Pharm D
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,238
- 3,020
Hii nayo ni aina nyingine ya mke... Mke lawama (blameful wife)Kwa nini msiwe malaika kama mwanamke mmeshamfanya jalala.Wakati kuna baadhi ya wanaume wana tabia ambazo hazifai hata kwa kurumangia.
Uzuri wanawake tumejaliwa uvumilivu mbali na kasoro zote mnazotupa bado tunaendelea kuwa walezi wenu.