Zembwela nenda shule...... You will prosper

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,427
154,271
Najua kama binadamu una mapungufu yako ya kibinadamu.
Lakini kwenye kazi yako unafanya vizuri sana na unaweza kufanya vizuri zaidi iwapo tu utaenda shule ya kitaaluma.
Hii itasaidia sana kwako kukuongezea ujuzi, ufahamu, uelewa na uwezo wa kuchanganua mambo, kujenga hoja, kuilinda na kuitetea.
Kwa sasa unaboa sana, watu wanadhani una chuku binafsi, lakini tatizo lako sio chuki binafsi ila huna ufahamu ndio maana wajanja wanakutumia kwa manufaa yao binafsi bila ya wewe kujijiua na halii hii inapelekea heshima na utu wako mtaani kushuka na kudorora kila uchao
 
mkuu umenena jambo la busara yeye anaona anaongea mambo ya msingi kumbe muda mwingi anakuwa nje ya uhalisia
 
Tatizo lake kashituka pameshapambazuka ndio anavuta shuka.huko shule kutaendeka au mnamaanisha englsh course na aplcation za computer
 
Elimu ni kitu kimoja cha msingi sana, ukiwasikiliza wakiwa wanatangaza yaan Michael Baruti Na Zembwela, utagundua kuna utofauti mkubwa sana kat yao japo wote wanatetea tabaka la chini. Zembwela ni mbishi na hakubaliana na mtu akipinga mawazo yake, ana jazba na uelewa mdogo wa baadh ya masuala ambayo km mtangazaj anapaswa kuyajua km kuna siku anasema Eti kwann Ocampo asije Tanzania kuwakata Mafisad na kuwafunga. so ushaur wangu jamaa ana uwezo mzuri wa kujieleza na kutetea kile anachokiamini ila tatizo linakuja kukosa upeo mkubwa katika kuchambua vitu.Zembwela nenda shule upate maarifa zaidi. hongera kwa kaz njema.
 
bujibuji kwa mwaka huu leo ndiyo siku umeandika kitu chenye akili. zembwela ni mtangazaji mzuri ila ushindani unamshinda kwa kuwa hana ujuzi wa hiyo kazi hivyo anaishia kubishana bishana tu bila utaratibu mzuri. zembwela wewe ni rollmodel wangu, nenda shule mwanangu, only part time inatosha kabisa.
 
Najua kama binadamu una mapungufu yako ya kibinadamu.
Lakini kwenye kazi yako unafanya vizuri sana na unaweza kufanya vizuri zaidi iwapo tu utaenda shule ya kitaaluma.
Hii itasaidia sana kwako kukuongezea ujuzi, ufahamu, uelewa na uwezo wa kuchanganua mambo, kujenga hoja, kuilinda na kuitetea.
Kwa sasa unaboa sana, watu wanadhani una chuku binafsi, lakini tatizo lako sio chuki binafsi ila huna ufahamu ndio maana wajanja wanakutumia kwa manufaa yao binafsi bila ya wewe kujijiua na halii hii inapelekea heshima na utu wako mtaani kushuka na kudorora kila uchao
Umenena mkuu, Zembwela ni Comedian (not professional) kila anachokifanya anakifanya kwa minajiri ya kuchekesha watu, anapokosea ni pale anapotaka aanze kuchekesha watu hata katika masuala yasiyotaka mzaha, Wajaribu kumuendeleza huyu mtu katika eneo la utangazaji ipo siku itatokea dharura atatakiwa kutangaza jambo la msingi kwa umma na umma utampuuzia. Hebu fikiria siku moja Zembwela kupitia chombo chochote cha habari atangaze taarifa ya habari kuna mtu ataitilia maanani kweli?
 
