Kisu changariba
Member
- Oct 19, 2010
- 29
- 2
Tutake radhi Jeykey..
Huu ni mkutano wa kampeni wa Dr. Bilal katika kijiji cha Isimani mkoani Iringa September 27, 2010.
Check: Francis Godwin ni mzee wa matukio daima: DR. MOHAMED BILAL APOKELEWA KWA SHANGWE IRINGA
naona mnaangaika pole, ndo hivyo katua mbeya kwa kishindo na kasi ya ajabu
Alakiwe kwa lipi kikongwe huyo? Kuwepo kwake ni sawa na kutokuwepo.
Mbona ni picha zile za wakati wa kampeni.
hahaaaa safi sana...CCM wanatapatapa...Mwenyekiti wao naona yuko LOLIONDo anafakamia mikombe ya dawa naye akirudi ataenda chalinze kwa kishindo