Ziara za Rais Samia kuelekea Ulaya 2025- 2026

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,315
Reaction score
18,010
Rais Samia na mwanao andaeni mlio

Rais Samia na mwanao Abdul andaeni mlio mtakaokuwa mkilia pale muda wa kukandwa kwenu utakapofika kwa madudu mnayoyafanya mkiwa Ikulu.

1. Kisiasa
Kisiasa Rais Samia hukubaliki ndani ya CCM na nje CCM mbaya zaidi haukubaliki pia ndani ya nchi na nje ya nchi.
Ndani ya ccm kuna kundi kubwa sana lina chuki sana na wewe hasa baada kupanga watu unaotaka wawe wabunge wenye mlengo wa kutetea ufisadi na kuwakata wale wanaopinga ufisadi na wenye ushawishi ndani ya ccm. Mfano Ummy Mwalimu, Luhaga Mpina, January Makamba, Flatei Maasai wewe ndiyo uliagiza wakatwe kibabe.
Kiburi chako kikakutuma umptishe mwanao Wanu na mme wake Mchengerwa kibabe kuwa wabunge.

Chuki kutoka nje ya ccm ni kubwa baada ya wewe Rais Samia kumzuia Luhaga Mpina kugombea urais kibabe na kihuni kabisa kinyume na katiba ya nchi, kana kwamba haitoshi ukaamua kumfunga Lisu kwa kesi ya uongo ya uhaini.

Chuki kutoka nje ya nchi pia ni kubwa sana, Tanzania imenyimwa misaada kutoka kila pembe ya dunia kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru!. Rais Samia umeharibu legacy ya Tanzania kwamba ni nchi ya amani na utulivu kutokana na mauwaji ya raia wasio na hatia uliyoyafanya siku ya uchaguzi octoba 29/ 2025 na sasa hivi unawindwa na mahakama ya ICC .

2. Kijamii
Kijamii hamna kiongozi aliyewahi kuchukiwa Tanzania kama wewe Rais Samia kwa sababu umeendesha utekaji na uuwaji wa waziwazi kabisa bila aibu. Watu waliotekwa chini ya utawala wako ni zaidi ya 100, Mdude na Humphrey Polepole wameacha michirizi ya damu hadi leo! Kwenye kichwa chako wewe Samia unadhani wana ccm wote wamefurahishwa na kitendo chako cha kumteka balozi, katibu wa itikadi na uenezi na mjumbe wa kamati kuu ya ccm? Nikutonye tu ya kuwa wanaccm wengi wamechukizwa mno na kitendo hicho na wanasubiri tu muda ufike wakugawane .
Kana kwamba haitoshi umefanya mauaji ya kutisha tarehe 29 Oktoba kwa kuuwa watoto, wazee ,vijana na kina mama wasiokuwa na hatia yoyote na badala ya kuwaomba radhi watanzania wewe ukajitokeza kushangilia huku ukiahidi kufanya mauaji mengine zaidi ya hayo pale itakapopidi!
Andaa mlio utakaokuwa unalia siku unaenda kuonyesha ulipowazika hao watu uliowaua ili tu wewe uendelee kukalia ikulu kwa mabavu.

3 Kiuchumi.
Rais Samia umeharibu uchumi wa nchi kwa kuuza mbuga, makaa ya mawe, bandari zote na hivi karibuni umeamua kuuza hifadhi ya taifa ya dhahabu! , sasa hivi kila kona wachimbaji wadogo na wafugaji wanafukuzwa bila fidia wala utaratibu wowote.
Tukuulize swali Rais Samia baada ya nchi kuikuta ipo uchumi wa kati mpaka sasa umeifikisha uchumi wa wapi?

Kwa madudu haya Rais Samia utatetewa na nani baada ya kutoka ikulu? Nakushauri tu uanze kuandaa mlio wa kulia maana chuki na kisasi cha watanzania juu yako na uzao wako ni kubwa sana.
 
1771989601427.jpg
 
Unajieleeeza mwenyewe lkn ukweli ni kwamba unaficha msongo wa mawazo kwa kufiwa na lile shetani lenu la Chato

A
 
Hatimaye umeuona mwanga ,sasa umefahamu kwanini kipindi kile cha jiwe tulikua tukiukemea udhalimu bila kujali umemuangukia nani.

