Ziara ya dr. Bilal (Mbeya) yadoda


Haijalishi katiba ya sasa inasemaje lakini je kuna umuhimu kweli wa kuweka cheo kikubwa hivi lakini kisicho na mamlaka yoyote ya kiutendaji na kuishia kukatakata tu vitambaa?hapana mkuu!!

Ndio maana Dr. Shein aliamua kuachana na Umakamu wa Rais na kugombea Urais wa Zanzibar japo ki-protocol ni cheo kidogo kuliko cha Makamu wa Rais, hiki cheo kwa namna kilivyo sasa kinamfanya Makamu wa Rais autumie muda wake mwingi ofisini kusoma magazeti tu.
 


Mkuu hivi unadhani JF akina Riziwani Kikwete, Kinje, January Makamba na watoto wa majambazi wote wanaotafuna keki ya taifa unadhani wanazuiwa kujiunga humu, hao wote wapo humu ila huwezi kuwatambuwa kwa username zao, bali utawatambuwa kwa thread zao na comment zao. kwahiyo wasikuumize kichwa, kimsingi wao wako humu kupigana JIHAD ya cyber war. thats it. usitegemee positive kutoka kwa akina jeykey, majimshindo & co. wewe unachopaswa kuelewa ni kwamba kwenye vita ya haki ushindi ni lazima, hiyo ndio salaamu yangu kwao. wako wapi Uday na Qusay? hawa ni watoto wa marehemu Saddam Hussein walikuwa ni makatili na kama miungu watu, lakini leo wako wapi? utawala wowote katili siku utakapoanguka hautabaki salama, hasira za wananchi hazitaishia kwa hao viongozi tu, bali na kwa familia zao zote. kumbuka kizazi chochote katili ili kisije kuchipuwa tena lazima kiangamizwe.
 
Pamoja na kutangaza kwa siku 2 kila mtaa wa jiji la mby watu hawakujitokeza kumpokea vp dr. Bilal, hii inaashiria nini?

mi naona arudi UDOM akafundishe coz hii kazi haiwezi afu in short hana mvuto kisiasa!
 
unautani na wazanzibari, cheo cha uraisi wa zanzibar kidogo mkuu wakiamka hapa! Zanzibar ni nchi mkuuu tena uraisi wake sawa kabisaaa na wamkwere! Kama unabisha mwambie mkwere atoe amli yeyote kuhusu zanzibar!
 
katika hali ambayo ilitegemewa makamu wa Rais ametua kwa kishindo mbeya huku akilakiwa na umati mkubwa wa watu.

Dr Bilal kaacha Historia Mbeya


Mkuu acha uongo ww, hii picha ilipigwa katika kijiji cha MIGOLI-MTERA kipo Iringa kipindi cha Kampeni., tena hadi nyumba yetu ipo usawa wa tank la maji lile jeupe, straight angalia.
Kweli nyie wachakachuaji, leo ndo nimeamini... khaaa!!! hakya nani nyie nouma..
 
Asante sana Butola kumuumbua Jeykey na uwongo wake wa kutuwekea picha za kampeni mwaka jana huko Iringa.
 
yah kweli ametua kwa kishindo...hao watu si haba, wanaweza kufikia about 10% ya wale wa slaa kila anapopita

good job

Teh, teh teh! What a compliment?!!! Teh, teh teh!
 
Wana JF mimi nina mashaka na hizo picha kwani hivi sasa mbeya ni greenish kutokana na hali ya mvua. viwanja ninavyovifahamu kule mbeya kwa sasa mimea inayovizunguka ni green!! Inakuwaje hiyo picha inaonyesha uoto wa kiangazi?!!!!!!!!!!!
ALIYEPO MBEYA TAFADHALI PROVE ME WRONG AU CONFIRM HUO MKUTANO!!!!!
 

Mara nyingi uangukua pua juu ya ncha kali ya upanga; na historia yake upotea kama majivu ya mgomba -hakuna anayetamani kukumbuka ni nini walicholifanyia taifa.
 
Bwana usitake kutubabaisha unajua anaenda kufungua Maabara na Katika hospitali ya Rufaa na Mkoa mwenyeji wa Mbeya tunajua hapo sio mjini hizi hospitali ziko mjini kabisa kwa hiyo mazingira yasingekuwa hayo bwana inawezekana hizo picha umetundika ni zile za kampeni katika vijiji vya mbeya
 


Naona kofia na Khanga za bure! Huyu Mgonjwa awahi Loliondo
 
Hizi picha za wakati wa kampeni mikoa ya kusini Mtwara na Lindi, waluikuwa hawajajua usanii wake.
 
katika hali ambayo ilitegemewa makamu wa Rais ametua kwa kishindo mbeya huku akilakiwa na umati mkubwa wa watu.

Dr Bilal kaacha Historia Mbeya



Hii Si Mbeya ni Mkoani Lindi hapo!
 
hii picha ni ya wakati wa kampeni, hilo likijani alilovaa sasa hivi halitamani kulivaa hadharani.
 
katika hali ambayo ilitegemewa makamu wa Rais ametua kwa kishindo mbeya huku akilakiwa na umati mkubwa wa watu.

Dr Bilal kaacha Historia Mbeya

eti eeeh?? naona kweli kafunika hadi watu wanaesabika!
 
NAONA MMEFUNIKWA mnahaa huku na huku

Hivi huoni tofauti kati ya waliohudhuria mkutano wa Slaa na huo wa Bilali?Ngoja nikusaidie kidogo.Wakati mkutano wa Bilali umetawaliwa na watu waliovaa njano na kijani (ikimaanisha ni wana-CCM) mikutano ya Dr imejaa wananchi wa kawaida pasipo kujali itikadi zao.

Na kwa hakika mmefunikwa KIFIKRA hadi mnafikia hatua ya kulinganisha mikutano ya MAKAMU WA RAIS na ile ya aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema.Na hapo mnajipalia makaa kwani si ajabu mkarushiwa dongo jingine kuwa mnatumia raslimali za walipakodi kwa shughuli za kisiasa.

Shame on you mafisadi na akina Malaria Sugu (alias JeyKey) wanaojikomba kwa njaa zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…