Zekidoni & Khantwe

Zekidoni & Khantwe

Sitaki ata jina utoe sasa!

Tukizaa wa kike tutamuita wenyewe jina la shangazi misango
Sawa tu kaka
hata jina usimpe watunge wenyewe
Ashani ban kwenye utoaji jina asee
Abeee wifi zangu wapenzi ninaowapenda sana mwallu Honey Faith na miss neddy mmeniita?
Twakupenda kweli yani
Mtasema sn Lkn kunibandua kwa wifi yenu hamtoweza!

Na Huyo Honey Faith namuangalia tu! Juzi tu alikuja kwangu kadundwa na kamme kake hakampi ata matumizi nikampa ATM card yangu moja awe anachota pesa Kutoka GGM
Kaka usimwage mtama kwenye kuku wengi
Wanasema waswahili wa pemba wanajuana kwa vilemba sie tuwaache siku ya siku itajulikanika tu ipi ni mbichi na ipi ni mbivu
Nisha give up siku nyingi mnoo
 
Last edited by a moderator:
Mtasema sn Lkn kunibandua kwa wifi yenu hamtoweza!

Na Huyo Honey Faith namuangalia tu! Juzi tu alikuja kwangu kadundwa na kamme kake hakampi ata matumizi nikampa ATM card yangu moja awe anachota pesa Kutoka GGM

Jamani kaka yangu mbona tena umekuja kuyaanika matatizo yangu wakati ulinisaidia kwa roho moja?Basi usihofu nitakurudishia hela zako maana naona zitaninyima uhuru.
Ama kweli bora ningewaomba dada zangu ila hapa nimepotea njia
Cc: mwallu missneddy
 
Last edited by a moderator:
Unamchonganisha bimkubwa na mdingi me sipendi...

sa kama wanamsema bi mkubwa tusimwambie? mie sipendi siku moja mshua akutane na kitu ambacho hajawahi tegemea... nawapenda in-laws wangu..
 
Jamani kaka yangu mbona tena umekuja kuyaanika matatizo yangu wakati ulinisaidia kwa roho moja?Basi usihofu nitakurudishia hela zako maana naona zitaninyima uhuru.
Ama kweli bora ningewaomba dada zangu ila hapa nimepotea njia
Cc: mwallu missneddy
Yaani mdogo wangu kazi ipo hapa
Kama kuchepuka Alianza kuchepuka mama yetu mzazi! Mimi na mwallu na Honey Faith na Yule mcharuko wa Viol Yani Heaven Sent ni weusi tiiii! Lkn wewe tu Ndio uliozaliwa MUHINDI !!!!!

Kaka kaka kaka kaka
 
Last edited by a moderator:
Na yeye baba yake ni Baniani maana mama yetu alichepuka huoni hafanani ata na mwallu na Mimi? Kuchepuka sio mke wangu Khantwe tu na mama yetu mzazi alikua mchupukaji mzuri Ndio maana ktk ukoo wetu wako na wahindi!

Kaka yatosha Khantwe uwe unapika mboga za majani kwa wingi. .halafu njoo mchukue kaka yetu hapa nahisi kazidiwa na kilevi cha upendo wako. .lol
 
Last edited by a moderator:
Na yeye baba yake ni Baniani maana mama yetu alichepuka huoni hafanani ata na mwallu na Mimi? Kuchepuka sio mke wangu Khantwe tu na mama yetu mzazi alikua mchupukaji mzuri Ndio maana ktk ukoo wetu wako na wahindi!

Hahahahahaaa....hii inaitwa mahaba nivuruge. We miss neddy a k a muhindi tulia usilete fujo la sivyo tutakurudisha kwenu ohooo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom