Ziara za Kinana zazua Ufisadi Mkubwa

Hivi kwa nn siku hizi magazeti ya udaku yameachwa yanaandika habari za siasa bila kukemewa?
 
Kwa mtazamo wa hii timu ya Tanzania Daima wanaona CCM ni maskini kama Chadema na vyama vingine vya upinzani? Wakati Chadema viongozi wao wakuu wakitafuna fedha za Chama, CCM wanawekeza kwenye miradi ya kukiingizia mapato chama. Leo hii CCM ina ofisi zake kila kata hapa tanzania, lakini Chadema hata ofisi za makao makuu wamepanga, bado mnataka wawe sawa kimapato. Ok tuje kwenye hoja kuu, 1. Tunapaswa tujue kuwa CCM ni chama tawala hivyo kina haki ya kusimamia utekelezaji wa ilani yake. 2. Katika kusimamia miradi ni lazima kipite kukagua. Je Tanzania Daima walitaka ukaguzi huo ufanywe bila kuwepo viongozi wa serikali? 3. Kama miradi inayotekelezwa ni chini ya ilani ya CCM ambao ndio waliounda serikali je ni dhambi viongozi wa chama kupanda magari ya watendaji wa serikali ili kwenda kuangalia na kukagua utekelezaji wa miradi hiyo?

Watendaji wanahaki ya kuwaonyesha viongozi wa CCM miradi waliyoismamia lakini hawana haki ya kutoa fedha za serikali kugharamia misafaa ya chama hicho, ni hivi karibuni walim katika wilaya ya Igunga waligoma baada yakukosa mishahara zahanati mbali mbali zinaksa huduma huku fedha zkiumika katka maandalizi ya ziaa hyo hamuyaoni
 
Yaani mpaka fedha za serikali zinatengwa kugharamia malori ya kusomba watu kuhudhuria mkutano..!Shame
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom