Ziara ya dr. Bilal (Mbeya) yadoda

Ziara ya dr. Bilal (Mbeya) yadoda

1m.jpg

hiki kinyesi cha
uchaguz uliopita
 
Huyu kibabu kapewa ulaji wa kumalizia siku zake tu. Ukweli ni kwamba hana moja wala mbili kichwani. Hana ubavu wa kuhimili mikikimikiki ya CDM. Kwanza professionally he is a nuclear phyisicist! Sasa mwana nuklia fizikia na siasa wapi na wapi bana!!!Longolongo tu na ubabaishaji mwingi bora mkono waenda kinywani.
 
Hivi ana publication ngapi? mbona hamuziorodheshi? na kama scientist amefanya nini na mchango wake katika hii taaluma?
 
Inaashiria UDINI TU!!!!!!!

There you go again! Hakuna unachokiwaza kila dakika ila udini tu! Hivi hudhani kama watu wamechoshwa na usanii wa CCM miaka nenda miaka rudi? Dah!
 
Anaonekana kachoka sana hata huyo msaidizi wake pia yu taaban au bado uchovu wa kampeni haujaisha?
 
Hana cha kuwavutia Watanzania. Kwanza anaonekana kuchoka kwa vile hana analotaka kuwaambia watu. Hawezi kutatua tatizo lolote. Binafsi sijafahamu kwa nini hata alichaguliwa kuwa makamu wa raisi. Hana mvuto kwangu na hana jambo lolote la kufanya. Sitakubali ale hela yangu hata siku moja.
 
Hotuba zake zote zinaboa saana na huwa anasoma karatasi bila hata kuangalia pembeni ili asikosee na anajidai kusoma eti kwa unyenyekevu kama mtakatifu fulani.

Hana mvuto kabisa huyu muzee na hana jipya yupo kwa ajili ya kuwatembeza wake zake Tanzania na alianza na kule serengeti.

Hhaa haaa haaaaa! Physics Engineer alitaka kupewa Party time na JK pale UDOM awe anatoa lecture.... nahisi wanafunzi wangekuwa wanasinzia tu.....
 

Akijua kwamba anaenda kuonyesha mfano wa usafi anavaa viatu aina gani tena? Anakuwa kama hajapitia elimu kifalsafa yenye upambanuzi wa mazingira na maisha? Angefanya hivyo mkwere ningejua hajaelimika yeye anachojua ni magwanda ya jeshi. Viongozi wetu wa kibongo vilaza sana.
Angalia yule mama nyuma yake kavaa viatu vinavyoendana na mazingira ya kazi na mahali alipo kwa tukio la siku hiyo
 
Hiviii? Kwani Bilali na Balali yupi ni yupi? Huyu Bilali si ndiye Gavana wa BOT tunayemtafuta kwa udi na uvumba atueleze ukwapuaji wa pesa zetu? Au huyu sasa ni nani? Au mimi ndiye nachanganya? Potelea mbali, alete tu pesa zetu maana majina yanafanana. Sijaweza kufaham naomba taarifa za kiintelijensia.
 
katika hali ambayo ilitegemewa makamu wa Rais ametua kwa kishindo mbeya huku akilakiwa na umati mkubwa wa watu.

Dr Bilal kaacha Historia Mbeya

ISMAN+1.jpg

Hawajabebwa kwenye malori hao kweli?
 
wewe jaykey,hizi picha umefoji kwani huyu bibi anayetabasamu na kicheko hapo ni bibi yangu na niko naye huku Morogoro na hajawai fika mbeya tangu azaliwe,jitaidi kuwa na busara katika kuleta mapinduzi katika taifa kwani propaganda zisizo na tija ndiyo zimetufikisha hapa tulipo,hebu jifunze kuwa na busara ili tulijenge taifa na hata kama unacho cha kujivunia ndani ya chama cha CCM sivyema kudanganya umma.:wink2:
 
alichoifanya secta ya elimu ya juu hakitasahuliwa, wakati huo alitoa mikopo na hela za kujikimu kwa wanafunzi wa zanzibar huku akiacha wa bara wnaandamana na kuhaha ovyo
 
Back
Top Bottom