Ziara ya Mwakasege

huwa ni kuanzia mida ya saa nane, ni mapambio na kumsifu Mungu.
Kuanzia saa 10 anaanza kufundisha.

Afadhali amekuja, atusaidie ku-renew hizi roho zilizogoma kutakata.

Asante sana kwa taarifa. Ubarikiwe.

ndio maana nakakuwilaga nikikuona raha...
naomba ukihudhuria weka thread hapa ili wa mbali pia tupokee
SEBHA AKUSUNGULILE MBANGO JAKWE
 
Back
Top Bottom