Zijue baadhi ya sababu: Kwanini hupaswi kumuoa mwanamke askari

Humu watu wanapayuka na hawaelewi wanachokikanusha na kukitetea juu ya hoja ya mtoa mada.
Ila kasahau kutaja na kujumuisha baadhi ya kada zenye wanawake maharage ya mbeya pia.
Kada ya waalimu na maness ni kundi moja la nyani.
Utaona huyu ni ngedere ama nyani ama kima lakini ni wale wale.
Hawa wengine unaweza kumsimamia ila hawa wa jesh wameshindikanja
 
Mkuu umeongea ukwel mtupu askari sio mademu tuuu ata wanaume shenzi sanaa pumbavu zao.
 
Ninakubaliana na mtoa mada kwa 100%,kuna kipindi nilikuwa na matatizo ya kikazi so nilikuwa nashinda polisi kuanzia asubuh mpaka jioni kwa kipindi cha kama 2 weeks,inshort nikawa nimezoeana na baadhi ya maaskari wa hapo central,kuna binti mmoja polisi nikawa nimevutiwa nae ikabidi nimshirikishe mshikaji mmoja ambae nae ni polisi,alichoniambia mpaka leo sina hamu nao teena,jamaa aliniambia kila demu unaemuona hapa mzuri ni chakula ya wakuu hata wao wanaziogopa na akaniambia kama kuna ziara yeyote ya mkuu wa jeshi la polisi kutoka makao makuu au popote ili mradi awe anakuja hapa mkoani basi hao ndio chakula cha wakuu,na huwa wanaambiwa kbs hao mademu kesho kamanda fulani atakuwepo so ww ndio utakuwa mwenyeji wake na hawana ujanja wa kukataa zaidi ya kujibu" yes sir "
 
Wakuu habari za muda huu.
Nitumie fursa hii kuwapa darasa vijana wenzangu wanaotarajia kua na wachumba au pengine wana wachumba tayari na wanapanga kufunga pingu za maisha.

Huu ndio ukweli kuhusu plan zenu kuwaoa askari wa kike, japo naweza kuwakwaza au kuharibu mipango ya baadhi ya watu lakini ukweli lazima usemwe na hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kwamba hayapo(Mwl. Nyerere).

Niende kwenye baadhi ya sababu ninazoweza kusema hupaswi kumuoa askari wa kike endapo unataka kua na ndoa imara na yenye furaha.

1. Hulka ya askari wa kike ni watu jeuri sana (hilo mnalifahamu sina cha kusema sana).

2. Askari wa kike wengi ni wahuni, kwao kugawa penzi sio tatizo maana wana ujasiri wa mafunzo mpaka ujasiri wa kufanya matendo ya hovyo. Kingine ni vema ukajua kazi ya uaskari ni kazi yenye mazingira magumu na kwa kawaida wanawake hawapendi ugumu kwenye maisha, sasa kinachofuata ni kuliwa na wenye mamlaka ili kupunguza ugumu wa mazingira ya kazi, hapa hutamkuta anapangwa zamu za ajabu ajabu, hutamkuta anakaa mazingira ya ajabu kama kijijini sana, kituo cha ajabu ajabu, utamkuta ofisini, kazi simple simple.

Ukiona hivyo mara nyingi ndo basi tena, ukiona manyoya ujue kaliwa.


3. Endapo utamuoa na ikatokea siku mmekosana basi jua kabisa kesi yenu itahamia kazini na huko kazini kesi yenu itashughulikiwa kwa kutegemea rank zenu na sio kwamba nyie ni mume na mke(endapo wewe na mkeo mtakua wote ni askari).
Sasa kibaya zaidi mkeo awe na rank kubwa kukuzidi nakwambia utashughulikiwa vilivyo, kesi ya kumpiga makofi mkeo itageuka na kuitwa kesi ya wewe kumpiga kiongozi wako wa kijeshi,nakwambia utajuta ndipo utakapotambua mpapai haufai kwa mbao.

4. Kwa nature ya kazi yao ni vigumu kutekeleza majukumu yao kama wanandoa maana ratiba zao hazieleweki, akiitwa kazini saa tano usiku huwezi kukataa maana kaitwa na boss,sasa je wewe una uhakika gani kwamba huo wito ni wa kikazi(halali).

Sikatai, wapo askari wa kike wastaarabu sana tu na wameolewa,ila ukifuatilia asilimia za waliowengi ni matatizo matupu.

Najua sio kila mtu atakubaliana na hili, nami nakaribisha mawazo tofauti maana sio dhambi ila ukweli ninaoufahamu ndio huo hapo juu, wengine matomaso siku yakiwakuta watakumbuka huu uzi, nawahakikishia iko siku baadhi yenu mtasema "Natoka hapa" aliwahi kuandika uzi flani tukaupuuza.

Sisemi watu msioe askari,ninachosema hapa ni kuwapa alert mjue kama mnaelekea huko mjiandae vipi kukabiliana na changamoto, kingine akili za kuambiwa changanya na za kwako, ikumbukwe maneno yangu sio sheria.

Naishia hapa najua kuna wenzangu mnajua sababu nyingine mnaweza kuongezea.

NB:Sijataja jeshi lolote wala chombo chochote kutoka nchi yoyote.
Ieleweke kwamba uzi huu ni universal.

Nawasilisha.
42673d451344e1d861d5b02c1d2fb13d.jpg
 
Woga tu, akiwa askari au mwalimu wa nursery yote sawa tu.
Akirudi toka kazini na kuingia kwenye boma lako ni mkeo na mama wa watoto wako na mama wa nyumba, wanaume tujiamini, nahisi tunapoteza ule ukakamavu kama wa mababa na mababu zetu!
 
Hayo ni mapungufu, ila faida zake zipo pia, gari lako haliguswi na trafik tena uwe unampeleka kazini na kumfata jioni utaona raha yake kila trafik anakuita shem,

sio kila askari anakaa doria wapo wahasibu masekretari na maofisa ambao hawaendi doria, hakikisha unamwendeleza kimasomo apate nafasi nzuri kazini

umalaya ni hulka ya mtu wapo masista wanapigwa jiti kama kawaida, sidhani kama vina uhusiano na ajira, anaweza kuwa mama wa home akakuaga anaenda kulala msibani akaishia kuliwa asusa

askari ni wavumilivu kimaisha anaweza ishi mazingira yeyote na muda wowote, ukimwambia dili zimekata tukapange chumba na sebule buguruni hana tatizo,

askari matumizi yao kidogo muda mwingi wanakuwa na nguo za kazi na hawaruhusiwi kujiremba na mekapu za ajabuajabu, yangu ni hayo tu, karibu kwenye mjadala
Umeongea ukweli na msema kweli no mpenzi wa Mungu
 
1. Kama sio askari wa vikosi visivyo na askari wakike na umewakosa. Ndio maana unaandika vitu visivyo na uakika navyo.

2. Umeachwa na askari wa like hivyo unataka kuunganisha wote kwenye matatizo yako.

3. Unazenge mdomoni ndio maana. Umeshindwa kumtokea mjeda au ndata. Usiogope wee nenda kwa utaratibu wa kawaida tu. Watakuelewa.

4 Mimi nimekaa nao kwa miaka 30 awana shida kama ulivyosema wewe. Wanaolewa na kuhishi kwenye ndoa kama wanawake wengine. Wanazaa. Wanachangia uchumi wa nyumbani vilivyo. Walinzi waziri wa familia yako.
 
1. Kama sio askari wa vikosi visivyo na askari wakike na umewakosa. Ndio maana unaandika vitu visivyo na uakika navyo.

2. Umeachwa na askari wa like hivyo unataka kuunganisha wote kwenye matatizo yako.

3. Unazenge mdomoni ndio maana. Umeshindwa kumtokea mjeda au ndata. Usiogope wee nenda kwa utaratibu wa kawaida tu. Watakuelewa.

4 Mimi nimekaa nao kwa miaka 30 awana shida kama ulivyosema wewe. Wanaolewa na kuhishi kwenye ndoa kama wanawake wengine. Wanazaa. Wanachangia uchumi wa nyumbani vilivyo. Walinzi waziri wa familia yako.
Sio lazima ukubaliane namimi.

Kama walinikataa labda uchukue nafasi yao au unasemaje mkuu?
 
My God, hii mada nita changia wiki ijayo kwa vile sasa hivi nipo njiani naenda Tarime kuuza ng'ombe
 
Jeuri,kiburi,umalaya na vinginevyo ni hulka ya mtu binafsi sio kazi ya mtu,ndio maana kuna walimu,manesi,mabanker,wabunge n.k wenye hulka ulizozitaja hapo juu.
Mazingira na watu unaokaa nao muda mrefu (hasa kazini) vina influence katika mabadiliko ya tabia. Soma vizur concept ya nature na nurture ktk personality.
 
Hapa nazungumzia kuoa sio kuzaa.

Sizungumzii kipato.
Nazungumzia tabia za askari wa kike walio wengi.

Wala siko hapa kumuaminisha mtu, mimi sio mchungaji,mimi sio shekhe wala mimi sio padri, hapa soma na endelea kua na imani yako.

Sizungumzii Tanzania maana naona umetaja BoT.
Mimi nazungumza generally(Worldwide).
Hata ukibisha hausaidii maana andiko langu umeshalisoma na umeelewa na kama ulikua hujui basi nishakupa kazi utaenda kufatilia mwenyewe kimya kimya.
Mkuu, kwa jinsi unavyojibu hoja kwa mantiki,hekima na unyenyekevu nachelea kuzitazama hoja zako kwa jicho pevu zaidi.
 
Mpaka naandika huu uzi nilijua kabisa kwamba kuna watu wana mawazo tofauti na mawazo yangu.

Tambua tu kwamba ninakijua vema hiki ninachosema, pia nikukumbushe kwamba katika andiko langu hakuna sehemu nimesema askari wote wa kike wana tabia mbaya.

Mambo ya Mwalimu ni sehemu ndogo sana ya uzi, acha kuhamisha magori.

Kuhusu kukataliwa na askari wa kike nadhani hauna ushahidi nayo,alafu mimi kama mwanaume sitegemei kukubaliwa na kila mwanamke, hata wanyama wawindaji kama simba sio siku zote watakamata swala, kuna siku swala wanakua na mbio zaidi kuliko simba.
Mwanamke akinikataa sio bifu,namuacha natafuta mwingine maana hata ninayempata lazima atakua kashamkataa mwanaume mwingine huko, na anayenikataa mimi lazima atamkubali mwanaume mwingine.

Nashukuru kwa maoni yako.
Hahahaha.... ..mkuu wewe unaongoza jimbo gani?
 
Back
Top Bottom