SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,419
- 10,359
Huu ndio ukweli asilimia 100% wamama ndio watunzaji wawatoto kwenye familia.
Wababa wao kazi zao kubwa nikuwapiga watoto na mama na kukimbilia kwa michepuko kuwahudumia .
Halafu wanaume wengi kutoa zamani wanapenda kutunzwa sana tu mwanamke anaamka asubuhi anaenda kutafuta chochote kitu ili atunze watoto na mume wake .
Zamani baadhi ya wanaume walikuwa wanatunza familia zao ila kwa sasa no more wanaume hawapo katika position zao kama mwanaume.
Mtu kaajiriwa au ni mfanya biashara ila hujui anapeleka wapi pesa zote.
Hanunui hata maji tu apeleke nyumbani hapana.
Ila anaulizia chakula nakupiga watoto.
Anakuja juu akiombwa ada za watoto, pesa ya matumizi ,uniforms na kila kitu kinachohusu mama yake mzazi mke wake na watoto inasikitisha.
Mtu tajiri anapelekwa ustawi wa jamii ili alee familia yake.