katika maeneo yangu ya kazi hawa tabiriki.
 
Namba tatu ni shida.
 
Mwanamke tabia,maana wanawake wasiona kaz pia ni shida.Atakuwekea limbwata wee,ili tu using'oke maana anakutegemea.Mshukuriwe wazaz wetu kwa kutusomesha maana wanaume naoo
 
Inategemeana na askari siyo wote,labda wale waliokuwa vilaza darasani na wakorofi na malaya ,ila mwingine wameenda kama fani yao ni wastaarabu sana,ila katika 10 mmoja tu
 
Kuna rafiki yangu aliwah kuwa na dem afande halaf afande alikua anamzimia msela kindakindaki...sasa anakuambia siku moja alikamatwa na traffic barabaran akapewa shurba sana jamaa baada ya kutoka pale alimpigia simu yule dem akamwambia wakutane wafanye yao. Cha kuchekesha baada ya kukutana nae alimwambia asivue zle uniform wafanye wakiwa na uniform, jamaa anakuambia alifanya vile eti kulipiza kwa wale traffic " yaan nilijiona kama nawafanya wale traffic pale barabaran pumbav zao"
 
Mi wale wanaosumbuaga Barabarani huwa nikimshika moja nalipa hasira Zote Kwanza atapewa microfone test afloo the atachuma matembele mpaka hasira ziniishe Nyambafuu zao
 
Back
Top Bottom