Najua kama binadamu una mapungufu yako ya kibinadamu.
Lakini kwenye kazi yako unafanya vizuri sana na unaweza kufanya vizuri zaidi iwapo tu utaenda shule ya kitaaluma.
Hii itasaidia sana kwako kukuongezea ujuzi, ufahamu, uelewa na uwezo wa kuchanganua mambo, kujenga hoja, kuilinda na kuitetea.
Kwa sasa unaboa sana, watu wanadhani una chuku binafsi, lakini tatizo lako sio chuki binafsi ila huna ufahamu ndio maana wajanja wanakutumia kwa manufaa yao binafsi bila ya wewe kujijiua na halii hii inapelekea heshima na utu wako mtaani kushuka na kudorora kila uchao

Bujibuji nakuuliza swali:- toka mwaka 2009 umeshindwa kuchangia nawe ukawa premium member, kwanini kuniangusha hivyo jamani wa kumwitu.
 
Sijawahi msikia akitangaza, anyway ushauri aliopewa wa kurudi shule ni mzuri inafaa auzingatie na aufanyiea kazi kwa faida ya future yake maana siku anaweza kupewa shavu al jaazera au BBC, shule itamwangusha...
 
Zembwela kawa mtangazaji? Khaa! Radio gani?

Hatari sana hii kama ni kweli.
hahahaa11
HUYU CHALII ANATANGAZA EA RADIA MAZEE!!!
HUWA ANAPATIA WAKATI MWINGINE, LAKINI HUWA ANACHEMKAGA ILE MBAYA.
NAFIKIRI SHULE ITAMSAIDIA KIDOGO
 
bujibuji kwa mwaka huu leo ndiyo siku umeandika kitu chenye akili. zembwela ni mtangazaji mzuri ila ushindani unamshinda kwa kuwa hana ujuzi wa hiyo kazi hivyo anaishia kubishana bishana tu bila utaratibu mzuri. zembwela wewe ni rollmodel wangu, nenda shule mwanangu, only part time inatosha kabisa.

Heee!!!!
Yesu maria na Yoseph!!!
 
Hapa Duniani hakuna anayejua na kila mtu anapaswa kujifunza. Hivyo kumwambia Zembwela ni kilaza ni kukosa ufahamu na uelewa na kwamba wewe ndiye kilaza zaidi. Kubwa mshauri Bw Zembwela kwenda shule ili ajijengee uwezo zaidi.
 
Najua kama binadamu una mapungufu yako ya kibinadamu.
Lakini kwenye kazi yako unafanya vizuri sana na unaweza kufanya vizuri zaidi iwapo tu utaenda shule ya kitaaluma.
Hii itasaidia sana kwako kukuongezea ujuzi, ufahamu, uelewa na uwezo wa kuchanganua mambo, kujenga hoja, kuilinda na kuitetea.
Kwa sasa unaboa sana, watu wanadhani una chuku binafsi, lakini tatizo lako sio chuki binafsi ila huna ufahamu ndio maana wajanja wanakutumia kwa manufaa yao binafsi bila ya wewe kujijiua na halii hii inapelekea heshima na utu wako mtaani kushuka na kudorora kila uchao
Kwa waswahili ninavyowajua Zembela atakuona unamuonea husuda yeye kesha jioni tayari yuko matawi ya juu,lakini ukweli ni kuwa waswahili hatupendi kuambiwa ukweli ,bali tunapenda kusifiwa lkwa kupakwa mafuta ya mgongo(kudanganywa),kaka ushauri wako ni mzuri sana na ningekuwa mimi ningetumia hiyo fursa kwenda shule hata pale Royal Urafiki ingesaidia,afute mfano wa John Guninita 9nafikiri sasa yuko form II)
 
Upeo wake ni mdogo kwa kazi anayofanya.Anabisha kwa hasira na sauti ya juu ili kuwaziba mdomo wanao piga simu.
Ana tabia mtu akipiga simu alafu hakukubaliana naye anamponda live.
Na huwa anakatabia ka kutompa Baruti muda wa kuongea.
Cha kuchekesha AKA yake ni mfalme wa amani.(haindani kabisa na anachozungumza radioni labda kwa watu wenye upeo mdogo watamwelewa)
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom