Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,834
- 155,782
Najua kama binadamu una mapungufu yako ya kibinadamu.
Lakini kwenye kazi yako unafanya vizuri sana na unaweza kufanya vizuri zaidi iwapo tu utaenda shule ya kitaaluma.
Hii itasaidia sana kwako kukuongezea ujuzi, ufahamu, uelewa na uwezo wa kuchanganua mambo, kujenga hoja, kuilinda na kuitetea.
Kwa sasa unaboa sana, watu wanadhani una chuku binafsi, lakini tatizo lako sio chuki binafsi ila huna ufahamu ndio maana wajanja wanakutumia kwa manufaa yao binafsi bila ya wewe kujijiua na halii hii inapelekea heshima na utu wako mtaani kushuka na kudorora kila uchao