Zijue aina 10 za mke

Zijue aina 10 za mke

Nilichojifunza ni kuwa ndoa bila kumshirikisha Mungu ni kujipotezea muda wako,hizo tabia ukiangalia ni 98% ya wanawake wanazo,kwahiyo hakuna muujiza utakaoweka ndoa yako salama..
 
Kwa nini msiwe malaika kama mwanamke mmeshamfanya jalala.Wakati kuna baadhi ya wanaume wana tabia ambazo hazifai hata kwa kurumangia.

Uzuri wanawake tumejaliwa uvumilivu mbali na kasoro zote mnazotupa bado tunaendelea kuwa walezi wenu.
Mbona unaaza kujihami, kitu unachotakiwa kufanya nikujiangalia upo namba gani nakuanza kufanya masahihisho kama yapo, la kama hakuna unachangia hoja , maana hoja iliyopo mezani ni aina kumi za wanawake na si wanaume


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kuwa mwanamke raha sana yaani kila mambo mabaya na mambo mazuri lazima yanakuwa upande wetu.

Hongereni wanaume kwa kuwa sehemu ya malaika mlioko duniani.
Wewe unaweza kuwa mke kiranja. Hapa tunachangia mada wewe unaanza kujilinganiisha tena. Wanaume pia wana aina zao subiri nyuzi utaona tuu. Wanawake mnashindwa kila siku kwa kutaka kujilinganisha kila. Utofauti wa mwanamke na mwanaume upo tuu. Ila wanawake wa siku hizi hamtambui hilo na hii inatokana na watoto wengi siku hizi kutokea kwenye familia ya single mom
 
Mbona unaaza kujihami, kitu unachotakiwa kufanya nikujiangalia upo namba gani nakuanza kufanya masahihisho kama yapo, la kama hakuna unachangia hoja , maana hoja iliyopo mezani ni aina kumi za wanawake na si wanaume


Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaaaa. Sawa mkuu ila hata sijajihami mbona.

[emoji124] [emoji124]
 
Hahaaaa. Sawa mkuu ila hata sijajihami mbona.

Na katika hizo zote kumi hakuna hata yenye kunigusa hapo. [emoji124] [emoji124]
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu kitu unachotakiwa kufanya ni kutulia na kutafakari usisema hakuna hata moja basi wewe ni malaika kama ulivyo sema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unaweza kuwa mke kiranja. Hapa tunachangia mada wewe unaanza kujilinganiisha tena. Wanaume pia wana aina zao subiri nyuzi utaona tuu. Wanawake mnashindwa kila siku kwa kutaka kujilinganisha kila. Utofauti wa mwanamke na mwanaume upo tuu. Ila wanawake wa siku hizi hamtambui hilo na hii inatokana na watoto wengi siku hizi kutokea kwenye familia ya single mom
Mkuu imenibidi nirudi niangalie tabia za mke kiranja zikoje. Hahaaa.

Na hakuna sehemu ambapo nimejilinganisha mkuu.
 
Yaani hii thread nai subscribe, na ikifika wakat wa jumuiya jmos, wakati wa kuchangia neno la Mungu, haijalish ni neno gan limesomwa, ikifika zamu yang nafunua simu, thread nitaisoma kama muandika mada alivyoanza, then namaliza, wapwendwa watajiju. Maana jumuiya yetu kuna madem weng halaf shobo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenifurahisha kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom