Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

Think Machines

Senior Member
Jan 26, 2023
129
166
Habarini wana JF.
Baada ya kuwa kimya katika kipindi kirefu nimeona sio mbaya nije kushare mengi kuhusiana na hii field ili tuweze kukomboana kwa wale watavutiwa na hili hasa kwa mikoa yetu hapa TZ

Ntaanza kuzizungumzia kimakundi baadhi ya mashine ambazo watu wa kipato chochote wanaweza kuwa nazo na kuanzisha miradi midogomidogo sehemu mbalimbali mijini

1. Mashine za kuchomelea (Welding machines)

Wengi mtakuwa mmeziona mitaani mashine za kuchomelea za aina mbalimbali , kwa kutolea ufafanuzi hili, hipo hivi, kuna aina mbili za mashine za kuchomelea katika namna ya utengenezaji (teknolojia) aina ya kwanza ni ambazo zimetengenezwa hapahapa (locally made) na aina nyingine ambazo zimetoka nje nyingi ni chinese brands kama vile EDON, kutokana na mabadiliko makubwa ya kiteknolojia ntazungumzia hizi ambazo imported mimi naziona kama Game changer kutokana na zile nyingine za locally kuwa na high cost of operating.
Nikianza na brandi kubwa EDON , Huyu mtengenezaji amekuja na mashine nyingi zenye uwezo tofauti kutokana na mahitaji ya mhusika zifuatazo ni aina mbalimbali ambazo zipo sokoni

-Mini 250S
Hii ni moja ya mashine ndogo(portable) kabisa katika kundi la mashine za EDON ambapo mtengenezaji amajikita katika uhakika wa ufanyaji kazi(efficiency), kuokoa matumizi makubwa ya umeme(energy saving), inabebeka kirahisi hasa kwa wale ambao site zao zipo mbali au kupanda nayo ghorofani inakuwa rahisi pia kwa arc force yake inatosha kabisa kuchomelea vitu site au kwenye kijiwe , Mashine hii pia hutumia stick katika kuchomelea

-Mini 300S
Mashine hii ipo kundi moja na Mini 250S na haina mabadiliko makubwa sana au ya tofauti sana , ila tofauti yake ipo kwenye ongezeko la nguvu ya uchomaji kutoka 250 hadi 300 hivyo kutokana na mahitaji yako unaweza kujipatia yoyote kati ya hizo , mashine hii pia hutumia stick katika kuchomelea

-TB 400
Hii pia ni mashine nzuri ya kuchomelea na hutumiwa na watu wengi sana mtaani ni kutokana na kuridhishwa na ufanyaji kaiz wake nayo ikiwa pia ni portable kama zilivyo Mini SERIES , katika kundi la mashine ndogo kabisa nashauri hii ndo inafaa hasa kwa kijiwe kinachoanza au kwenda site kufanya kazi kuliko kuhangaika na mashine kubwa zile ambazo hutengenezwa hapahapa , pia matumizi yake ya umeme ni madogo ambapo mhusika anaweza kumudu gharama zake , sokoni mashine hii utaikuta kwa bei kuanzia 250,000 ikiwa na bei sawa kabisa na Mini 300S, mashine hii pia hutumia stiki katika kuchomelea
IMG_20230128_164707 - Copy.jpg

-ARC 400S
Moja ya mashine ambayo hutumiwa sana mtaani , kwa ufanyaji kazi wake inatosha kabisa kufungulia kijiwe na matumizi yake hutosheleza kabisa kukidhi majukumu ya kila siku , pia nayo ni portable unaweza ukaibeba kwenda kufanyia kazi site , pia mashine hii hutumia stick katika kuchomelea kwake bei yake huanzia 270,000 hadi 300,000
IMG_20230128_164655.jpg

-ARC 500S
mashine hii ni ongezeko la toleo la arc 400S hivyo mabadiliko yake siyo makubwa , ni katika kipengele cha nguvu ya kuchomelea tu , vitu vingine kama portability na matumizi ya energy madogo yanabaki vilevile , pia mshine hii hutumia stick katika kuchomelea kwake , bei yake uanzia 300,000 hadi 350,000
IMG_20230128_164509 - Copy.jpg

