Naam, sasa amejionea atakua mfano bora kwa wengine humu.
Nakumbuka awamu ya jiwe kulikua kuna ID fulani anajiita Barbarosa , alikua anapiga watu mikwara dakika za mwishoni sana kabla jiwe hajafariki alibadili upepo kabisa sijui nini kilimkuta sijui alitupwa nje ya kazi au ni vipi .
Udhalimu hauna rangi, dini, kabila, wala chochote yoyote akiufanya kwa sauti kuu inabidi tumkemee bila kujali hata kama hujafanyiwa maana kuna siku ikifika umefanyiwa utaona namna gani wengine walipitia madhila kwa tawala dhalimu.