Mwanzoni nilifikiri ID imedukuliwa ila sasa naona umejionea , sijui ni kwamba umefikiwa au vipi ila siku nyingine tujifunze kukemea udhalimu bila kujali nani anaufanya.
 
Better late than never, msameheni kwa kuwa sasa amejitambua na yuko kwenye right track. Yuko upande unaopigania haki.
 
haha kwa hiyo na yeye pia kama vile wewe karibia mbaya wake anatwaliwa ili iwe muwe draw 1:1 ? ...
kipindi cha magufuri nilitaabika kinoma, kwenye harakati zangu za utafutaji nikaangukia kwenye kampuni za kichina huko nako nikaambuliwa kudhurumiwa mshahara wangu na kupewa kesi ya unyang'anyi wa kutumia siraha, nimekaa gereza la butimba miezi mingi tu.....siku alipokufa yule mzee sio siri nilimshukuru mungu wangu, kuna nyakati nilikuwa geita mjini kwenye harakati nikawa nawaona jamaa za magufuri wanapita na magari mazuri huku wamevaa kaunda suti halafu ni vijana wadogo nikijiangalia cv ninawazidi sio siri roho yangu ilikuwa inauma kwa uchungu😓😓....ila mungu ni mkubwa.
 
aisee, pole sana, ndiyo maana nikasema kwa kuwa kama ulivyoandika mnafanana na mleta mada ni kwamba mmepokezana wewe leo uko peponi baada ya adui yako kuwatliwa na yeye jehenamu hivyo kama wewe pia ulivyokuwa jehanamu milivyofarijika na kutwaliwa kwa adui na wao watafarijika dhalimu lao likitwaliwa pia, kwa hiyo ni swala la kupokazana tu labda ...
 
Rais Samia na mwanao andaeni mlio

Rais Samia na mwanao Abdul andaeni mlio mtakaokuwa mkilia pale muda wa kukandwa kwenu utakapofika kwa madudu mnayoyafanya mkiwa Ikulu.

1. Kisiasa
Kisiasa Rais Samia hukubaliki ndani ya CCM na nje CCM mbaya zaidi haukubaliki pia ndani ya nchi na nje ya nchi.
Ndani ya ccm kuna kundi kubwa sana lina chuki sana na wewe hasa baada kupanga watu unaotaka wawe wabunge wenye mlengo wa kutetea ufisadi na kuwakata wale wanaopinga ufisadi na wenye ushawishi ndani ya ccm. Mfano Ummy Mwalimu, Luhaga Mpina, January Makamba, Flatei Maasai wewe ndiyo uliagiza wakatwe kibabe.
Kiburi chako kikakutuma umptishe mwanao Wanu na mme wake Mchengerwa kibabe kuwa wabunge.

Chuki kutoka nje ya ccm ni kubwa baada ya wewe Rais Samia kumzuia Luhaga Mpina kugombea urais kibabe na kihuni kabisa kinyume na katiba ya nchi, kana kwamba haitoshi ukaamua kumfunga Lisu kwa kesi ya uongo ya uhaini.

Chuki kutoka nje ya nchi pia ni kubwa sana, Tanzania imenyimwa misaada kutoka kila pembe ya dunia kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru!. Rais Samia umeharibu legacy ya Tanzania kwamba ni nchi ya amani na utulivu kutokana na mauwaji ya raia wasio na hatia uliyoyafanya siku ya uchaguzi octoba 29/ 2025 na sasa hivi unawindwa na mahakama ya ICC .

2. Kijamii
Kijamii hamna kiongozi aliyewahi kuchukiwa Tanzania kama wewe Rais Samia kwa sababu umeendesha utekaji na uuwaji wa waziwazi kabisa bila aibu. Watu waliotekwa chini ya utawala wako ni zaidi ya 100, Mdude na Humphrey Polepole wameacha michirizi ya damu hadi leo! Kwenye kichwa chako wewe Samia unadhani wana ccm wote wamefurahishwa na kitendo chako cha kumteka balozi, katibu wa itikadi na uenezi na mjumbe wa kamati kuu ya ccm? Nikutonye tu ya kuwa wanaccm wengi wamechukizwa mno na kitendo hicho na wanasubiri tu muda ufike wakugawane .
Kana kwamba haitoshi umefanya mauaji ya kutisha tarehe 29 Oktoba kwa kuuwa watoto, wazee ,vijana na kina mama wasiokuwa na hatia yoyote na badala ya kuwaomba radhi watanzania wewe ukajitokeza kushangilia huku ukiahidi kufanya mauaji mengine zaidi ya hayo pale itakapopidi!
Andaa mlio utakaokuwa unalia siku unaenda kuonyesha ulipowazika hao watu uliowaua ili tu wewe uendelee kukalia ikulu kwa mabavu.

3 Kiuchumi.
Rais Samia umeharibu uchumi wa nchi kwa kuuza mbuga, makaa ya mawe, bandari zote na hivi karibuni umeamua kuuza hifadhi ya taifa ya dhahabu! , sasa hivi kila kona wachimbaji wadogo na wafugaji wanafukuzwa bila fidia wala utaratibu wowote.
Tukuulize swali Rais Samia baada ya nchi kuikuta ipo uchumi wa kati mpaka sasa umeifikisha uchumi wa wapi?

Kwa madudu haya Rais Samia utatetewa na nani baada ya kutoka ikulu? Nakushauri tu uanze kuandaa mlio wa kulia maana chuki na kisasi cha watanzania juu yako na uzao wako ni kubwa sana.
Utamuua huyu bikidude maana alivyokongoroka kama kinyago cha mpapure.
 
Wenzenu wakiwa wanapinga udhalimu humu huwa mnakuwa na viburi sana..!!

Haya, kiko wapi?
Umeona sasa hivi moto unavyounguza?!!
Enzi zenu mlitamba sana, watu walipokemea mlikuja juu kama moto wa kifuu kumtetea..!!

Nyie team jiwe wote ndo wahasisi wa haya mambo, anachofanya samuya ni kuendeleza mlipoishia..!!
 
Better late than never, msameheni kwa kuwa sasa amejitambua na yuko kwenye right track. Yuko upande unaopigania haki.
Naam, sasa amejionea atakua mfano bora kwa wengine humu.

Nakumbuka awamu ya jiwe kulikua kuna ID fulani anajiita Barbarosa , alikua anapiga watu mikwara dakika za mwishoni sana kabla jiwe hajafariki alibadili upepo kabisa sijui nini kilimkuta sijui alitupwa nje ya kazi au ni vipi .

Udhalimu hauna rangi, dini, kabila, wala chochote yoyote akiufanya kwa sauti kuu inabidi tumkemee bila kujali hata kama hujafanyiwa maana kuna siku ikifika umefanyiwa utaona namna gani wengine walipitia madhila kwa tawala dhalimu.
 
Samia hukubaliki ndani ya CCM na nje CCM mbaya zaidi haukubaliki pia ndani ya nchi na nje ya nchi.
TOKA MAKTABA:

9 Februari 2026 19:31

Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Urusi​

160-09-02-2026
  • %D0%A2%D0%B0%D0%BD%D0%B7%D0%B0%D0%BD%D0%B8%D1%8F.jpg
Mheshimiwa Waziri,

Ni furaha kukupokea.

Niko tayari kukubali ujumbe uliokabidhiwa kwako.

Mawasiliano kutoka kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan yatawasilishwa bila kuchelewa kwa Rais Vladimir Putin.

Tunasubiri kwa hamu ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Urusi.

Ana mwaliko. Mara tu atakapobaini tarehe zinazofaa, tutafurahi kumkaribisha nchini mwetu. Naamini mtaandamana naye.

Lazima nisisitize kwamba mataifa yetu mawili yana historia ndefu ya uhusiano. Mwaka huu unaadhimisha miaka 65 ya kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya Shirikisho la Urusi na Tanzania. Leo, tunaweza kujadili kumbukumbu ya hatua hii muhimu - kupitia kubadilishana ujumbe, pamoja na matukio na maonyesho mbalimbali.

Napenda kutambua kuridhika kwangu na ushirikiano wa karibu kati ya Urusi na Tanzania katika mabaraza ya kimataifa, hasa Umoja wa Mataifa, na pia ndani ya mfumo wa ushirikiano wa kimkakati kati ya Urusi na Afrika.

Kwa sasa tunajadili tarehe na mahali pa Mkutano wa tatu wa Urusi na Afrika. Kama mtakavyokumbuka, pia tumeanzisha muundo wa mkutano wa ngazi ya mawaziri. Mkutano wa kwanza wa Mawaziri wa Jukwaa la Ushirikiano wa Urusi na Afrika uliitishwa Sochi mnamo Novemba 2024, ukifuatiwa na mkutano wa pili huko Cairo mnamo Desemba 2025.

Kuna mada nyingi ambazo zingekuwa na manufaa kuzijadili leo kwa lengo la kuimarisha zaidi ushirikiano wetu. Ninatarajia kusikia tathmini zako kuhusu ushirikiano wetu wa pande mbili katika nyanja za kiuchumi, kibiashara, kifedha, kitamaduni, na kielimu.

Ni furaha kukukaribisha tena

View: https://m.youtube.com/watch?v=EiDp2jgbCto
 
Rais Samia na mwanao andaeni mlio

Rais Samia na mwanao Abdul andaeni mlio mtakaokuwa mkilia pale muda wa kukandwa kwenu utakapofika kwa madudu mnayoyafanya mkiwa Ikulu.

1. Kisiasa
Kisiasa Rais Samia hukubaliki ndani ya CCM na nje CCM mbaya zaidi haukubaliki pia ndani ya nchi na nje ya nchi.
Ndani ya ccm kuna kundi kubwa sana lina chuki sana na wewe hasa baada kupanga watu unaotaka wawe wabunge wenye mlengo wa kutetea ufisadi na kuwakata wale wanaopinga ufisadi na wenye ushawishi ndani ya ccm. Mfano Ummy Mwalimu, Luhaga Mpina, January Makamba, Flatei Maasai wewe ndiyo uliagiza wakatwe kibabe.
Kiburi chako kikakutuma umptishe mwanao Wanu na mme wake Mchengerwa kibabe kuwa wabunge.

Chuki kutoka nje ya ccm ni kubwa baada ya wewe Rais Samia kumzuia Luhaga Mpina kugombea urais kibabe na kihuni kabisa kinyume na katiba ya nchi, kana kwamba haitoshi ukaamua kumfunga Lisu kwa kesi ya uongo ya uhaini.

Chuki kutoka nje ya nchi pia ni kubwa sana, Tanzania imenyimwa misaada kutoka kila pembe ya dunia kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru!. Rais Samia umeharibu legacy ya Tanzania kwamba ni nchi ya amani na utulivu kutokana na mauwaji ya raia wasio na hatia uliyoyafanya siku ya uchaguzi octoba 29/ 2025 na sasa hivi unawindwa na mahakama ya ICC .

2. Kijamii
Kijamii hamna kiongozi aliyewahi kuchukiwa Tanzania kama wewe Rais Samia kwa sababu umeendesha utekaji na uuwaji wa waziwazi kabisa bila aibu. Watu waliotekwa chini ya utawala wako ni zaidi ya 100, Mdude na Humphrey Polepole wameacha michirizi ya damu hadi leo! Kwenye kichwa chako wewe Samia unadhani wana ccm wote wamefurahishwa na kitendo chako cha kumteka balozi, katibu wa itikadi na uenezi na mjumbe wa kamati kuu ya ccm? Nikutonye tu ya kuwa wanaccm wengi wamechukizwa mno na kitendo hicho na wanasubiri tu muda ufike wakugawane .
Kana kwamba haitoshi umefanya mauaji ya kutisha tarehe 29 Oktoba kwa kuuwa watoto, wazee ,vijana na kina mama wasiokuwa na hatia yoyote na badala ya kuwaomba radhi watanzania wewe ukajitokeza kushangilia huku ukiahidi kufanya mauaji mengine zaidi ya hayo pale itakapopidi!
Andaa mlio utakaokuwa unalia siku unaenda kuonyesha ulipowazika hao watu uliowaua ili tu wewe uendelee kukalia ikulu kwa mabavu.

3 Kiuchumi.
Rais Samia umeharibu uchumi wa nchi kwa kuuza mbuga, makaa ya mawe, bandari zote na hivi karibuni umeamua kuuza hifadhi ya taifa ya dhahabu! , sasa hivi kila kona wachimbaji wadogo na wafugaji wanafukuzwa bila fidia wala utaratibu wowote.
Tukuulize swali Rais Samia baada ya nchi kuikuta ipo uchumi wa kati mpaka sasa umeifikisha uchumi wa wapi?

Kwa madudu haya Rais Samia utatetewa na nani baada ya kutoka ikulu? Nakushauri tu uanze kuandaa mlio wa kulia maana chuki na kisasi cha watanzania juu yako na uzao wako ni kubwa sana.
Huyu ni Etwege tunayemfahamu au Etwege feki?
 
Back
Top Bottom