alichoifanya secta ya elimu ya juu hakitasahuliwa, wakati huo alitoa mikopo na hela za kujikimu kwa wanafunzi wa zanzibar huku akiacha wa bara wnaandamana na kuhaha ovyo[/QUOTE]
Hapo kwenye red, unajua kama una nia mbaya utabaki na nia hiyo wewe tu, kama angekuw ambaguzi mbona ndiye ana rejkodi ya kuw awqaziri kiongozi wa kwanza kurejea kufundisha chuo kikuu na akaamua kufundisha Dodoma? Kwani Zanzibar hakuna vyuo? Tena, ziara yake Mbeya haikuwa ya mikutano ya hadhara mbona hilo hamtaki kulifahamu, aliyeweka picha ana maana yake lakini Dr Bilal alifanya kazi aliyotakiwa kuifanya Mbeya kwa mafanikio na kumaliza na kurejea kusimamia shughuli nyingine za serikali ikulu kama ambavyo anafanya hata sasa