Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Hahahahahaha...Kabakabana nawe umo????
tena humu ndo kunakonifaa
Hahahahahaha...Kabakabana nawe umo????
Take care kondoo wa bwana wasije kutoka zizini
Huyu mtu jamani ni mtumishi wa kiroho.?? Ni mfanyabiashara tuu, Ulizeni pale Peacock Hotel habari za bwana huyu,
maneno yako yamenikosha
hata mimi amenichanganya,
kongosho kweli au macho yangu.
tena humu ndo kunakonifaa
Asante. Ndiyo nilikuwa nataka uhakika ni wapi na saa ngapi?
Huyu mtu jamani ni mtumishi wa kiroho.?? Ni mfanyabiashara tuu, Ulizeni pale Peacock Hotel habari za bwana huyu,
huwa ni kuanzia mida ya saa nane, ni mapambio na kumsifu Mungu.
Kuanzia saa 10 anaanza kufundisha.
Afadhali amekuja, atusaidie ku-renew hizi roho zilizogoma kutakata.
Asante sana kwa taarifa. Ubarikiwe.
Nyie watu mmenichekesha sana.
Pamoja na ukichaa wangu wote
Naamini kuna maisha baada ya kifo
Na ninayatamani,
Nani hataki kuungana na malaika kuima
Nani hataki kuona huo mji uiotengenezwa kwa mawe ya aina 12?
Basi una hili pambio la kizungu huwa linanitamanisha sana kufika huko
I can sing about heaven for a million years
And never get the story told
Of the jasper walls and gated of pearl
And streets made of pure gold
Even John Revelatory in heavenly vision could never tell what he saw.
And the Prince will be the light that will forever shine
Kondoo wadhaifu wanapigia kelele avatar yako usiku na mchana!!!!!
hao ni kuwakemea tu kwa nguvu zote pepo maimuna amewavaa.
Huyu mtu jamani ni mtumishi wa kiroho.?? Ni mfanyabiashara tuu, Ulizeni pale Peacock Hotel habari za bwana huyu,
Mwakasege by profesion ni economist, haimzuii kufanya biashara, maadam anatenga muda wake kufundisha neno la mungu. Maneno kama hayo yanaweza kukuletea balaa kwenye maisha yako kuwa makini.
Ratiba ya mwalimu Christopher Mwakasege inaonesha tarehe 29 Januari 2012 atakuwa Dar es Salaam. Kwa yeyote anayejua juu ya ziara hii ratiba yake na inafanyika wapi naomba anijulishe. Asanteni