Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,974
- 24,504
Hahaa wana matatizo yao.Kabisa mumy tena yao yanakuwa mazito ila tunawavumilia.
Watuache tu eti kuna hadi mwanamke pampers lol. Nimecheka sana aisee
Hahaa wana matatizo yao.Kabisa mumy tena yao yanakuwa mazito ila tunawavumilia.
Watuache tu eti kuna hadi mwanamke pampers lol. Nimecheka sana aisee
Ni kweli my dear lkn muda wote mwanamke ndio anaonekana yeye wa kuvumilia kila kitu na kutupiwa lawama zote ndoa ikimshinda lawama mwanamke utaambiwa muombee mumeo hayo maombi mwanaume hatakiwi kuyafanya ni mwanamke tu mpk magoti yaote sugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli wanaume wapo sawa siku zoteMwanaume hakosei ukiona kakosea ujue nyuma yake kuna mwanamke
Umeonaeeee.Hahaa wana matatizo yao.
Nimeona my DearUmeonaeeee.
Sasa kama mwanamke ana kasoro zote hizo unakubali vipi mwanamke awe nyuma yako huoni kama anakupoteza?Mwanaume hakosei ukiona kakosea ujue nyuma yake kuna mwanamke
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Basi hatutorudia tena kufanya ivyo tumekoma
Haha walezi wazuri sana aiseeKwa nini msiwe malaika kama mwanamke mmeshamfanya jalala.Wakati kuna baadhi ya wanaume wana tabia ambazo hazifai hata kwa kurumangia.
Uzuri wanawake tumejaliwa uvumilivu mbali na kasoro zote mnazotupa bado tunaendelea kuwa walezi wenu.
Umeona ee watuache kwa kweliNdio hapo sasa na utakuta wao ndio chanzo cha yote hayo.
Watuache tu tupumue aisee. Hatukatai mapungufu tunayo ila sio kwa kiwango wanachotupa kimezidi.
na ukikosa hizo sifa unakuwa si mwanamke tenaKwa nini msiwe malaika kama mwanamke mmeshamfanya jalala.Wakati kuna baadhi ya wanaume wana tabia ambazo hazifai hata kwa kurumangia.
Uzuri wanawake tumejaliwa uvumilivu mbali na kasoro zote mnazotupa bado tunaendelea kuwa walezi wenu.
Hawana jipya zaidi ya kutupa majina ya hovyo hovyo. Eti kuna hadi mke sherehe, mke kamusi. Chaa.Kazi mnayo wavulana.
Unasema kweli?Huwa wanajiona watukufu Sana.
Wana matatizo sana tunawavulia sana ty
Ungekimbia ivi bhna ivyo umeharibu[emoji126] [emoji126] [emoji126][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ndio tena makubwaUnasema kweli?
Hahaaa. Aiseeena ukikosa hizo sifa unakuwa si mwanamke tena
Kabisa my dear.
Kabisa na huwa najivunia kuwa mwanamke. Ila mnatuchosha sasa kila siku majina mapya. LolHaha walezi wazuri sana aisee