Ufisadi wadaiwa kutamalaki Ngara

johnmashilatu

JF-Expert Member
Sep 16, 2010
718
703
Mkuu wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera Kanali Kahabi ametangaza kuwa hawezi kufanya kazi na DED wa wilaya hiyo.

Akiongea katika ziara ya mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi taifa, DC huyo amesema DED na mhanfdsi wa ujenzi wa halmashauri wameshindwa kusimamia miradi na kupelekea ubadhirifu wa fedha.

Katika ziara hiyo katika hospitali ya wilaya Ngara inayojengwa eneo la mbuba, imebainika kuwa milango ilibadilishwa usiku wa kuamkia ziara kwani iliyokuwepo ilikuwa chini ya kiwango.

Inadaiwa kuwa waandishi waliokuwa katika ziara hiyo ambap wote walifadjiliwa na swrikali wameamriwa kuacha kurusha habari hii.

Halmashauri kuna viongozi mafisadi ,wala rushwa,wazembe,wachawi ,Miungu watu,majeuri,kiburi na wanaofanya kazi kwa mazoea na kulindana sana katika maovu wanayofanya. Pesa za wananchi zinafanyiwa mchezo sana huku chini .
😳😲😲😳😲😳😲😲😳😲😳😲😲😲😳
 
Lakini kumbuka kule juu hiyo milioni 500 inaweza ikapigwa na mtu mmoja au wawili tu.Lakini huko kwenye Halmashauri wahusika ni wengi.
 
taarrifa zinasema DED baada ya kupewa taarifa za ziara hiyo alipanga safari na kuondoka, hivyo hakuhudhuria hata kikao chha barazza la mwdiwani kilkchofanyika ijumaa iliyyopita.

DED kimilike amewazuia watendaji wake kuambatana na DC ambaye amewaweka mahabusu mara kadhaa baadhi ya watumishi ikiwa ni pamoja na mhandisi wa ujenzi wa wilaya.
 
Nashangaa watu wanaoumia pesa ya serikali ikitumiwa na watumishi wake
 
Back
Top Bottom