Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,712
- 128,392
Hahaa. Mkuu nimecheka sana aisee mana imebidi nilirudie kulisoma mara tatu ili nilielewe.
Namba 7 linanihusu lakini kwa mbaaaali narudia tena kwa mbaaali. Hahahahaaaaaaa
Hahaa. Mkuu nimecheka sana aisee mana imebidi nilirudie kulisoma mara tatu ili nilielewe.
Alafu mtoto akiwa anafaulu wanakwambia kafuata kwa baba! ila likiwa bongolala eti kafuata akili ya mama..hahah wanaume Mungu anawaonaAisee kuwa mwanamke raha sana yaani kila mambo mabaya na mambo mazuri lazima yanakuwa upande wetu.
Hongereni wanaume kwa kuwa sehemu ya malaika mlioko duniani.
Umesema kweli kabisa dada ake. Yaani yale mazuri yoote ni yakwao ila yale mabaya ni ya kwetu.Alafu mtoto akiwa anafaulu wanakwambia kafuata kwa baba! ila likiwa bongolala eti kafuata akili ya mama..hahah wanaume Mungu anawaona
Haaaaa mbona ata uku malaika wapoAah Wapi? Malaika wako zao juu. Huku wote tuna kasoro.
Pole mkuu.... Nadhani wewe utakuwa no 10.Aisee kuwa mwanamke raha sana yaani kila mambo mabaya na mambo mazuri lazima yanakuwa upande wetu.
Hongereni wanaume kwa kuwa sehemu ya malaika mlioko duniani.
Sawa kabisa.Kwa nini msiwe malaika kama mwanamke mmeshamfanya jalala.Wakati kuna baadhi ya wanaume wana tabia ambazo hazifai hata kwa kurumangia.
Uzuri wanawake tumejaliwa uvumilivu mbali na kasoro zote mnazotupa bado tunaendelea kuwa walezi wenu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole mkuu.... Nadhani wewe utakuwa no 10.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Sawa kabisa.
Hahaaa. Hivyo best we unazo chemchembe.Haaaaa mbona ata uku malaika wapo
Ata kidogo sina maana mi ni mwanadamu sijakamilikaHahaaa. Hivyo best we unazo chemchembe.
Hayo ndio maneno sasa best. Kweli kabisa hatujakamilika.Ata kidogo sina maana mi ni mwanadamu sijakamilika
AsanteAisee kuwa mwanamke raha sana yaani kila mambo mabaya na mambo mazuri lazima yanakuwa upande wetu.
Hongereni wanaume kwa kuwa sehemu ya malaika mlioko duniani.
NA HAPA VIPI Mwanamke wa aina hii usije ukarogwa hata kunisogelea asee!!Aisee kuwa mwanamke raha sana yaani kila mambo mabaya na mambo mazuri lazima yanakuwa upande wetu.
Hongereni wanaume kwa kuwa sehemu ya malaika mlioko duniani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mke ngumi mambo?[emoji28][emoji28][emoji28]Aisee kuwa mwanamke raha sana yaani kila mambo mabaya na mambo mazuri lazima yanakuwa upande wetu.
Hongereni wanaume kwa kuwa sehemu ya malaika mlioko duniani.