Ziara ya dr. Bilal (Mbeya) yadoda

Ujua kuwa kichaa kunaanza taratibu, kama mtu alifatilia taarifa na alikuwapo Mbeya kabla Makamu hajaenda huko safari yake ilitangazwa rasmi nini majukumu yake. Hakuwa na mikutano ya hadhara wala ziara hiyo haikuwa ya maandamano kama CDM mlivyozoea. Ni wakati sasa kabla mtu hujaamka na hoja finyu utafakari kabla ya kuandika maana hapa Pinda kaenda Kagera mmeanza oooh anaenda kufuta cheche za CDM, CDM ni chama cha upinzani na hao ni viongozi kazi yao ni kutazama maendeleo na sio kupiga maneno. MY TAKE: Nawashukuru wananchi wa Mbeya kubakia wakifanya kazi zao za maendeleo maana maendleo hayaji kwa maandamano ama mikutano ya hadhara bali kufanya kazi kwa saa nyingi na kujituma.

Rudi kwenye mada, CDM ni nini na inahusika ni nini hapa? Ulipaswa kumjibu bila kuhusisha wasiohusika, unathani kila mtu ni CDM, ACHA CHUKI BINAFSI, utatukana hata wakwe zako.
 
katika hali ambayo ilitegemewa makamu wa Rais ametua kwa kishindo mbeya huku akilakiwa na umati mkubwa wa watu.

Dr Bilal kaacha Historia Mbeya

ISMAN+1.jpg

Hivi siku hizi sifa kuu ya kuwa mwanaCCM ni kuwa Juha au zuzu au poyoyo?
Sasa kwa mfano picha hii mlikuwa mnadanganya nani? pumbavu kabisa.

View attachment 24659
 
katika hali ambayo ilitegemewa makamu wa Rais ametua kwa kishindo mbeya huku akilakiwa na umati mkubwa wa watu.

Dr Bilal kaacha Historia Mbeya

ISMAN+1.jpg

kajitahidi sana hapo hiace na fuso zitakua zimechapa kazi vilivyo... naona kamzidi hata mtoto wa mkulima juzi kule bukoba
 
Sijui nakosea hebu naombeni mnikumbushe...sio huyu alienda kukaa Mbugani kwenye five star hotel akivinhajri na wake zake wawili kwa pesa zetu? Tena sio safari ya siku moja au mbili, alikaa zaidi ya wiki moja kwa pesa ya Mtanzania ambapo waliowengi leo hawajapata salaries....
 
Watu wenyewe mbona wanaonekana wameishia pale kwenye mti tu. Mikutano ya CHADEMA huwezi kuona mwisho wa umati
 
Hapo huenda ni kijiji kimoja kinaitwa Isyesye, walinipigia bibi na babu yangu kwamba wapo kumpokea "Mkamu wa laisi" ila alisikitika vijana hawakujitokeza kumpokea wao waliendelea na shughuli zao. anadai watu walikuwa wengi sana hata mia moja wanafika akanitajia kwa uchache. Mwambusi alikuwepo, mwafilombe, Kasokela, Mbatata, Kifuge, Mwafilombe, na Kipome kama mwenyekiti wa kijiji.
 
CCM wanapenda sana hili neno KISHINDO....bila kujua kwamba hata mtu anaweza kuanguka kwa KISHINDO vilevile
 
Ina maana ccm hawana ratiba ya ziara za kikazi wanasubiri maelekezo ya CDM. Maana CDM wamesema wanaenda Mbeya, sasa na wenyewe wanaenda huko huko!! Hii nchi mbona kubwa sana kwa nini wasiende Mara au Maswa?
 
Wananchi wanajua cheo cha Makamu wa Raisi ni ceremonial position tu, hana mamlaka ya kufanya wala kuamua lolote katika nchi hivyo kwenda kumsikiliza au kutoa dukuduku zao kwa mtu aliyekuja tu kukata vitambaa ni kupoteza muda!!

Nadhani ifike mahali cheo hiki sasa kifutwe.

Cheo cha makamu wa rais hakiwezi kufutwa yeye ni rais wa akiba. Kumbuka ikitokea rais aliko madarakani ameshindwa kufanya kazi na kuachia ngazi makamu wa rais ndiye anakuwa rais na kumalizia kipindi cha miaka mitano. Hii ni kwa mujibu ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ibara ya 37.5
 
Sijui nakosea hebu naombeni mnikumbushe...sio huyu alienda kukaa Mbugani kwenye five star hotel akivinhajri na wake zake wawili kwa pesa zetu? Tena sio safari ya siku moja au mbili, alikaa zaidi ya wiki moja kwa pesa ya Mtanzania ambapo waliowengi leo hawajapata salaries....

