Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,871
- 6,468
Sawa mkuu, ni kweliAcha visanga sasa wewe nae.
Kwani kusema mwanamke kwa mumewe atabaki kuwa mwanamke chuki na uadui viko wapi hapo.
Hata madame akirudi chumbani kwake kwa mumewe ni mke.sijui umeelewa.
Next time mfano wa bibi yako uutumie vizuri.
Mfano dhahiri wa adui wa mwanamke ni mwanamke huu hapaš
Kama mimi mwanamke najua kabisa mwanaume huyu ameoa...ana mke na watoto nyumbani lakini nitafanya kila aina ya figisu basi atoke yeye niingie mimi hata kama ninaufahamu ukweli.
Na sio wanawake wote ni maadui kwa wanawake wenzao hilo pia usilisahau


.