William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,657
- 2,252
- Thread starter
- #21
Always nasema siasa ikichukuliwa kishabiki Kama Simba au yanga NI vigumu Sana kufikiri katika logic. Logic hapa ama NI kutafuta suluhu au kuionesha dunia pamoja na yote mnayopitia bado mnania ya kutafuta suluhu kwa njia ya diplomasia.Kwa tqarifa yako wewe huwezi kumuamulia mpinzani wako atumie utaratibu gani kudai haki yake. Tangu lini wakwa ndugu zenu?