Click_and_go
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 451
- 6
Pamoja na kutangaza kwa siku 2 kila mtaa wa jiji la mby watu hawakujitokeza kumpokea vp dr. Bilal, hii inaashiria nini?
:blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah:! hana jipya!
Pamoja na kutangaza kwa siku 2 kila mtaa wa jiji la mby watu hawakujitokeza kumpokea vp dr. Bilal, hii inaashiria nini?
mkuu huyu si ndo mlikuwa mnataka awe raisi wenu!? Ila kiukweli mvuto hana kabisaaa angemuweza kweli shalif huyu! Acheni mbwembwe wapemba ninyi.naona mnaangaika pole, ndo hivyo katua mbeya kwa kishindo na kasi ya ajabu
Unaweza kutoa proof za fedha zenu zilizotumiwa na yeye na familia yake? No research no haki ya kuongea!
katika hali ambayo ilitegemewa makamu wa Rais ametua kwa kishindo mbeya huku akilakiwa na umati mkubwa wa watu.
Dr Bilal kaacha Historia Mbeya
![]()
katika hali ambayo ilitegemewa makamu wa Rais ametua kwa kishindo mbeya huku akilakiwa na umati mkubwa wa watu.
Dr Bilal kaacha Historia Mbeya
![]()
Ndio niliona picha kwenye gazeti, ni yeye. Lakini sina uhakika kama alitumia pesa ya walipakodi kupumzika SENAPA, hata yeye si anlipwa mshahara? Atakuwa alitumia mshahara wake, aahaaaa, ....nimekumbuka......walinzi wake, dereva.....walilipwa kutoka huko ulikosema......
Hizi pesa zinakuhusu hata wewe, so rekebisha kwanza lugha yako au ulidhani walipewa offer ya kwenda kuishi mbugani kule? kama ni offer basi wangeenda peke yao bila walinzi na bila magari ambayo yanaendeshwa kwa fedha ya walipa kodi watoe wenye akili timamu kama CDM, au ulidhani nikitaja pesa hadi ziwe mkononi...bytheway..hayo ni mameo tu eti no research no right to speak.shauri yako
Mpwa, naomba nikubaliwe kushindwa Mimi, ubingwa pata wewe, you are speaking on the behalf of somebody and am speaking on the behalf of the deserted public, naona hapo ndio kwenye tofauti, haya tuyaache bana, ukweli ni ukweli, haya ngoja niandae madodoso niende nikfanye research, maana STK, STJ na Polisi walipoonyeshwa kwenye TV na kwenye magazeti yalikuwa ni magari ya Familia ya Bilal na askari walikuwa ni Ndg zake Bilal...hii sio research? au hadi proposal kwanza? tusikremuMkuu hata hapo hujatoa researched info! Hayo magari unayajua? Je, kama ilikuwa private na ikabaki private tabu iko wapi mzee? Hapa unazungumzia mbuga za Tanzania hivi angekuwa kaenda ughaibuni sio ndio ungekuwa na maandamano kabisa? Fikiri kabla ya kushambulia kwa kuwa si kila jambo lazima lishambuliwe! Narudia no research no right to open up your mouth
makamu wa rais toka wakati wa kampeni hajavaa tena magwandaya chama na vilevile ana body guard siku hizi.wewe jk huna hata haya kusema uongo wa namna hiyo?
yaani unaidhalilisha nchi yetu makamu wa rais alindwe na kibabu kilichochoka namna hiyo?
kweli ccm ina wenyewe
Wana mbeya wamempokea kwa kishindo
Thanks JK for the news. Yalishaanza kusemwa mengine humu. Kumbe Mbeya bado hawajachafuliwa. Big up to them.
katika hali ambayo ilitegemewa makamu wa Rais ametua kwa kishindo mbeya huku akilakiwa na umati mkubwa wa watu.
Dr Bilal kaacha Historia Mbeya
![]()