Ziara za Kinana zazua Ufisadi Mkubwa

Si kadanganya bali wananchi wenyewe ndo wamesema kuwa Lissu anazuia michango. Hakika hawa akina Lissu wameingizwa chaka na akina Mbowe. Ukienda kilimanjaro, wananchi wanachangia kweli shughuli za maendeleo

inamaana pesa zao huwa anakaa nazo Lisu? kwahiyo unataka kusema wakiambiwa wamuue kinana watamuua kwasababu wameambiwa na lisu...hongera lisu kwa wananchi kukuunga mkono..
 
Jibu hoja wewe ELIZA-BON hela wanayotumia kutoka kwa hao wakurungezi zilitengwa kwenye bajeti au ndio kahamishia ujangili wake huko?
Sisi tunaweza kutumia fedha yoyote kwa ajili yanziara ya viongozi wenu. Na isitoshe, kila halmashauri kuna kifungu cha entertainment ambacho ndicho hutumika kuwakirimu wageni na kugharamia misafsra ya viongozi. Pia mkumbukue kuwa ziara hizi zinaratibiwa na Makao Makuu
 
inamaana pesa zao huwa anakaa nazo Lisu? kwahiyo unataka kusema wakiambiwa wamuue kinana watamuua kwasababu wameambiwa na lisu...hongera lisu kwa wananchi kukuunga mkono..

Bunafsi nilishangaa sana kama mtu mmoja anaweza kuzuia chochote kwenye Halmashauri ambayo madiwani wote ni CCM.
 
inamaana pesa zao huwa anakaa nazo Lisu? kwahiyo unataka kusema wakiambiwa wamuue kinana watamuua kwasababu wameambiwa na lisu...hongera lisu kwa wananchi kukuunga mkono..
Yaani unampongeza Lissu kwa mambo ya kipumbavu? Hakika wewe kweli ni zaidi ya msukule. Yaani hapo kinondoni wanakuamini tena ni kiongozi wa misukule ya kinondoni unachangia pumba kiasi hiki?
 
Sisi tunaweza kutumia fedha yoyote kwa ajili yanziara ya viongozi wenu. Na isitoshe, kila halmashauri kuna kifungu cha entertainment ambacho ndicho hutumika kuwakirimu wageni na kugharamia misafsra ya viongozi. Pia mkumbukue kuwa ziara hizi zinaratibiwa na Makao Makuu

Asante kwa kuthibitisha yaliyoandikwa na Tanzania Daima.
 
Sisi tunaweza kutumia fedha yoyote kwa ajili yanziara ya viongozi wenu. Na isitoshe, kila halmashauri kuna kifungu cha entertainment ambacho ndicho hutumika kuwakirimu wageni na kugharamia misafsra ya viongozi. Pia mkumbukue kuwa ziara hizi zinaratibiwa na Makao Makuu
Wewe Dada Eliza nimekuambia jifunze kuandika ndio ujifunze kujenga hoja!!!! Unakuwa kama mumeo komba
 
Mfumo uliopo unawaruhusu CCM kutumia rasilimali zilizopo kwa maslahi yao! unless mfumo uliopo ubadilike mambo haya yataendelea milele daima ...
 
Na ndiyo maana Kinana anazunguka kupinga Katiba mpya.Anajua Katiba mpya ikipatikana ufisadi kama huu wanaofanya utakomeshwa.
 
Huo ni umbumbumbu wenu tu na kujitia vipofu. Kinana anaenda kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM kwenye miradi inayotekelezwa na Halmashauri. Hafanyi kazi za kichama na ndo maana kwenye ziara zake viongozi wote wa kiserikali wanakuwepo. Nyie CHADEMA inawauma nini? Mbona hamuulizi matumizi mabaya ya fedha za ruzuku wanazotafuna viongozi wa chama chenu?

Majibu ya kitoto kabisa. Kama ni kukagua kama ilani inatekelezwa sii watumie katika zile millioni 800? Halmashauri nyingi zinashindwa kulipa madeni yake kutokana na bajeti zao kuwa finyu halafu watu wanakuja kuzilazimisha kulipia pikipiki zikodiwe ili kuwaonyesha watu kuwa Kinana kapata mapokezi makubwa? Huu ni ujinga na wizi usiostahili kuvumiliwa.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom