Zifahamu aina 7 za limbwata

Aisee ndio maana magonjwa ya papuchi yamekuwa mengiiii,. kumbee..hivi kweli ukaweke nyama kwa bibi halafu ikae siku kadhaa jamanii si kutafuta fangasi na magonjwa yasoeleweka!? Aarggh😫🤮
Halafu kuna mtu anaila hiyo nyama duh!!!!
Ndio maana akili za wanaume sometimes hazieleweki wanafanyiwa mengi ni wa kusamehe tu bure.
Imagine mke amlishe, michepuko nayo imlishe kuna mtu hapo?!
 
Yaani wanachanganyikiwa maskini mpaka wanakosa nguvu za kiume jamanii,..looh ila wakomage na wao hawatulii😄acha warogwe tuu wengine,
Kuna dem alienda kwa mganga kumkoleza mme wa mtu, huko akaambiwa mke wake kamfunga ila usijali tutamtengeneza😂😂😂

Huku mke kafunga, mchepuko anafungua halafu nae afunge kivyake,
wanaume wanapitia mengi sana, ndio maana hata hutangulia kufa walah!!!!
 
Wanaume wengine si ng'ombe tuu kama ng'ombe zingine...acha ziliwe nyama😂😂🏃🏃🏃
 
Kulogwa kuna sababu nyingi zaid ya hiyo ya kufungua zip
Hakuna ugomvi wenye kisasi kama wa kufungua zip kwa kila mwanamke.jitahidini kufunga zip zenu vinginevyo mtalogwa hadi pumzi maana na akili zenu zinalogwa mlichoachiwa ni pumzi sasa na pumzi iko mbioni kulogwa pia
 
Wapo wanaologa ili wawe wanaume wao ndan ya nyumba, kwamba ata akifanya madudu usiwe na uwezo wa kumpazia sauti, wapo wanaologa kwaajir ya tamaa zao tu(wanataka wateke kila kitu ndan kuanzia mshahara wa mme )
 
😆😆😆😆😆 nimecheka kijinga sana.hata mwanamke awe raisi wa dunia...akifika kwa mwanaume yeye ni mwanamke kama wanawake wengine.Hallelujah
Ameeen, Huu mwaka mmeamua
Pongezi kwenu kina wanawake
Ila magomvi na chuki sijui ,mtaacha lini baina yenu🤣🤣

Anyway bibi yangu alipata kuniambia Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe.Nimethibitisha hilo sio chini ya mara Laki mbili

RIP bibi
 
Wapo wanaologa ili wawe wanaume wao ndan ya nyumba, kwamba ata akifanya madudu usiwe na uwezo wa kumpazia sauti, wapo wanaologa kwaajir ya tamaa zao tu(wanataka wateke kila kitu ndan kuanzia mshahara wa mme )
🙄 sasa tukiwafanya hivi si tutakuwa tumeolewa na mazombi kha!kazi kweli kweli.wanaume Salini sana maana kila mahali mnavutwa vutwa tu😁😁

Raha ya mwanaume ndani ni sauti ya kiume na kutimiza majukumu 😎
 
Ameeen, Huu mwaka mmeamua
Pongezi kwenu kina wanawake
Ila magomvi na chuki sijui ,mtaacha lini baina yenu🤣🤣

Anyway bibi yangu alipata kuniambia Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe.Nimethibitisha hilo sio chini ya mara Laki mbili

RIP bibi
Acha visanga sasa wewe nae.
Kwani kusema mwanamke kwa mumewe atabaki kuwa mwanamke chuki na uadui viko wapi hapo.

Hata madame akirudi chumbani kwake kwa mumewe ni mke.sijui umeelewa.

Next time mfano wa bibi yako uutumie vizuri.
Mfano dhahiri wa adui wa mwanamke ni mwanamke huu hapa👇
Kama mimi mwanamke najua kabisa mwanaume huyu ameoa...ana mke na watoto nyumbani lakini nitafanya kila aina ya figisu basi atoke yeye niingie mimi hata kama ninaufahamu ukweli.

Na sio wanawake wote ni maadui kwa wanawake wenzao hilo pia usilisahau
 
Back
Top Bottom