-ARC 630S
Hii ndio top katika series ya ARC , pia yenyewe haina mabadiliko mengi sana ukilimganishwa na matolea ya mashine zilizopita katika kundi moja , nayo inaweza kubebeka nikimaanisha kwenda nayo site , mabadiliko makubwa yapo katika kipengele cha nguvu au arc force mashine hii ina nguvu kupita model zile nyingine , haitumii umeme mwingi pia , nayo hutumia stick katika uchomeleaji wake
IMG_20230128_164636.jpg

-Expert MIG-175
Mashine hii huwafaa zaidi professionals katika sekta ya welding, ikiwa tofautoi kabisa na model nying inakuja na 2 in 1, nikimaanisha katika matumizi yake ina pande mbili , moja inatumia stick katika kuchomelea (Manual Metal Arc Welding) pia na kuchomelea kwa kutumia gas (Inert gas welding), mashine hii haijasambaa sana mtaani la ni nzuri sana kwani inaweza ku offer vitu viwili kwa pamoja kuliko kuwa na mashine mbili moja ya stick na nyingine iwe ya gas. kutumia mashine hii utahitaji kuwa na mtungi wa gas ambao utaunganishwa kwenye mashine hii ili uweze kutumia au kwa 2 key adjustment (terminal za kuchomelea kwa kutumia stick) utahitaji kuwa na stick za aina mbalimbali za size kutokana na mahitaji yako

-MMA 400S
Mashine hii ni kubwa katika kundi la mashine za edon , ambapo kutokana na ongezeko kubwa sana la nguvu au arc force , hivyo basi mashine hii inaweza kufanya kazi karibia zote ambazo hufanywa na wachomeleaji mtaani. mashine hii inakuja na ukubwa size ya kati ambayo unaifanya isiwe portable sana kama nyingine katiks kundi moja , pia mashine hii hutumia stick katika uchomeleaji wake na hutumia umeme vizuri tofauti na zile za kutemgeneza locally

Hizo aina za mashine zinafaa kwa kufungulia kijiwe cha kuchomelea vitu mbalimbali kama vile mageti ,milango , madirisha na vingine vingi

2. Mashine za Kuoshea magari ,pikipiki ,(Pressure Washers)
Kundi la pili ni mashine za kuoshea vyombo vya moto maarufu kama pressure washers , kuna aina mbili za mashine hizi , aina ya kwanza inayotumia umeme (electric) na nyingine aidha za ptroli au diesel , brand au kampuni ambazo mashine hizi zinatumika sana mfano ni EDON , EASY POWER ,LOYARTY na LUTIAN (mashine aina hii ndo hupendelewa zaidi kutokana na uimara wake)
EDON HIGH ELECTRIC PRESSURE WASHER
Hizi nazo ni aina nzuri ya pressure washer ambazo unaweza ukatumia katika kijiwe chako zinatofautiana kwenye vitu kadhaa kama vile ukubwa wa motor na PSI au BAR , hivyo utofauti huo ufanya kuwa na bei tofauti sokoni , zipo katika range mbalimbali mfano
EDON CG3600 3000 PSI-250 Bar
IMG_20220112_171543.jpg

EDON HP1010-1.8A
Max pressure-10mPa
Working pressure-(8-10mPa)
Theoretical flow rate-10l/min
Motive power -1.8kW
Power supply 220V

Mashine hii ndio ndogo kabisa katika series za high electric pressure washer za EDON, inaweza kutumika kuoshea magari madogo, pikipiki na magari size ya kati

EDON HP1012-2.0D
Max P-10mPa
Working Pressure(6-10)mPa
Motive power 2.0kW
Theoretical flow rate 13l/min
power supply 220V

Hii haina utofauti mkubwa sana na model yajuu , bali ongezeko la flow rate , motive poer na pressure kubwa

EDON 18401-2.4A
working pressure (10-14mPa)
max Pressure 16mPa
Motive power 2.4 kW
Theoretical flow rate 18l/min

Hii nayo mabadiliko yake makubwa yapo upande wa pressure , motive power ikiwa na motor kubwa kidogo kuzidi model zilizopita ,pia flow rate ni kubwa hivyo huweza kuosha gari kwa mda mchache sana

Lutian 3600 PSI
Model no-15m26-37S2

Moja ya mashine ambayo hutumiwa na watu wengi sana katika vijiwe vya kuoshea magari hapa mjini basi ni hii hapa , kutokana na uimara wake ,inaweza kutumika kuoshea aina zote za magari makubwa na madogo ,inakuja na nozzles nne za kubadilisha kutokana na aina ya uoshaji unaota thickness ina range kutoka diameter ndogo yenye pressure kubwa kwa ajili ya kutoa tope kwenye limu hadi diameter kubwa yenye pressure kubwa

