Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,891
- 155,910
Zembwela kawa mtangazaji? Khaa! Radio gani?
Hatari sana hii kama ni kweli.
Umenena mkuu, Zembwela ni Comedian (not professional) kila anachokifanya anakifanya kwa minajiri ya kuchekesha watu, anapokosea ni pale anapotaka aanze kuchekesha watu hata katika masuala yasiyotaka mzaha, Wajaribu kumuendeleza huyu mtu katika eneo la utangazaji ipo siku itatokea dharura atatakiwa kutangaza jambo la msingi kwa umma na umma utampuuzia. Hebu fikiria siku moja Zembwela kupitia chombo chochote cha habari atangaze taarifa ya habari kuna mtu ataitilia maanani kweli?Najua kama binadamu una mapungufu yako ya kibinadamu.
Lakini kwenye kazi yako unafanya vizuri sana na unaweza kufanya vizuri zaidi iwapo tu utaenda shule ya kitaaluma.
Hii itasaidia sana kwako kukuongezea ujuzi, ufahamu, uelewa na uwezo wa kuchanganua mambo, kujenga hoja, kuilinda na kuitetea.
Kwa sasa unaboa sana, watu wanadhani una chuku binafsi, lakini tatizo lako sio chuki binafsi ila huna ufahamu ndio maana wajanja wanakutumia kwa manufaa yao binafsi bila ya wewe kujijiua na halii hii inapelekea heshima na utu wako mtaani kushuka na kudorora kila uchao
Najua kama binadamu una mapungufu yako ya kibinadamu.
Lakini kwenye kazi yako unafanya vizuri sana na unaweza kufanya vizuri zaidi iwapo tu utaenda shule ya kitaaluma.
Hii itasaidia sana kwako kukuongezea ujuzi, ufahamu, uelewa na uwezo wa kuchanganua mambo, kujenga hoja, kuilinda na kuitetea.
Kwa sasa unaboa sana, watu wanadhani una chuku binafsi, lakini tatizo lako sio chuki binafsi ila huna ufahamu ndio maana wajanja wanakutumia kwa manufaa yao binafsi bila ya wewe kujijiua na halii hii inapelekea heshima na utu wako mtaani kushuka na kudorora kila uchao
hahahaa11Zembwela kawa mtangazaji? Khaa! Radio gani?
Hatari sana hii kama ni kweli.
bujibuji kwa mwaka huu leo ndiyo siku umeandika kitu chenye akili. zembwela ni mtangazaji mzuri ila ushindani unamshinda kwa kuwa hana ujuzi wa hiyo kazi hivyo anaishia kubishana bishana tu bila utaratibu mzuri. zembwela wewe ni rollmodel wangu, nenda shule mwanangu, only part time inatosha kabisa.
Kwa waswahili ninavyowajua Zembela atakuona unamuonea husuda yeye kesha jioni tayari yuko matawi ya juu,lakini ukweli ni kuwa waswahili hatupendi kuambiwa ukweli ,bali tunapenda kusifiwa lkwa kupakwa mafuta ya mgongo(kudanganywa),kaka ushauri wako ni mzuri sana na ningekuwa mimi ningetumia hiyo fursa kwenda shule hata pale Royal Urafiki ingesaidia,afute mfano wa John Guninita 9nafikiri sasa yuko form II)Najua kama binadamu una mapungufu yako ya kibinadamu.