zembwela kwa mara ya kwanza anaongea jambo lamaana na kuacha kuongea"" ÜPUPUU"" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

zembwela kwa mara ya kwanza anaongea jambo lamaana na kuacha kuongea"" ÜPUPUU""

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Oct 19, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  Kwa mara ya kwanza namsikia zembwela ameacha kuongea upupu na kuongea mambo ya maana
  leo hii alikuwa anahhojiana na mtu mmoja kuhusu wakuu wa wilaya na mkoa ambao awafanyi kazi zao
  na kuambiwa kuna wakuu wa mikoa wanahamishwa hata wilaya zao awajui ziko ngapi na awajahi kufika
  yule jamaa akamwambia na hii imetokana na mh raisi kuchagua watu kwa fadhila na undugu ama kujuana

  zembwela:
  Unajua kijana hata huyo raisi anachaguliwa na Wananchi ifike muda rais ajue hii nchi n ya watanzania sio
  ya kujuana ..akasema imefika wakti swala la sukari na vyakula vingine limeeingizwa kisiasa zaidi rais anauwezo
  wa kuwaadabisha waliohusika lakini anakaakimya i dont why???????akamwammbia ifikw wakati hata hao \wakuu wa wilaya wajue huyo
  raisi tusipomchagua atachaguliwa na wajomba zake??na je wangekuwa hapo walipo kama tusingemchagua
  akashauri embu ninyi wakuu wapya wa mikoa acheni kujiwekezea mali ovyo ifikwe wakati sasa serikali pamoja na rais
  aanze kuwafwatilia na kila asiefanya kazi yake amwadabishe live bila kuangalia ushemeji

  aisee kwa mara yakwanza kama una mkeo mpwa wako huku amfikishie salamu nimeipenda akili yake
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ungejifunza kutumia 'comma' na nukta ungeteka wachangiaji wengi sana kwenye threads zako. Baada ya kusema hayo, naomba nisichangie chochote kwasababu sijaelewa chochote, labda hadi hapo utakapoamua kurekebisha makosa yako.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  Too lte mwita!!hii ni kwa wanaoelewa tu wasiolewa wanapita
   
 4. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Didy banaa, hutaki ushauri wa mdau kabisa?

  Ngoja na mimi nirudie kukusoma labda nitakuelewa vizuri.
   
 5. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,002
  Likes Received: 3,180
  Trophy Points: 280
  Yeye ni nani kwenye nchi hii, mpaka tamko lake liwe ishu ya kujadiliwa
   
Loading...