Loyalty model RT8712A
power 7.5 HP
Rated speed 3400RPM
BAR MAX 2500

Hii hutumia petroli lakini ina nguvu kubwa sana kutokana na uwezo wa mkubwa wa motor yake 7.5hp ,ni movable na inaweza kutumika sehemu yoyote hapa mjini , unweza kutumia kuoshea magari madogo na ya kati

EASY POWER HIGH ELECTRIC PRESSURE WASHER

IMG_20220923_180251.jpg

PICHA , VIDEO NA MAELEZO MENGINE YATAKUWA UPDATED REGULARY,NB MASHINE NYINGINE ZITAONGEZWA KADIRI SIKU ZINAVYOSONGA , PLEASE SUBSCRIBE KATIKA UZI HUU UPATE MAARIFA NA UFUNGUE BIASHARA AU MRADI WAKO

BEI ZA PRESSURE WASHER

-LUTIAN
4600PSI___2,950,000

-LUTIAN
3600 PSI SINGLE PHASE ___2,100,000

EAGLE
_2200PSI___1,850,000

ROYALTY
RT8712-A (3000PSI)___750,000

-EASY POWER CG-3800 (3600 Psi)___1,600,000

-EASY POWER
CG-3600-(3600PSI)___1,400,000

EASY POWER
CG 2700_(2700PSI)____850,000

EASY POWER
EP2500PW_(3000PSI) PETROL ENGINE ___1,350,000

EDON HP1012D-2.0A(2000PSI)___950,000

EDON
HP1840T-2.4A(2300PSI)___1,350,000

WELDING MACHINES

ARC SERIES
EDON ARC 630___385,000

EDON ARC 500___350,000

EDON ARC 400___300,000

MMA SERIES
EDON MMA 300S___385,000

EDON MMA 400S___850,000

MIG SERIES
EDON SMARTMIG -238___650,000

EDON EXPERT MIG -175___850,000

EDON EXPERTMIG -280___950,000

GAS WELDING
EDON TIG(inachoma aluminium) 200___850,000

OTHER SERIES
EDON MINI 300S ___250,000

EDON TB 400 ___280,000

EDON LV 400___360,000

EDON 307___420,000

EDON BX1-400-1___700,000

BEI ZA AIR COMPRESSOR

EDON LITER 25 ___350,000

EDON LITER 50___450,000

EASY POWER LITER 25___350,000

EASY POWER LITER 50___450,000

EDON LITER 50 SILENT COMPRESSOR ___550,000

EDON LITER 200 (2 IN 1)___1,850,000

TUNA AINA MBALIMBALI ZA MASHINE KAMA

WATER PUMPS AINA ZOTE

GENERATORS

DRILL HAMMERS

CHAINSAWS (EMAS, HUSQAVARNA)

PLATE COMPACTORS

CONCRETE MIXERS AND VIBRATORS

CIRCULAR SAWS ,JIG SAWS

LAWN MOWERS

DRILLS & GRINDERS KAMPUNI ZOTE NA MASHINE NYINGINE NYINGI

Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kupitia whatsapp number 0684670925
PIA TUNATUMA MASHINE MIKOA YOTE TANZANIA
TUNAPATIKANA SINZA MORI, DAR ES SALAAM

Habarini wana JF.
Baada ya kuwa kimya katika kipindi kirefu nimeona sio mbaya nije kushare mengi kuhusiana na hii field ili tuweze kukomboana kwa wale watavutiwa na hili hasa kwa mikoa yetu hapa TZ

Ntaanza kuzizungumzia kimakundi baadhi ya mashine ambazo watu wa kipato chochote wanaweza kuwa nazo na kuanzisha miradi midogomidogo sehemu mbalimbali mijini

1. Mashine za kuchomelea (Welding machines)

Wengi mtakuwa mmeziona mitaani mashine za kuchomelea za aina mbalimbali , kwa kutolea ufafanuzi hili, hipo hivi, kuna aina mbili za mashine za kuchomelea katika namna ya utengenezaji (teknolojia) aina ya kwanza ni ambazo zimetengenezwa hapahapa (locally made) na aina nyingine ambazo zimetoka nje nyingi ni chinese brands kama vile EDON, kutokana na mabadiliko makubwa ya kiteknolojia ntazungumzia hizi ambazo imported mimi naziona kama Game changer kutokana na zile nyingine za locally kuwa na high cost of operating.
Nikianza na brandi kubwa EDON , Huyu mtengenezaji amekuja na mashine nyingi zenye uwezo tofauti kutokana na mahitaji ya mhusika zifuatazo ni aina mbalimbali ambazo zipo sokoni

