Zijue baadhi ya sababu: Kwanini hupaswi kumuoa mwanamke askari

Uliyemkataa wewe kuna mtu atamkubali na wataishi vyema,aliyemkataa mwingine atakukubali wewe na mtaishi vyema.Haya maisha bwana hayajawahi kuwa na fomula.
 
Unakuta kabinti kazuri na karembo sana eti askari, haya ni matumizi mabaya ya rasirimali watu, ni sawa na kwenda kuuza machungwa kwenye shule ya kata
Hao ni kwaajili ya kuwakama majizi yale yanapenda totozi yani unampa siri zote halafu unaangushiwa jumba bovu
 
kawaida huwa nawachukia watu wa Dizaini yako kuwazibia ridhki watu
Huu ni uchuro na uwanga na uchawi
Watu wakipendana Waoane
Who are you to judge?
Umekataliwa na Askari si bure
Haya anzisha Uzi tena wa Manesi na Walimu
Rihoo mbayaaaaaa!
 
kawaida huwa nawachukia watu wa Dizaini yako kuwazibia ridhki watu
Huu ni uchuro na uwanga na uchawi
Watu wakipendana Waoane
Who are you to judge?
Umekataliwa na Askari si bure
Haya anzisha Uzi tena wa Manesi na Walimu
Rihoo mbayaaaaaa!
Taratibu poti


🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
kesi ya kumpiga makofi mkeo itageuka na kuitwa kesi ya wewe kumpiga kiongozi wako wa kkijeshi
 
Hata huyu kweli.
tapatalk_1559570367844.jpeg
 
Back
Top Bottom