Zijue athari za kioo kiroho

Aisee kumbe ndiyo maana kwetu wakati tupo wadogo wazazi walikua wanatukataza kutumia kioo usiku...mmmh sasa ngoja niwacheki hao viumbe
 
Ufunguo mkuu wa meditation ni kutulia tu acha mwili na sehemu zake vitape tape ukizidi kutulia kadri unavyozidi kufanya meditation na kuizoea ndio hali hiyo itakuondoka,

Rakims
Salaam mkuu. Nimekuwa nikifuatilia Sana baadhi ya thread zako nimekuwa nikijifunza Sana kuepukana na Mambo fulani hv. Barikiwa Sana mkuu. Kwakweli kukuelewa ww inahitaji ufahamu wa ziada tulionao watu wachache. Naomba unisaidie mkuu,
Swali; kunatofauti gani Kati ya zoezi la meditation na zoezi la lucid dream au utofauti ni wa majina tu na maana na lengo ni lile lile moja? Nisaidie jibu mkuu.
 
Duuuh... acha nichague kutokujaribu maana kitakachofuata baada ya hapo ni kuishi kwa hofu..[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hapana mkuu tofauti kati ya lucid dreaming na meditation ni kuwa ukiwa unafanya meditation kuna vitu unakuwa una gain na faida zake ni nyingi sana tofauti na lucid dream ambayo faida kubwa huwa ni starehe ndotoni na afya ya mwili

Rakims
 
Duuuh... acha nichague kutokujaribu maana kitakachofuata baada ya hapo ni kuishi kwa hofu..[emoji28][emoji28][emoji28]
Kila ukiangalia kioo unakuwa unakumbuka sio?

Rakims
 
Daah ubarikiwe Sana
 
Hapana mkuu tofauti kati ya lucid dreaming na meditation ni kuwa ukiwa unafanya meditation kuna vitu unakuwa una gain na faida zake ni nyingi sana tofauti na lucid dream ambayo faida kubwa huwa ni starehe ndotoni na afya ya mwili

Rakims
Asante mkuu. Samahani tena nauliza. Je, Meditation inawezekana kuifanya usiku huku umelala chali au ni sharti mpaka uwe umekaa?

Nikiwa namaana kama ikiwezekana kufanya meditation huku nimelala nitumie mbinu gani ili nisije kujikuta nimezama kwenye lucid dreaming na wakati lengo kulikuwa ni astral projection.
 
Swali lingine mkuu naomba unisaidie,
Mimi ninapokuwa nimelala usiku, kuna wakati huwa najikuta nimeshtuka usingizini na mwili wangu unakuwa Kama umepalalaiz nakuwa sijiwez hata kutikisa kidole, na ninaweza nikafumbua macho kabisa lakini sioni chochote, huwa nikijikuta kwenye hali hiyo najitahidi kupiga kelele then baadae ndo nashtuka. Hali hiyo huwa inanitesa Sana mkuu,
Inaninyima raha ktk maisha Kila ikifika usiku.
Wakati nasoma thread yako ya Astra projection, nikaona umeielezea hataua ya sleep paralays, nikakumbuka hali inayonitokeaga nikiwa usingizini.
SWALI; Je, Nikiwa katika hatua ya hiyo ya paralays nifanye Nini ili niweze kuifikia Astra projection? Na je, hakuna kiumbe kinachoweza kunizuru nikiwa kwenye astral projection?
 
Hakuna kitu hapo, Hata bia ukiingalia kwa muda mrefu bila kupepesa macho hubadilika,, just an illusion. Your mind playing tricks on you,, Hakuna magic Wala muujiza hapo.
 
kaka, leo nmewekeza kwenye aura reading ...nmetumia kioo cha tv ikiwa imezima na chumba chenye mwanga hafifu
kila niki concentrate kwa chin ya dak 1 tu naona rangi kama mwanga wa taa (nyeupe) kama imenivaa na kila ninapopumua inakua inapotea na kurud
na inakua ina kama umbo la mwili wangu
je , hio ndio aura ? kama sio n nn ? maana sio imagination na nmefanya mara nyng tu
 
HAPO KWENYE WEWE TULIAAAA TU BILA UWOGA TU USIOGOPE
 
Elezea matumizi yake kichawi yakoje?

Kwanini baadhi ya wachawi hutumia vipo?
 
Nakubaliana na wewe 100% na nakubaliana na mtoa mada 100% kwanini? Science fact na spiritual fact vinakinzana sana.
Ajabu zaidi sayansi fact in the beginning they get an idea from a spiritual life then investigate on it, then they prove it to be truth. But not all of them agreed as everyone has different point of view
 

hii kitu huwa inanitokea sana mkuu
 
Mimi kabati langu limetizama kitanda kiasi kwamba upande wa katikati ambapo kioo kipo nikigeukia kabati najiona.

Majuzi niliota ndoto ya ajabu sana,,,,niliota nipo kwenye nyumba fulani hivi inawatu wengi waliokaa kwa kupumzika kana kwamba kuna jambo wametoka kulifanya(kama ibada fulani hivi).


Kilichonishitua mpaka nikaona haya yote ni kwamba nilikuwa nimeangalia kioo ambacho gafla alionekana bibi ambaye sikuweza kumtambua vizuri kwa sura yaani kama vile nilikuwa nimeongea naye mambo mengi,,, ila hii statement ya mwisho ndiyo iliyo nishitua zaidi. Aliniambia hivi kwa kingereza" You dont have enough education about this"
Niliinuka pale nilipokuwa nimekaa na kwenda kuchukua nguo zangu zilizokuwa kwenye hanger fulani hivi nikavaa na kusepa kana kwamba nilikuwa sijakubaliana na kitu fulani na niliogopa kukifanya.

Kitendo cha kuinuka na kwenda kuvaa nguo inamaanisha mule ndani watu walikuwa uchi wa mnyama.

Hiki kio kilichoangalia kitanda changu nafikiri ni source ya haya yote.
 
Pure hallucinations
Was heared said by a hallucianist Doctor. The Guy with a PHD in Psychology with a name Raymanu from Kenya..
Ladies & Gentlemen clap your hands for this M.F
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…