Ziara za Kinana zazua Ufisadi Mkubwa

Anavaa ndala kwenye mikutano kuhadaa wananchi huku akiwaibia fedha hata za madawa kwa wagonjwa katika hospitali za wilaya ? Huko kote walikopita kwa ufisadi huu tutapita kama hatua za kisiasa lakini hatua za kibunge na kisheria ni lazima zichukuliwe dhidi ya wote waliofanya ubadhirifu huu na matumizi mabaya ya madaraka

Na CAG akikagua atayakuta hayo matumizi mabaya ya hela za halmashauri! Ikidhibitika ni kweli wawajibike kabla umma hujawahukumu. Kwenye pitapita zao sijasikia ushauri madhubuti wa kuwakwamua wananchi kiafya na kielimu.
 
We badala ya kuangalia hoja unatafuta makosa ya kiuandishi. Ama kweli ndani ya CHADEMA ni majanga tu
Mnakodi pikipiki kwaajili ya nini? hayo Ma V8 mnayoenda nayo hayatoshi? Kwani lazima mikutano yenu mjaze watu kwakutumia Fuso? Mwisho wenu umefika
 
Kodi tulipe sisi halafu mseme hela zenu? majangili wakubwa nyinyi
Subirini chama lenu la wachagga liingie Ikulu. Hata nyie mnaochangia kwenye mada hii nawajua wote ni wachaga. Kuanzia Molemo, Crashwise, Mungi na wewe Pangolin. Mnatetea uchaga tu
 
Na CAG akikagua atayakuta hayo matumizi mabaya ya hela za halmashauri! Ikidhibitika ni kweli wawajibike kabla umma hujawahukumu. Kwenye pitapita zao sijasikia ushauri madhubuti wa kuwakwamua wananchi kiafya na kielimu.
Hahahahahaaaaaa! Huko ni kujidanyanya
 
Majibu ya kitoto kabisa. Kama ni kukagua kama ilani inatekelezwa sii watumie katika zile millioni 800? Halmashauri nyingi zinashindwa kulipa madeni yake kutokana na bajeti zao kuwa finyu halafu watu wanakuja kuzilazimisha kulipia pikipiki zikodiwe ili kuwaonyesha watu kuwa Kinana kapata mapokezi makubwa? Huu ni ujinga na wizi usiostahili kuvumiliwa.

Sent from my iPad using JamiiForums
Wewe madeni ya halmashauri yanakuhusu nini? Subiri madeni ya Ufipa ndo yakushughulishe
 
Cha kushangaza, taarifa yenyewe imeandikwa na Gazeti la Udaku lakini watu wameshupalia kweli

Naona mumeo Kinana ameguswa unahaha kama uko labor kujifungua. Hukumu yenu mafisadi iko hapahapa duniani. Watanzania tutawakomesha vilivyo, jitu kama liKinana mnalihukumu kutafuna meno kumi ya ndovu hadharani kudadeki, lazima mkewe usandeeee
 
Majibu ya kitoto kabisa. Kama ni kukagua kama ilani inatekelezwa sii watumie katika zile millioni 800? Halmashauri nyingi zinashindwa kulipa madeni yake kutokana na bajeti zao kuwa finyu halafu watu wanakuja kuzilazimisha kulipia pikipiki zikodiwe ili kuwaonyesha watu kuwa Kinana kapata mapokezi makubwa? Huu ni ujinga na wizi usiostahili kuvumiliwa.

Sent from my iPad using JamiiForums

Ni aibu kubwa kuteketeza hela za Halmashauri kwa ajili ya kukodi malori ya kukusanya watu kuhudhuria mikutano ya Kinana.Hospitali hazina dawa nk
 
Huo ni umbumbumbu wenu tu na kujitia vipofu. Kinana anaenda kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM kwenye miradi inayotekelezwa na Halmashauri. Hafanyi kazi za kichama na ndo maana kwenye ziara zake viongozi wote wa kiserikali wanakuwepo. Nyie CHADEMA inawauma nini? Mbona hamuulizi matumizi mabaya ya fedha za ruzuku wanazotafuna viongozi wa chama chenu?
okey, kinana hafanyi kazi za chama kwahiyo ni kiongozi wa serikali?

Hili swali mliulizwa na faiza Fox si nape wala intarahamwe yeyote aliyethubutu kujibu.
 
Last edited by a moderator:
Ni aibu kubwa kuteketeza hela za Halmashauri kwa ajili ya kukodi malori ya kukusanya watu kuhudhuria mikutano ya Kinana.Hospitali hazina dawa nk
Nimewaambia kuwa nyie haiwahusu. Kama fedha za umma alizitumia Mbowe kwenda kula uroda huko Dubai, mnalalamika nini kwa kinana kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM? Mbona suala la Mbowe mlikaa kimya?
 
Wewe madeni ya halmashauri yanakuhusu nini? Subiri madeni ya Ufipa ndo yakushughulishe

Umaona jinsi mnavyo jidhihirisha kuwa hamna huruma na wananchi? Hivi badala ya kununua panadol na madawati shuleni kisha unapoteza fedha kukodi malori ili watu waje kwenye mkutano ambao hakuna la maana linalosemwa?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom