Ziara ya Mwakasege

Ziara ya Mwakasege

Rosweeter

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
1,172
Reaction score
4,435
Ratiba ya mwalimu Christopher Mwakasege inaonesha tarehe 29 Januari 2012 atakuwa Dar es Salaam. Kwa yeyote anayejua juu ya ziara hii ratiba yake na inafanyika wapi naomba anijulishe. Asanteni
 
Website yake inaonesha kuwa tarehe 29 januari atakuwa na watu wote dar kwa ajili ya kufungua mwaka,inawezekana kuwa viwanja vya biafra kinondoni ila hawajasema.ubarikiwe.
 
Asante. Ndiyo nilikuwa nataka uhakika ni wapi na saa ngapi?
 
Huyu mtu jamani ni mtumishi wa kiroho.?? Ni mfanyabiashara tuu, Ulizeni pale Peacock Hotel habari za bwana huyu,
 
Umeanza....kama ni mfanyabiashara toa habari na zisiwe udaku!
 
Huyu mtu jamani ni mtumishi wa kiroho.?? Ni mfanyabiashara tuu, Ulizeni pale Peacock Hotel habari za bwana huyu,

Inaonekana kuna unachokijua zaidi!
Kiweke wazi tu!
 
Sasa kufundisha dini na biashara ni dhambi??

Hata kama ana dhambi, ni sawa hata yeye ni binadamu kama sie, na hiyo ni juu yake na Mungua wake.

Haimuondolei uwezo wake wa kufafanua na kuelewesha neno la Mungu.

Huyu mtu jamani ni mtumishi wa kiroho.?? Ni mfanyabiashara tuu, Ulizeni pale Peacock Hotel habari za bwana huyu,
 
huwa ni kuanzia mida ya saa nane, ni mapambio na kumsifu Mungu.
Kuanzia saa 10 anaanza kufundisha.

Afadhali amekuja, atusaidie ku-renew hizi roho zilizogoma kutakata.

Asante sana kwa taarifa. Ubarikiwe.

Asante sana
 
Kuanzia tar. 29 atakuwa viwanja vya relini Arusha. Atakuwepo kwa wiki mbili ndiyo atazifunga dar.
 
huwa ni kuanzia mida ya saa nane, ni mapambio na kumsifu Mungu.
Kuanzia saa 10 anaanza kufundisha.

Afadhali amekuja, atusaidie ku-renew hizi roho zilizogoma kutakata.

Asante sana kwa taarifa. Ubarikiwe.

maneno yako yamenikosha
 
Back
Top Bottom