-Mini 250S
Hii ni moja ya mashine ndogo(portable) kabisa katika kundi la mashine za EDON ambapo mtengenezaji amajikita katika uhakika wa ufanyaji kazi(efficiency), kuokoa matumizi makubwa ya umeme(energy saving), inabebeka kirahisi hasa kwa wale ambao site zao zipo mbali au kupanda nayo ghorofani inakuwa rahisi pia kwa arc force yake inatosha kabisa kuchomelea vitu site au kwenye kijiwe , Mashine hii pia hutumia stick katika kuchomelea

-Mini 300S
Mashine hii ipo kundi moja na Mini 250S na haina mabadiliko makubwa sana au ya tofauti sana , ila tofauti yake ipo kwenye ongezeko la nguvu ya uchomaji kutoka 250 hadi 300 hivyo kutokana na mahitaji yako unaweza kujipatia yoyote kati ya hizo , mashine hii pia hutumia stick katika kuchomelea

-TB 400
Hii pia ni mashine nzuri ya kuchomelea na hutumiwa na watu wengi sana mtaani ni kutokana na kuridhishwa na ufanyaji kaiz wake nayo ikiwa pia ni portable kama zilivyo Mini SERIES , katika kundi la mashine ndogo kabisa nashauri hii ndo inafaa hasa kwa kijiwe kinachoanza au kwenda site kufanya kazi kuliko kuhangaika na mashine kubwa zile ambazo hutengenezwa hapahapa , pia matumizi yake ya umeme ni madogo ambapo mhusika anaweza kumudu gharama zake , sokoni mashine hii utaikuta kwa bei kuanzia 250,000 ikiwa na bei sawa kabisa na Mini 300S, mashine hii pia hutumia stiki katika kuchomelea

-ARC 400S
Moja ya mashine ambayo hutumiwa sana mtaani , kwa ufanyaji kazi wake inatosha kabisa kufungulia kijiwe na matumizi yake hutosheleza kabisa kukidhi majukumu ya kila siku , pia nayo ni portable unaweza ukaibeba kwenda kufanyia kazi site , pia mashine hii hutumia stick katika kuchomelea kwake bei yake huanzia 270,000 hadi 300,000

-ARC 500S
mashine hii ni ongezeko la toleo la arc 400S hivyo mabadiliko yake siyo makubwa , ni katika kipengele cha nguvu ya kuchomelea tu , vitu vingine kama portability na matumizi ya energy madogo yanabaki vilevile , pia mshine hii hutumia stick katika kuchomelea kwake , bei yake uanzia 300,000 hadi 350,000

-ARC 630S
Hii ndio top katika series ya ARC , pia yenyewe haina mabadiliko mengi sana ukilimganishwa na matolea ya mashine zilizopita katika kundi moja , nayo inaweza kubebeka nikimaanisha kwenda nayo site , mabadiliko makubwa yapo katika kipengele cha nguvu au arc force mashine hii ina nguvu kupita model zile nyingine , haitumii umeme mwingi pia , nayo hutumia stick katika uchomeleaji wake

-Expert MIG-175
Mashine hii huwafaa zaidi professionals katika sekta ya welding, ikiwa tofautoi kabisa na model nying inakuja na 2 in 1, nikimaanisha katika matumizi yake ina pande mbili , moja inatumia stick katika kuchomelea (Manual Metal Arc Welding) pia na kuchomelea kwa kutumia gas (Inert gas welding), mashine hii haijasambaa sana mtaani la ni nzuri sana kwani inaweza ku offer vitu viwili kwa pamoja kuliko kuwa na mashine mbili moja ya stick na nyingine iwe ya gas. kutumia mashine hii utahitaji kuwa na mtungi wa gas ambao utaunganishwa kwenye mashine hii ili uweze kutumia au kwa 2 key adjustment (terminal za kuchomelea kwa kutumia stick) utahitaji kuwa na stick za aina mbalimbali za size kutokana na mahitaji yako

-MMA 400S
Mashine hii ni kubwa katika kundi la mashine za edon , ambapo kutokana na ongezeko kubwa sana la nguvu au arc force , hivyo basi mashine hii inaweza kufanya kazi karibia zote ambazo hufanywa na wachomeleaji mtaani. mashine hii inakuja na ukubwa size ya kati ambayo unaifanya isiwe portable sana kama nyingine katiks kundi moja , pia mashine hii hutumia stick katika uchomeleaji wake na hutumia umeme vizuri tofauti na zile za kutemgeneza locally

Hizo aina za mashine zinafaa kwa kufungulia kijiwe cha kuchomelea vitu mbalimbali kama vile mageti ,milango , madirisha na vingine vingi ....PICHA , VIDEO NA MAELEZO MENGINE YATAKUWA UPDATED REGULARY,NB MASHINE NYINGINE ZITAONGEZWA KADIRI SIKU ZINAVYOSONGA , PLEASE SUBSCRIBE KATIKA UZI HUU UPATE MAARIFA NA UFUNGUE BIASHARA AU MRADI WAKO

Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kupitia whatsapp number 0657924132
tuwekee mchanganuo mfano dirisha la chuma 5 kwa 5 lichukua gharama gani vitu kama hivio
 
Shusha nondo vijana wakajiajiri.
 
Expert MIG 175 unauzaje boss?
 
Hii pia ni mashine nzuri ya kuchomelea na hutumiwa na watu wengi sana mtaani ni kutokana na kuridhishwa na ufanyaji kaiz wake nayo ikiwa pia ni portable kama zilivyo Mini SERIES , katika kundi la mashine ndogo kabisa nashauri hii ndo inafaa hasa kwa kijiwe kinachoanza au kwenda site kufanya kazi kuliko kuhangaika na mashine kubwa zile ambazo hutengenezwa hapahapa , pia matumizi yake ya umeme ni madogo ambapo mhusika anaweza kumudu gharama zake , sokoni mashine hii utaikuta kwa bei kuanzia 250,000 ikiwa na bei sawa kabisa na Mini 300S, mashine hii pia hutumia stiki katika kuchomeleaView attachment 2500175

-ARC 400S
Moja ya mashine ambayo hutumiwa sana mtaani , kwa ufanyaji kazi wake inatosha kabisa kufungulia kijiwe na matumizi yake hutosheleza kabisa kukidhi majukumu ya kila siku , pia nayo ni portable unaweza ukaibeba kwenda kufanyia kazi site , pia mashine hii hutumia stick katika kuchomelea kwake bei yake huanzia 270,000 hadi 300,000View attachment 2500174

-ARC 500S
mashine hii ni ongezeko la toleo la arc 400S hivyo mabadiliko yake siyo makubwa , ni katika kipengele cha nguvu ya kuchomelea tu , vitu vingine kama portability na matumizi ya energy madogo yanabaki vilevile , pia mshine hii hutumia stick katika kuchomelea kwake , bei yake uanzia 300,000 hadi 350,000View attachment 2500178

-ARC 630S
Hii ndio top katika series ya ARC , pia yenyewe haina mabadiliko mengi sana ukilimganishwa na matolea ya mashine zilizopita katika kundi moja , nayo inaweza kubebeka nikimaanisha kwenda nayo site , mabadiliko makubwa yapo katika kipengele cha nguvu au arc force mashine hii ina nguvu kupita model zile nyingine , haitumii umeme mwingi pia , nayo hutumia stick katika uchomeleaji wakeView attachment 2500173

-Expert MIG-175
Mashine hii huwafaa zaidi professionals katika sekta ya welding, ikiwa tofautoi kabisa na model nying inakuja na 2 in 1, nikimaanisha katika matumizi yake ina pande mbili , moja inatumia stick katika kuchomelea (Manual Metal Arc Welding) pia na kuchomelea kwa kutumia gas (Inert gas welding), mashine hii haijasambaa sana mtaani la ni nzuri sana kwani inaweza ku offer vitu viwili kwa pamoja kuliko kuwa na mashine mbili moja ya stick na nyingine iwe ya gas. kutumia mashine hii utahitaji kuwa na mtungi wa gas ambao utaunganishwa kwenye mashine hii ili uweze kutumia au kwa 2 key adjustment (terminal za kuchomelea kwa kutumia stick) utahitaji kuwa na stick za aina mbalimbali za size kutokana na mahitaji yako