Unaweza kutoa proof za fedha zenu zilizotumiwa na yeye na familia yake? No research no haki ya kuongea!
 
Ujua kuwa kichaa kunaanza taratibu, kama mtu alifatilia taarifa na alikuwapo Mbeya kabla Makamu hajaenda huko safari yake ilitangazwa rasmi nini majukumu yake. Hakuwa na mikutano ya hadhara wala ziara hiyo haikuwa ya maandamano kama CDM mlivyozoea. Ni wakati sasa kabla mtu hujaamka na hoja finyu utafakari kabla ya kuandika maana hapa Pinda kaenda Kagera mmeanza oooh anaenda kufuta cheche za CDM, CDM ni chama cha upinzani na hao ni viongozi kazi yao ni kutazama maendeleo na sio kupiga maneno. MY TAKE: Nawashukuru wananchi wa Mbeya kubakia wakifanya kazi zao za maendeleo maana maendleo hayaji kwa maandamano ama mikutano ya hadhara bali kufanya kazi kwa saa nyingi na kujituma.

Wewe ni oyoyoo au poyoyo? hivi CCM iitishe mkutano wa hadhara ( acha maandamano ) itampata nani wa kuja kuwasikiliza hao watu wenye kaswende za ubongo? sasa hivi hata wajumbe wenu wa CCM wavibanda kumi kumi ( maana nyingi hazina hadhi ya kuitwa nyumba ) hawawezi kuhudhuria mikutano yenu bila kupewa kanga, Tshirt na kofia pamoja na posho, sasa unanishangaza ukiongelea maandamano CCM itampata nani kushiriki hayo maandamano yake? nijuavyo mimi utamaduni wa maandamano ya CCM siku zote ni kumpongeza JK basi, nayo huwa yanaandaliwa na viongozi viherehere ambao kwao wao siasa ni kujipendekeza, na mtaji wao ni watu kama wewe ambao mmesaliwa na uti wa mgongo tu ambao unawatambulisha kama binadamu bali ubongo hamna kitu maana ni kaswende tupu.
 
Maskini ccm wanatumia nguvu nyingi kujitangaza lakini waaapi. Pole sana bilali ndo hali ya nchi ilivyo sasa. Mambo yamebadilika kweli kweli, watu hawadanganyiki sasa.
 
Ujua kuwa kichaa kunaanza taratibu, kama mtu alifatilia taarifa na alikuwapo Mbeya kabla Makamu hajaenda huko safari yake ilitangazwa rasmi nini majukumu yake. Hakuwa na mikutano ya hadhara wala ziara hiyo haikuwa ya maandamano kama CDM mlivyozoea. Ni wakati sasa kabla mtu hujaamka na hoja finyu utafakari kabla ya kuandika maana hapa Pinda kaenda Kagera mmeanza oooh anaenda kufuta cheche za CDM, CDM ni chama cha upinzani na hao ni viongozi kazi yao ni kutazama maendeleo na sio kupiga maneno. MY TAKE: Nawashukuru wananchi wa Mbeya kubakia wakifanya kazi zao za maendeleo maana maendleo hayaji kwa maandamano ama mikutano ya hadhara bali kufanya kazi kwa saa nyingi na kujituma.

Niliyasikia kwa masikio yangu matangazo ya kuwaomba wananchi wa Mbeya wajitokeze kwa wingi kumpokea Makamu wa Rais uwanja wa ndege jana saa 5 asubuhi na pasi kuchoka wahudhurie kwa wingi atakapokwenda kukata vitambaa vya kuifungua maabara, my foot!!
 
Sijui nakosea hebu naombeni mnikumbushe...sio huyu alienda kukaa Mbugani kwenye five star hotel akivinhajri na wake zake wawili kwa pesa zetu? Tena sio safari ya siku moja au mbili, alikaa zaidi ya wiki moja kwa pesa ya Mtanzania ambapo waliowengi leo hawajapata salaries....

Ndio niliona picha kwenye gazeti, ni yeye. Lakini sina uhakika kama alitumia pesa ya walipakodi kupumzika SENAPA, hata yeye si anlipwa mshahara? Atakuwa alitumia mshahara wake, aahaaaa, ....nimekumbuka......walinzi wake, dereva.....walilipwa kutoka huko ulikosema......
 
Kuna threadi hapa inasema ZIARA MBEYA YA DR. BILALI YA DODA na hii DR/ BILALI ATUA KWA KISHINDO
which is which nisaidieni hapo
 
Back
Top Bottom