Zijue athari za kioo kiroho

Zijue athari za kioo kiroho

[emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo mnaamini ushirikina mno...


Je wajua?

Ubongo wako huwaunachoka Kukaa sehemu moja....ndo maana ukiangalia kioo ndan ya dk10

Utaona unaanza kujitisha mwenyewe.


HII INAFANYWA NA UBONGO.

Sent using Jamii Forums mobile app
UDuh huenda ni kweli maana hata mimi nishawahi kuona uso wa mtu kwenye jua ukinitazama baada ya kuliangalia kwa mda bila kuhamisha macho...

Mkuu bless on njoo utie neno huku
 
UDuh huenda ni kweli maana hata mimi nishawahi kuona uso wa mtu kwenye jua ukinitazama baada ya kuliangalia kwa mda bila kuhamisha macho...

Mkuu bless on njoo utie neno huku
Huyo jamaa huenda ameongea kisayansi ila kiroho mambo ni tofauti kioo ni portal
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom