MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,553
- 41,467
ndo navyotakaWe tayari ushatengenezwa huelewi umekuwa zezeta umewekwa kiganjani unarushwa rushwa tuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo navyotakaWe tayari ushatengenezwa huelewi umekuwa zezeta umewekwa kiganjani unarushwa rushwa tuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mjitafakari sasa kudadadeki zenu.Aisee ndio maana magonjwa ya papuchi yamekuwa mengiiii,. kumbee..hivi kweli ukaweke nyama kwa bibi halafu ikae siku kadhaa jamanii si kutafuta fangasi na magonjwa yasoeleweka!? Aarggh![]()
HaloooMie limbwata langu Mahaba tuu...
Mtu fudenge analegezewa macho...
Sauti inalegezwa na kutoka kwa vituo...
Huku anadekezwa kwa Mahaba Matata.....
Aahahahahhahaaaa akijastuka amaliza wiki nzima kwangu 🤪.
K’ Platinum.
Hapo ndio una wake 4 na michepuko mi3 na kila mmoja akupe limbwata lake , kumbe ndio maana machizi wengi wanaumeHaki wanaume wanakufa na mengi mno..Mungu azidi kusimama nao.kutunza familia,maisha bado ni magumu,bado hajalogwa mke/mchepuko 🙆♀️🙆♀️🙆♀️Bwana wa majeshi awatetee hakuna namna
Yani ndo mana mnaongeaga pekee yenu huko kwenye magari yenu kumbe ni mlogo umeshika hatamu😁😁 Bwana wamajeshi awalinde aise japo tuwaachie akili timamu😁Hapo ndio una wake 4 na michepuko mi3 na kila mmoja akupe limbwata lake , kumbe ndio maana machizi wengi wanaume
Aisee ndio maana magonjwa ya papuchi yamekuwa mengiiii,. kumbee..hivi kweli ukaweke nyama kwa bibi halafu ikae siku kadhaa jamanii si kutafuta fangasi na magonjwa yasoeleweka!? Aarggh![]()
Hapo ndio una wake 4 na michepuko mi3 na kila mmoja akupe limbwata lake , kumbe ndio maana machizi wengi wanaume



Sio machizi tu wanakufa mapema na kuwaacha wake zao wa kidunda tu!Hapo ndio una wake 4 na michepuko mi3 na kila mmoja akupe limbwata lake , kumbe ndio maana machizi wengi wanaume
Imeandikwa tuishi nao kwa akiliWanawake wengi sana watachomwa moto siku ya mwisho.
Sijui wanazitoa wapi yaani wanaroho za kishetani
Aisee ndio maana magonjwa ya papuchi yamekuwa mengiiii,. kumbee..hivi kweli ukaweke nyama kwa bibi halafu ikae siku kadhaa jamanii si kutafuta fangasi na magonjwa yasoeleweka!? Aarggh😫🤮