-MMA 400S
Mashine hii ni kubwa katika kundi la mashine za edon , ambapo kutokana na ongezeko kubwa sana la nguvu au arc force , hivyo basi mashine hii inaweza kufanya kazi karibia zote ambazo hufanywa na wachomeleaji mtaani. mashine hii inakuja na ukubwa size ya kati ambayo unaifanya isiwe portable sana kama nyingine katiks kundi moja , pia mashine hii hutumia stick katika uchomeleaji wake na hutumia umeme vizuri tofauti na zile za kutemgeneza locally

Hizo aina za mashine zinafaa kwa kufungulia kijiwe cha kuchomelea vitu mbalimbali kama vile mageti ,milango , madirisha na vingine vingi

2. Mashine za Kuoshea magari ,pikipiki ,(Pressure Washers)
Kundi la pili ni mashine za kuoshea vyombo vya moto maarufu kama pressure washers , kuna aina mbili za mashine hizi , aina ya kwanza inayotumia umeme (electric) na nyingine aidha za ptroli au diesel , brand au kampuni ambazo mashine hizi zinatumika sana mfano ni EDON , EASY POWER ,LOYARTY na LUTIAN (mashine aina hii ndo hupendelewa zaidi kutokana na uimara wake)
EDON HIGH ELECTRIC PRESSURE WASHER
Hizi nazo ni aina nzuri ya pressure washer ambazo unaweza ukatumia katika kijiwe chako zinatofautiana kwenye vitu kadhaa kama vile ukubwa wa motor na PSI au BAR , hivyo utofauti huo ufanya kuwa na bei tofauti sokoni , zipo katika range mbalimbali mfano
EDON CG3600 3000 PSI-250 Bar
View attachment 2500301

EDON HP1010-1.8A
Max pressure-10mPa
Working pressure-(8-10mPa)
Theoretical flow rate-10l/min
Motive power -1.8kW
Power supply 220V

Mashine hii ndio ndogo kabisa katika series za high electric pressure washer za EDON, inaweza kutumika kuoshea magari madogo, pikipiki na magari size ya kati

EDON HP1012-2.0D
Max P-10mPa
Working Pressure(6-10)mPa
Motive power 2.0kW
Theoretical flow rate 13l/min
power supply 220V

Hii haina utofauti mkubwa sana na model yajuu , bali ongezeko la flow rate , motive poer na pressure kubwa

EDON 18401-2.4A
working pressure (10-14mPa)
max Pressure 16mPa
Motive power 2.4 kW
Theoretical flow rate 18l/min

Hii nayo mabadiliko yake makubwa yapo upande wa pressure , motive power ikiwa na motor kubwa kidogo kuzidi model zilizopita ,pia flow rate ni kubwa hivyo huweza kuosha gari kwa mda mchache sana

Lutian 3600 PSI
Model no-15m26-37S2

Moja ya mashine ambayo hutumiwa na watu wengi sana katika vijiwe vya kuoshea magari hapa mjini basi ni hii hapa , kutokana na uimara wake ,inaweza kutumika kuoshea aina zote za magari makubwa na madogo ,inakuja na nozzles nne za kubadilisha kutokana na aina ya uoshaji unaota thickness ina range kutoka diameter ndogo yenye pressure kubwa kwa ajili ya kutoa tope kwenye limu hadi diameter kubwa yenye pressure kubwa

Loyalty model RT8712A
power 7.5 HP
Rated speed 3400RPM
BAR MAX 2500

Hii hutumia petroli lakini ina nguvu kubwa sana kutokana na uwezo wa mkubwa wa motor yake 7.5hp ,ni movable na inaweza kutumika sehemu yoyote hapa mjini , unweza kutumia kuoshea magari madogo na ya kati

EASY POWER HIGH ELECTRIC PRESSURE WASHER

View attachment 2500300

PICHA , VIDEO NA MAELEZO MENGINE YATAKUWA UPDATED REGULARY,NB MASHINE NYINGINE ZITAONGEZWA KADIRI SIKU ZINAVYOSONGA , PLEASE SUBSCRIBE KATIKA UZI HUU UPATE MAARIFA NA UFUNGUE BIASHARA AU MRADI WAKO

Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kupitia whatsapp number 0684670925
Mnara ujengwe sbb yako wadau semeni wapi tu
 
Back
Top Bottom