Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,712
- 128,392
Mi ujue ni mmoja kati ya wanariadha wazuri hivyo mbio zangu huwa sio za nchi hii mana napenda niwahi.Ungekimbia ivi bhna ivyo umeharibu[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Mi ujue ni mmoja kati ya wanariadha wazuri hivyo mbio zangu huwa sio za nchi hii mana napenda niwahi.Ungekimbia ivi bhna ivyo umeharibu[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Hahaa wapambane na hali zao ! Mzima lakini mamy.?Hawana jipya zaidi ya kutupa majina ya hovyo hovyo. Eti kuna hadi mke sherehe, mke kamusi. Chaa.
Ndio tena makubwa
[emoji15] [emoji15] na kigoda uko nyuma utakimbiaje acha kunidanganya bhnaMi ujue ni mmoja kati ya wanariadha wazuri hivyo mbio zangu huwa sio za nchi hii mana napenda niwahi.
Yaani hii thread nai subscribe, na ikifika wakat wa jumuiya jmos, wakati wa kuchangia neno la Mungu, haijalish ni neno gan limesomwa, ikifika zamu yang nafunua simu, thread nitaisoma kama muandika mada alivyoanza, then namaliza, wapwendwa watajiju. Maana jumuiya yetu kuna madem Wang halaf shobo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mana nasema bila nyie tungewehuka japo mna mapungufu yenu ya hapa na paleKabisa na huwa najivunia kuwa mwanamke. Ila mnatuchosha sasa kila siku majina mapya. Lol
Naomba na la upande wa pili[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naomba na la upande wa pili[emoji23] [emoji23]
Kabisa na wapambane nazo haswa.Hahaa wapambane na hali zao ! Mzima lakini mamy.?
Sio sisi pekee swahiba hata nyie mna mapungufu ambayo tukianza kuyaorodhesha hapatatosha hapa. Ila tunayavumilia tu saa nyingine.Ndo mana nasema bila nyie tungewehuka japo mna mapungufu yenu ya hapa na pale
Namcheki tu anavyotoa povu
GoodAsante wenye wake wanakuja
Uvumilivu ndio kitu cha msingi sanaSio sisi pekee swahiba hata nyie mna mapungufu ambayo tukianza kuyaorodhesha hapatatosha hapa. Ila tunayavumilia tu saa nyingine.
Anataka kunimeza[emoji38]
Nasubiri la upande wa pili hivyooo[emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kabisa maana hakuna binadamu asie na mapungufu la msingi ni uvumilivu na kuchukulianaUvumilivu ndio kitu cha msingi sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] la upande wa pili limefungwa kuruhusu hilo likuchek kwa uzuriNasubiri la upande wa pili hivyooo[emoji28]
Kila mtu ayabebe madhaifu ya mwenzake na kukumbushana kistaarabu pale mmoja anapokoseaKabisa maana hakuna binadamu asie na mapungufu la msingi ni uvumilivu na kuchukuliana
Sent using Jamii Forums mobile app
Haisaidii. Cha muhimu ujumbe ameupata. [emoji2] [emoji2]Anataka kunimeza[emoji38]